Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110185 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WIZARA YA VIWANDA NA AFYA WAPOKEA WAWEKEZAJI WA SEKTA YA AFYA KUTOKA CHINA

Na Dotto Mwaibale.WIZARA ya Viwanda,Biashara na Uwekezaji kwa kushirikiana na Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto wamepokea ujumbe wa wawekezaji wa sekta ya Afya kutoka kampuni ya...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU AONGOZA KUUAGA MWILI WA MBUNGE WA KOROGWE

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameongoza waombolezaji katika kuuaga mwili wa aliyekuwa mbunge wa Korogwe Vijijini, Bw. Stephen Ngonyani maafufu Profesa Maji Marefu.Bw. Ngonyani ambaye alifariki dunia...

View Article

KIFO CHA MTOTO PATRICK WA MUNALOVE CHAGUSA WENGI

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WERRASON APATA MWALIKO KUTUA DAR KESHO

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.MWANAMUZIKI nguli kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Werrason Ngiama Makanda, anatarajia kuwasili nchini kesho kwa ajili ya kufanya maonyesho tofauti katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TFDA YAWAALIKA WENYE DHAMIRA YA KUANZISHA VIWANDA KUPATA USHAURI KATIKA MSIMU...

Na Leandra Gabriel, Blogu ya jamiiMAMLAKA ya Chakula na Dawa nchini (TFDA) imewaalika watanzania wenye dhamira ya kuanzisha viwanda nchini kutembelea banda lao katika msimu huu wa sabasaba ili kupata...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

PROFESA KAMUZORA AWAASA WATUMISHI WA IDARA YA MPIGACHAPA MKUU WA SERIKALI...

Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu) Prof.Faustin Kamuzora amewataka watumishi wa Idara ya Mpigachapa Mkuu wa Serikali kuzingatia ubora na ufanisi katika uchapaji wa nyaraka za...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAFANYABISAHARA KUTOKA NCHI SABA WATEMBELEA BANDARI YA DAR ES SALAAM

WAFANYABIASHARA kutoka nchi saba zinazotumia Bandari ya Dar es Salaam wameipongeza Serikali kwa kuondoa changamoto walizokuwa wakilalamikia hivyo kuahidi kuendelea kupitia mizigo yao bandarini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MBALAWA KUTOWAFUMBIA MACHO WAFANAYAKAZI WAZEMBE

Na Karama Kenyunko, blogu ya jamii.Waziri wa maji na Umwagiliaji, Profesa Makame Mbarawa amesema hatamfumbia macho mfanyakazi atakayezembea kazini kwa namna yoyote badala yake atamsafisha mara moja na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

COSOTA YAWATAKA WASANII KUSAJILI KAZI KWA MANUFAA YAO

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.CHAMA cha Hakimiliki Tanzania COSOTA kimewataka wasanii wa filamu na muziki kutambua umuhimu wa kusajili kazi zao kabla ya kuzipeleka sokoni au kuuza kwa makampuni...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NiDA NA RITA WAENDELEA KUTOA HUDUMA KWENYE MAONYESHO YA SABASABA

Afisa Habari wa RITA Jaffar Malema akiendelea na zoezi la kuita majina kwa ajili kuwapatia vyeti vya kuzaliwa kwenye maonyesho ya 42 ya kimataifa ya biashara yanayoendelea Viwanja vya Sabasaba Jijini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAWAZIRI WAWILI WAWASILI MBEYA KUCHUNGUZA CHANZO CHA AJALI

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, akizungumza katika kikao kilichowakutanisha Wajumbe wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa wa Mbeya, baada ya kuwasili jijini hapo kwa ziara ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AMKABIDHI DKT TIZEBA MATREKTA 500 YA URSUS

Na Mathias Canal, Dar es salaamWaziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Kassim Majaliwa Majaliwa (Mb) leo 4 Julai 2018 amemkabidhi Waziri wa kilimo Mhe Dkt Charles Tizeba jumla ya matrekta...

View Article

JIJI HALINA MAMLAKA KUTOA KIBALI CHOCHOTE BILA MAMLAKA HUSIKA KUJUA-DC HAPI

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI KIGWANGALLA AHITIMISHA ZIARA YAKE MKOANI MBEYA, ATEMBELEA MAPOROMOKO...

Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla akipiga picha ya pamoja (Selfie) kwa kutumia simu yake ya mkononi na baadhi ya wafanyakazi wa Pori la Akiba Mpanga Kipengere alipotembelea pori...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANCDA YATOA HUDUMA YA USHAURI NA UPIMAJI WA MAGONJWA YASIYOAMBUKIZA BURE...

Na Leandra Gabriel, Globu ya Jamii.SHIRIKISHO la vyama vya magonjwa yasiyoambukiza (TANCDA) linalojihusisha na utoaji wa elimu ya afya, ushauri na upimaji wa magonjwa yasiyoambukiza, imepiga kambi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIWANDA CHA ASAS DAIRIERS LTD CHAIBUKA MSHINDI KIPENGELE CHA "FOOD AND...

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Kassim Majaliwa akimkabidhi kikombe cha ushindi wa jumla kipengele cha (Foods and Beverages) Bw. Jimmy Kiwelu Meneja wa Masoko na Matukio kiwanda cha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Watoto wa Kitanzania waweka lengo la kuipeleka Tanzania Kombe la Dunia

  RAIA wa Tanzania Laigwanani Mollel na Ziporah Godfrey Mollel walioshiriki michuano ya soka kimataifa ya Football for Friendship(F4F) wameondoka Urusi kurejea Tanzania wakiwa na ndoto yakuiwakilisha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

PROPERTY INTERNATIONAL WAFURAHIA USHINDI MAONESHO YA SABASABA

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Kassim Majaliwa akimkabidhi kikombe cha ushindi wa jumla kipengele cha (Trade in Services Exhibitor) Mkurugenzi wa Kampuni ya Property International...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KATIBU MKUU MPYA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI AWASILI OFISINI KWAKE DODOMA

 Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Jacob Kingu (kushoto) akimsalimia Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Kuwahudumia Wakimbizi, Deudedit Masusu wakati kiongozi huyo ambaye...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NSSF YANYAKUWA USHINDI WA JUMLA KATIKA MAONYESHO YA 42 YA BIASHARA YA...

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi Mkurugenzi Mkuu wa NSSF, Profesa Godius Kahyarara Tuzo ya Ushindi wa Jumla ya Maonyesho ya Biashara ya 42 ya Kimataifa ya Dar es salaam Julai 4, 2018. PMIO 1252...

View Article
Browsing all 110185 articles
Browse latest View live




Latest Images