Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110170 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UN YATUNUKU UBUNIFU KATIKA MAENDELEO ENDELEVU

LATIFA Mohammed Ngea kutoka Zanzibar ameibuka kidedea katika tuzo za Umoja wa Mataifa za ubunifu na kupata hundi ya shilingi milioni 3.Latifa ni miongoni mwa vijana watatu waliokuwa wakionesha ubunifu...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

NSSF KUTOA MAFAO SITA KWA WOTE SEKTA ISIYO RASMI

Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) limedhamiria kutoa mafao yote sita yatolewayo ili kuisaidia sekta isiyo rasmi kujikinga na majanga mbalimbali na kujikwamua Kiuchumi Akizungumza katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Breaking Newzzzzzzzzzzz:VIGOGO WATANO WA KNCU WAFIKISHWA MAHAKAMANI.

  Vigogo watano wa Chama Kikuu cha Ushirika cha Kilimanjaro (KNCU) wakiwemo mwenyekiti wa sasa wa KNCU Aloyce Kitau na Mwenyekiti mstaafu wa KNCU ,Maynald Swai wamefikishwa muda huu katika viunga vya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI LUGOLA, JENISTA MHAGAMA WAFANYA KIKAO KUJADILI MFUMO WA PAMOJA WA...

 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola akizungumza katika kikao chake na Maafisa Waandamizi wa Idara ya Uhamiaji kuhusu utaratibu wa kuunganisha mifumo ya vibali vya kazi na ukaazi. Kulia ni...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KATIBU MKUU WA CCM DKT BASHIRU ATEMBELEA BANDA LA NSSF SABASABA

Katibu mkuu wa chama cha Mapinduzi CCM ,Dk Ally Bashiru akimsikiliza Afisa  Matekelezo wa NSSF  Kassim Mfunda aliyekuwa akitoa maelezo na taratibu namna ya wanachama wanavyoweza kujiunga na shirika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NEWZ ALERT: KIONGOZI MBIO ZA MWENGE AGOMA KUZINDUA JENGO LA ZAHANATI MSASANI

 Kiongozi wa mbio za mwenge Charles Francis amegomea kuzindua jengo la Zahanati ya Mkoroshini (pichani) ilioyopo Msasani jijini Dar es Salaam kutokana na kutokidhi viwango vya ujenzi vya jengo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZANZIBAR 24 WATOA MSAADA WA CHAKULA KWA SOBA HOUSE YA DESTROIT YA MCHINA MWANZO

Na Ramadhani Ali – Maelezo ZanzibarWaathirika wa dawa za kulevya wanaoishi katika nyumba ya kurekebisha tabia (Soba House) ya Detroit iliyoko Kwamchina mwanzo wameiomba Serikali kuendeleza mapambano ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mkulima Mkoani Dodoma kizimbani kwa kukutwa na vipande tisa vya meno ya tembo

Na Karama Kenyunko, Blogu ya jamiiMkulima Hassan Sangali (22) mkazi wa Pingalama wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na shtaka la kukamatwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MBUNGE WA MANONGA AZINDUA MADARASA NA MABWENI KIDATO CHA TANONA SITA MKOANI...

MBUNGE wa Manonga Seif Gulamali amezindua rasmi madarasa 2 na mabweni 3 yenye thamani ya shilingi Milioni 265 yatakayotumiwa na wanafunzi wa kidato cha tano na cha sita katika sekondari ya Ziba Wilaya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU MAALUM YA...

Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo ameongoza kikao Cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar katika ukumbi wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Lipuli yasajiri wachezaji wanne

Na Zainab Nyamka Globu ya JamiiTIMU ya soka ya Lipuli FC ya mkoani Iringa jana imekamilisha  usajili wa wachezaji wake wapya wanne kutoka timu tofauti ili kuongeza nguvu kwenye msimu wa 2018/19. Lipuli...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JESHI LA POLISI PWANI LAFANYA UKAGUZI WA LESENI 1,710 ZA MADEREVA

NA MWAMVUA MWINYI,PWANIJESHI la polisi mkoani Pwani ,linaendelea na ukaguzi kwa madereva na magari ambapo leseni za madereva 1,710 zimekaguliwa huku leseni ya mmoja ikionesha akiwa amezaliwa mwaka 1951...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Heads of State Owned Enterprises meet on Industrialisation Agenda

The Minister of Finance and Planning, Hon. Dr. Philip Mpango will officiate a National Roundtable Dialogue on “The Role of State Owned Enterprises (SOEs) in Implementing the Industrialisation Agenda”...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

POLISI JAMII WAWILI KIZIMBANI KWA KUKUTWA NA MENO YA TEMBO

Na Karama Kenyunko, Blogu ya jamiiPolisi Jamii wawili na dereva mmoja wakazi wa Mbezi Luis jijini Dar es Salaam, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kujibu tuhuma za uhujumu uchumi kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mchezaji wa Stand United atimkia Klabu ya KMC Fc

UONGOZI wa Klabu ya KMC Fc imefanikiwa kupata saini ya aliyekuwa mchezaji wa Stand United, Ally Ally na kuitumikia klabu hiyo kwa mkataba wa mwaka mmoja.Ally Ally amejiunga na KMC FC ya Kinondoni,...

View Article


Michuzi TV UJENZI WA RELI YA KISASA (STANDARD GAUGE) WAENDELEA VIZURI -...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MHANDISI ATASHASTA NDITIYE AZINDUA MKUTANO WA 16 WA SAPOA, HUDUMA YA POSTA...

Na Leandra Gabriel, Blogu ya jamiiNAIBU Waziri wa  uchukuzi na mawasiliano Mhandisi Atashasta Nditiye amezindua mkutano wa 16 wa SAPOA ambao ni muunganiko wa mashirika ya Posta kwa nchi za...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BENKI YA KCB TANZANIA YAZINDUA TAWI LAKE JIPYA LA MBAGALA

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.Benki ya KCB Tanzania imefanya uzinduzi wa tawi lake la 14 lililopo Mbagala jijini Dar es salaam. Tawi hilo limezinduliwa rasmi na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mh....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wachimbaji Wadogo Kunufaika na Vituo Vya Umahiri

Waziri wa Madini Mhe. Angellah Kairuki akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa kusaini mikataba mitatu ya ujenzi wa vituo saba vya umahiri pamoja na jengo la mafunzo kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MATUKIO MBALIMBALI NDANI YA MAONESHO YA SABASABA JIJINI DAR ES SALAAM

 Picha mabalimbali za wananchi waliofika kununua bidhaa mbalimbali katika maonesho ya 42 ya kimataifa ya Biashara Sabasaba  yanayoendelea Jijini Dar es Salaam.(Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi Blog)

View Article
Browsing all 110170 articles
Browse latest View live




Latest Images