WIVU WA MAPENZI WASABABISHA ASKARI POLISI KUJIUA KWA KUJIPIGA RISASI MARA
*Kamanda wa Polisi aelezea tukio hatua kwa hatua...asema kabla ya kujiua aliandika ujumbeNa Said Mwishehe, Globu ya jamiiKAMANDA wa Polisi Mkoani ya Mara Juma Ndaki amethibitisha kutokea kwa tukio la...
View ArticlePOLISI DAR WANASA WATUHUMIWA WANAOJIHUSISHA NA UHALIFU
Na Hadija Seif, Globu ya jamii JESHI la Polisi Kanda Maalum Dar es salaam limefanikiwa kukamata watuhumiwa mbalimbali wanaojihusisha na uharifu uporaji,ukabaji pamoja na unyang'anyi . Akizungumza...
View ArticleJESHI LA POLISI RUVUMA LAENDESHA MAFUNZO KWA MADEREVA WA MAGARI YA MALORI,...
Na Ripota Wetu, Globu ya jamiiSERIKALI ya Mkoa wa Ruvuma, kupitia Jeshi la Polisi limeendesha mafunzo rasmi kwa madereva wa Malori yanayofanya safari za masafa marefu na mafupi kwa lengo la kupunguza...
View ArticleRAIS MAGUFULI AKUTANA NA KUAGANA NA MABALOZI WATATU WALIOMALIZA MUDA WAO HAPA...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Balozi wa Sweden hapa nchini anayemaliza muda wake Katarina Rangnitt mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es...
View ArticleIntroducing Epofresh - Nyau ft Tonch x Clint (produced by elie piano)
Epo-fresh Music is a new studio based in Dar-es-Salaam, Tanzania which produces all types of modern music. Welcome to listen to its club banger "Nyau" its first official release featuring @tonch_tz X...
View ArticleMAJALIWA AKUTANA NA WATALAAMU WA UTAFITI WA MAZAO YA KILIMO
Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa akizungumza na Watafiti wa Mazao ya Kilimo kutoka Kituo cha Utafiti cha Mikocheni jijini Dar es salaam, Wakala wa Mbegu za Kilimo (ASA) na Taasisi ya Utafiti wa...
View ArticleWakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) kuhifadhi misitu yote iliyoko...
Halmashauri ya Jiji la Dodoma imesaini hati ya makubaliano inayoipa mamlaka Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) ya kupanda na kustawisha miti, na kuhifadhi misitu yote iliyopo ndani ya Jiji la...
View ArticleRc Geita Akagua Miradi ya Huduma za Jamii, Ahimiza Ukamilishwaji Wake kwa...
Na Boazi Mazigo, Afisa Habari GeitaMkuu wa Mkoa wa Geita Mhandisi Robert Gabriel ameendelea kufuatilia hatua za utekelezaji wa Miradi mbalimbali Mkoani Geita kwa kufanya ziara na kuona miradi...
View ArticleWAZIRI KANGI LUGOLA ATEMBELEA KIWANDA CHA MAGEREZA UKONGA, JIJINI DAR ES SALAAM
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, akisalimiana na maofisa wa Jeshi la Magereza, baada ya kuwasili kwa ziara ya kikazi katika Chuo cha Magereza ,kilichopo Ukonga,jijini Dar es Salaam....
View ArticleMICHUZI TV: Ruaha Marathon kuchangia upanuzi wa kituo cha Afya Ngome Iringa
Na Francis Godwin wa Michuzi TV, Iringa
View ArticleNEWS ALERT: Mfanyabiashara wilayani Gairo mkoa wa morogoro akamatwa na madini...
Na George Binagi, Morogoro Naibu Waziri wa Madini Mhe.Doto Mashaka Biteko leo amekamata madini ya vito aina Rhodilite (BOFYA HAPA kuyajua) yanayokadiriwa kuwa tani saba katika nyumba ya mchimbaji na...
View ArticleUINGEREZA NJE!!
Mojawapo ya mbwembwe za mashabiki wapatao 7, 000 wa Uingereza waliomiminika jijini Moscow, wengine wakiwa wamevalia visibao kama kocha wao Gareth Southgate zimezimika usiku huu ambapo badala ya...
View ArticleMSAJILI WA VYAMA VYA SIASA ATOA MAFUNZO KWA WASIMAMIZI WA UCHAGUZI MDOGO
Na Monica Laurent, Dar es salaam.Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imetoa mafunzo maalumu kwa watumishi wa ofisi yake ili kuwajegea uwezo wa kufanya uangalizi wa uchaguzi mdogo unaotarajiwa kufanyika...
View ArticleKIWANDA CHA SUKARI KAGERA CHAAGIZWA KUACHA URASIMU KATIKA KUUZA SUKARI...
Na Mathias Canal-WK, Misenyi-KageraUongozi wa kiwanda cha Sukari Kagera umeagizwa kuacha urasimu katika mfumo wa uuzaji wa Sukari wanayozalisha badala yake kuingiza mtaani kwa wingi Sukari kwa wananchi...
View ArticleDereva wa daladala aibuka kidedea na Renault Kwid ya M-Pesa
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dr Binilith Mahenge (kulia) akimkabidhi funguo za gari mshindi wa shindano la Vodacom Mpesa Aloyce Mnyamagola alilojishindia katika promosheni inayoendelea ya 'Tumia M-Pesa...
View Article
More Pages to Explore .....