Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 109593 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HESLB YASOGEZA MBELE MAOMBI YA MKOPO KWA MTANDAO HADI JULAI 31

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU AHUTUBIA MKUTANO WA MAAFISA KILIMO, MIFUGO NA UVUVI JIJINI DODOMA

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika Kikao cha Maafisa Kilimo, Mifugo na Uvuvi kilichofanyika leo kwenye  ukumbi wa Chuo cha Mipango jijini Dodoma Julai 12, 2018. Baadhi ya washiriki wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mganga Mkuu Hospitali ya Mji wa Tarime, na wengine wawili wasimamishwa kazi...

Na Frankius Cleophace Tarime.Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Tarime Elias Ntiruhungwa amewasimamisha kazi watumishi watatu akiwimo kaimu mganga Mkuu wa Hospitali ya Wilaya ya Tarime baada ya gari...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKUTANO WA MAREJESHO WA MAAMUZI NA MAAZIMIO YA MKUTANO MKUU WA 71 WA AFYA...

Na Mwashungi TahirNAIBU  Waziri wa Afya Harusi Said Suleiman  alisema  matarajio ya kuwapatia  wananchi huduma zilizo bora za afya  popote walipo ndio dhamira kuu ya Wizara zote za afya za Tanzania...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rest in Peace John Mhina

John Mhina (R.I.P).It has been a very hard day, and very easy to mourn in silence; it takes away the worry of not being able to get your words out, or even just simply getting the right words out.But...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANANCHI WATAKIWA KUTOA USHIRIKIANO KWA VIKUNDI VYA ULINZI SHIRIKISHI

Kamanda wa Polisi mkoa wa Arusha Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Ramadhani Ng'anzi akimpa kitambulisho mmoja wa wahitimu wa mafunzo ya Polisi Jamii wa Mtaa wa Kanisani kata ya Sokoni One...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAHASIBU WATATU WA TTCL KIZIMBANI KWA TUHUMA ZA WIZI WAKIWA WATUMISHI

Na Karama Kenyunko, blogu ya jamii.Wahasibu watatu wa shirika la Mawasiliano Tanzania, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kujibu tuhuma za wizi wakiwa watumishi na kuisababishia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ROBO FAINALI YA SPRITE BBALL KINGS KUPIGWA JUNI 21 UWANJA WA NDANI TAIFA

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.Michuano ya Sprite BBall Kings 2018 hatua ya robo fainali Imefikia patamu baada ya timu nane kufanikiwa kuingia na sasa kila mmoja kumfahamu mpinzani wake.Katika droo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

CLEMENT SANGA AVULIWA UENYEKITI BODI WA LIGI

Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imekubaliana na mapendekezo ya Kamati ya Sheria na Katiba ya kumsimamisha, Mwenyekiti wa Bodi ya Ligi, Clement Sanga baada ya kukosa sifa za...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Azam fc yatamba kumgaragaza mnyama simba fainali kagame cup

Na Agness Francis, Globu ya jamiiAzam fc yatamba kumgaragaza mnyama simba katika fainali za kuwania kombe  la kagame cup (cecafa).Timu hizo zote mbili za kutoka hapa nchini ambazo zimefanikiwa kutinga...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TaGLA YAENDELEA NA MAFUNZO YA UPANGAJI MIJI, YAJADILI MASUALA YA ELIMU NA...

Na Leandra Gabriel, Blogu ya jamiiWAKALA wa mafunzo kwa njia ya mtandao nchini (TaGLA) wameendelea na mafunzo kwa njia ya mtandao kutoka Korea kusini kuhusiana na masuala ya utunzaji wa mazingira...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BINGWA WA KAGAME CUP KUJULIKANA KESHO

 Na Khadija Seif, Globu ya Jamii.     Michuano ya Kagame Cup 2018 yanafikia kilele chake siku ya kesho  tarehe 13 Julai  kwa kuzikutanisha Azam na Simba katika dimba la Uwanja wa Taifa....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA UJUMBE WA TAASISI YA MAENDELEO YA ODI KUTOKA NCHINI...

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo amekutana na Mkuu wa Utafiti na Mkurugenzi wa Mpango wa kusaidia Mabadiliko ya Kiuchumi kutoka Taasisi ya Maendeleo ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ALIYEKUWA MBUNGE DIMANI ZANZIBAR APANDISHWA MAHAKAMA YA KISUTU KUJIBU TUHUMA...

Na Karama Kenyunko, Blogu ya Jamii.Aliyekuwa Mbunge wa jimbo la Dimani Zanzibar, Abdallah Sharia Amer, na mwenzake Julai 11, wamepandishwa katika kizimba cha mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kujibu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KMC FC YANASA SAINI YA KIUNGO MTANZANIA ANAYEKIPIGA TUSKER FC KENYA

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.Timu ya KMC Fc imeendelea na usajili wake wa kuzidi kuimarisha kikosi chao kinachonolewa na Kocha Mrundi Etienne Ndayiragije kwa kumsajili kiungo mshambuliaji Abdul...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RC MAKONDA AKABIDHI MWENGE WA UHURU MKOA WA PWANI.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda leo Julai 12 amemkabidhi Mwenge wa Uhuru Mkuu wa mkoa wa Pwani Mhandisi Evarist Ndikilo baada ya Mwenge huo kukamilisha shughuli ya uzinduzi na uwekaji...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

“GHARAMA ZA UENDESHAJI WA VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA KUDHIBITIWA”-DKT TIZEBA

Na Mathias Canal-WK, Bukoba-KageraMalalamiko ya muda mrefu ya wakulima yaliyokuwepo kwamba ushirika unatoa bei ndogo, sasa yamepatiwa muarobaini baada ya serikali kupitia kwa kina gharama za uendeshaji...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tutamfunga Simba kutetea ubingwa wetu-Azam fc

Na Agness Francis,globu ya jamiiAzam fc yatamba kumgaragaza mnyama simba katika fainali za kuwania kombe la kagame cup (CECAFA).Timu hizo zote mbili za kutoka hapa nchini ambazo zimefanikiwa kutinga...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CLEMENT SANGA AVULIWA UENYEKITI BODI WA LIGI

Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imekubaliana na mapendekezo ya Kamati ya Sheria na Katiba ya kumsimamisha, Mwenyekiti wa Bodi ya Ligi, Clement Sanga baada ya kukosa sifa za...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI KANGI LUGOLA AFANYA KIKAO NA MAAFISA,ASKARI WA JESHI LA ZIMAMOTO NA...

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, akizungumza wakati wa Kikao na Maafisa na Askari wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji. Katikati ni Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Thobias...

View Article
Browsing all 109593 articles
Browse latest View live




Latest Images