Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110170 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NHIF YATOA MIFUKO 245 YA SARUJI KUSAIDIA UJENZI WA HOSPITALI YA WILAYA YA MUHEZA

MFUKO wa Taifa wa Bima ya Afya nchini (NHIF)umekabidhi mifuko 245 ya saruji kwa ajili ya kusaidia ujenzi wa hospitali ya wilaya ya Muheza inayojengwa eneo la Lusanga ambayo itaondoa changamoto ambazo...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI JAFO AKABIDHI PIKIPIKI 17 KWA WARATIBU WA ELIMU KATA HALMASHAURI...

VICTOR MASANGU, KISARAWEWAZIRI wa nchi Ofisi ya Raisi Tawala za mikoa na serikali za mitaa (TAMISEMI) Mh. Seleman Jafo amewataka waratibu wa elimu kata kuachana kabisa na tabia ya kufanya kazi kwa...

View Article

TAZAMA LIVE MAPOKEZI YA UJIO WA NDEGE MPYA BOEING 787-8 DREAMLINER,DAR

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Vodacom Tanzania yaandaa hafla ya 'Bring Your Kid to Work,' .

 Watoto wa wafanyakazi wa Vodacom Tanzania Plc, wakicheza muziki wakati wa hafla ya Bring your kid to work iliyofanyika makao makuu ya kampuni hiyo jijini Dar es Salaam. Watoto wa wafanyakazi wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MBARAWA AWATAKA WATAALAM WA DAWASA, DAWASCO KUTOA MAJIBU YA UPOTEVU WA...

Na Karama Kenyunko, Blogu ya jamii.SERIKALI imewaagiza wataalamu kutoka Mamlaka ya Majisafi na Majitaka (DAWASA) na Shirika la Majisafi na Majitaka (DAWASCO) kutoa majibu kuhusu upotevu wa maji...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU AKEMEA MAAFISA USHIRIKA WENYE VISINGIZIO

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amekemea tabia ya kutowajibika miongoni mwa watumishi kwa kisingizio cha mgawanyo wa madaraka.Ametoa onyo hilo jana (Jumamosi, Julai 7, 2018) wakati akizungumza na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI KIGWANGALLA AWASIMAMISHA KAZI MAOFISA NA ASKARI WOTE 27 WA TAWA...

Na Hamza Temba, RukwaWaziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla amewasimamisha kazi Maofisa na Askari Wanyamapori wote 27 wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania TAWA katika Pori la...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Magufuli aongoza mapokezi ya ndege Boeing 787-8 Dreamliner

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe pamoja na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa pamoja na viongozi wengine mara...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TIMU NANE ZATINGA ROBO FAINALI SPRITE BBALL KINGS

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.MICHEZO minne ya hatua ya 16 bora ya Michuano ya Sprite BBall Kings 2018 imefanyika katika viwili tofauti na timu nane kufanikiwa kuingia hatua ya robo fainali.Mechi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RPC ARUSHA:MADEREVA AMBAO HAWATAZINGATIA SHERIA NA TARATIBU ZA USALAMA...

Na Vero Ignatus Arusha.Ukaguzi wa magari ya abiria na mizigo umefanyika leo mkoani Arusha ukiongozwa na Kamanda wa polisi Ramadhani Ngazi ,ambapo yamebainika makosa mbalimbali yakiwemo baadhi ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DKT TIZEBA NA DKT MABULA WAMALIZA MGOGORO WA ARDHI WA CHAMA CHA USHIRIKA...

Na Mathias Canal, Sengerema-MwanzaWaziri wa Kilimo Mhe Dkt Charles Tizeba pamoja na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Dkt Angeline Mabula wametatua mgogoro baina ya Chama Cha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKONDA ASEMA ATAWAJIBU WOTE WATAKAOBEZA UJIO WA DREAMLINER

Na Said Mwishehe, Globu ya jamiiMKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda amesema kuwa yupo tayari kuwajibu watu wote ambao wataonekana kubeza ujio wa ndege mpya ya Boeing 787-8 Dreamliner.Makonda...

View Article

MICHUZI TV: ALICHOKISEKA RAIS MAGUFULI WAKATI WA UJIO WA NDEGE MPYA YA AIR...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA LEO JUMATATU JULAI 9, 2018

Kwa habri zaidi BOFYA HAPA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS MAGUFULI: WASIOPENDA UJIO WA NDEGE MPYA WATAPA TAABU SANA

*Asema anaamini Watanzania wengi wanatambua umuhimu wa ndege hiyo *Asisitiza ujio wa ndege hizo zimenunuliwa kutokakana na kuziba mianya ya rushwa.Na Said Mwishehe,Globu ya jamii RAIS Dk.John Magufuli...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAIBU KATIBU MKUU JUMUIYA YA WAZAZI CCM TAIFA-ZANZIBAR AKABIDHI SH.MILIONI...

NA ELISA SHUNDA,BAGAMOYO UMOJA wa wazazi Taifa wa Chama cha Mapinduzi CCM, umeahidi kuendelea kusaidia kuboresha chuo cha Kilimo na ufugaji cha Kaole ili kiendane na hadhi ya kuwa chuo bora...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

STOP!! KUHUSISHA WATOTO NA VIGODORO NA NGOMA ZA USIKU MKOANI PWANI

Katibu tawala mkoani Pwani, Zuberi Samataba akitembelea baadhi ya mabanda ya maonyesho ya kielimu yaliyoandaliwa na baadhi ya wanafunzi Chalinze Mkoani Pwani wakati wa maadhimisho ya Juma la elimu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MPINA AAMURU KUUNDWA KWA IDARA YA ULINZI WA MIFUGO NA MAZAO YAKE

Na John Mapepele,DodomaWAZIRI wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina ameamuru kuundwa Kitengo kipya cha Usimamizi na Udhibiti wa Rasilimali za Mifugo katika Idara ya Uzalishaji na Masoko cha wizara hiyo ili...

View Article

RAIS MAGUFULI ALIVYOWAONGOZA WATANZANIA KUPOKEA NDEGE MPYA YA BOEING 787-8...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JUMUIYA YA ISTIKAMA ZANZIBAR YAKABIDHI MSAADA WA FEDHA KWA WANANCHI...

Na Ramadhani Ali – Maelezo Zanzibar Jumuiya ya Istiqama Zanzibar kwa kushirikiana na Radio Adhana imekabidhi msaada wa shilingi 13,600,000/ kwa wananchi wa Shehia tatu za Tumbatu waliopata maafa ya...

View Article
Browsing all 110170 articles
Browse latest View live




Latest Images