Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110173 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

GAVANA WA BENKI KUU AIPONGEZA TRA KWA KUKUSANYA KODI YA MAJENGO KIELEKTRONIKI

Na Veronica Kazimoto,Dar es SalaamGavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) ambaye pia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Prof. Florens Luoga ameipongeza TRA kwa...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAAFISA WA BUNGE WAENDELEA KUTOA ELIMU KWENYE MAONYESHO YA SABASABA

Afisa Habari wa Ofisi ya Bunge Ndg. Deonisius Simba akitoa Elimu kwa Wageni mbalimbali waliotembelea banda la Bunge la Tanzania katika Maonyesho ya 42 ya Kimataifa ya Biashara ya Sabasaba yanayoendelea...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Washiriki wa Urembo Zingatieni Maadili na Utamaduni wa Kitanzania- Shonza

Na Lorietha Laurence-WHUSM,Arusha. Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza ametoa wito kwa washiriki wa mashindano ya urembo nchini kuzingatia maadili na tamaduni za...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI YA NIGERIA YATUMA UJUMBE NCHINI KUJIFUNZA NAMNA WATANZANIA...

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Utumishi wa umma na Utawala Bora) Mhe. George Mkuchika akizungumza na ujumbe wa maafisa wa serikali kutoka Nigeria waliofika nchini kujifunza mbinu za mafanikio ya Rais...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RC MAKONDA APOKEA MWENGE WA UHURU, WAANZA KUZINDUA MIRADI WILAYA YA ILALA

Na Leandra Gabriel, blogu ya jamiiMKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda leo Julai 07,2018 amepokea Mwenge wa Uhuru uliowasili asubuhi ya leo uwanja wa ndege wa Mwalimu Nyerere,  ukitokea Mkoa wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANANCHI WA KALAMBO WAZUIA KWA MUDA MSAFARA WA WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII

Na Hamza Temba, Kalambo, RukwaMsafara wa Waziri wa Maliasili, Dk. Hamisi Kigwangalla umelazimika kusimama kwa muda baada ya kusimamishwa na kundi kubwa la wananchi wa kijiji cha Kisumba kilichopo...

View Article

DKT MWIGULU NCHEMBA AREJEA JIMBONI KWAKE APOKELEWA KWA SHANGWE,AMSHUKURU RAIS...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

OLENASHA:KINACHOTAKIWA KWA WANANCHI NI MAENDELEO NA SIYO SIASA CHAFU

Na.Vero Ignatus NgorongoroMbunge wa jimbo la Ngorongoro ambaye pia ni naibu waziri wa elimu sayansi na Teknolojia William Olenasha ameanza ziara ya kutembelea wananchi wa jimbo lake kwa ajili ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS NA AMIRI JESHI MKUU DKT MAGUFULI ATUNUKU KAMISHENI KWA MAAFISA WANAFUNZI...

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akitunuku  Kamisheni Maafisa Wanafunzi 123 wa Jeshi la Wananchi la Tanzania (JWTZ) katika viwanja vya Ikulu jijini...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TRC KUPELEKA WATALAAM 167 KUJIFUNZA UENDESHAJI WA TRENI YA KISASA

Na Said Mwishehe, Globu ya jamiiSHIRIKA la Reli Tanzania (TRC) limesema linatarajia kupeleka timu ya wataalam wa fani mbalimbali 167 katika nchi tano tofauti kwa lengo la kujifunza namna ya kusimamia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri Mahiga atembelea maonesho ya 42 ya biashara ya kimataifa (Sabasaba)

Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga (katikati) akisikiliza maelezo kutoka kwa Bi. Mindi Kasiga Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Wizara ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, alipotembelea banda la...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WARATIBU ELIMU WAISHUKURU SERIKALI

Waratibu elimu Kata wameishukuru serikali kwa kuwapatia pikipiki ambazo zitawawezesha kufanya kazi zao kwa ufanisi mkubwa. Pikipiki hizo walizopatiwa waratibu hao ni miongoni mwa pikipiki zilizotolewa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CUF WATANGAZA KUTOSHIRIKI UCHAGUZI MDOGO WA MARUDIO KATIKA KATA 79,MAJIMBO...

Na Said Mwishehe, Globu ya jamiiCHAMA cha Wananchi (CUF) kimesema hakitashiriki Uchaguzi mdogo wa marudio katika Kata 79 na majimbo mawili ambao umetengazwa kufanyika Agosti 12 mwaka huu. Taarifa ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wilaya ya Siha yapiga hatua kutokomeza magonjwa yaliyokuwa hayapewi kipaumbele

 Afisa kutoka Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto katika Mpango wa Taifa wa kudhibiti Magonjwa yaliyokuwa hayapewi kipaumbele Hope Rusibamayila akishirikiana na wanafunzi kutoka...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMPUNI YA KUFANYA MATENGENEZO YA UMEME BILA KUUKATA YATUA DODOMA

NA Said Mwishehe Blogu ya JamiiUAMUZI wa Serikali ya Awamu ya Tano chini ya utawala madhubuti wa Rais Dk.John Magufuli umesababisha Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Afrique Live Power Line Maintenance...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA LEO JUMAPILI JULAI 8, 2018

Kusoma zaidi BOFYA HAPA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Mstaafu Dkt Jakaya Kikwete atembelea banda la Nssf maonesho ya saba saba

Rais wa awamu ya nne Mh Dkt Jakaya Kikwete akipata maelezo kuhusiana na huduma mbali mbali zinazofanywa na Shirika la Taifa ya Hifadhi ya jamii NSSF kutoka kwa Kaimu Meneja uhusiano na masoko Bwana...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Ashatu Kijaji atoa wito kwa taasisi za...

Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Ashatu Kijaji amewahamasisha wanyabiashara na wazabuni kutembelea banda la Mamlaka ya Udhibiti wa Manunuzi ya Umma – PPRA lililopo ndani ya banda la Wizara ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU AKEMEA MAAFISA USHIRIKA WENYE VISINGIZIO

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amekemea tabia ya kutowajibika miongoni mwa watumishi kwa kisingizio cha mgawanyo wa madaraka.Ametoa onyo hilo jana (Jumamosi, Julai 7, 2018) wakati akizungumza na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAMASHA la Kimataifa la Filamu Zanzibar (ZIFF) mwaka 2018 lafunguliwa mjini...

TAMASHA la Kimataifa la Filamu Zanzibar (ZIFF) mwaka 2018, limefunguliwa juzi usiku huku Serikali ya Mapinduzi Zanzibar ikijipiga kifua kusaidia utatuzi wa changamoto zinazoikabili tasnia ya filamu...

View Article
Browsing all 110173 articles
Browse latest View live




Latest Images