Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110170 articles
Browse latest View live

MKURUGENZI MKUU NSSF AWATAKA WATANZANIA KUCHANGAMKIA FURSA YA MIKOPO...

View Article



BIMA YA NYUMBA NA KILIMO MKOMBOZI MPYA KATIKA UCHUMI WA VIWANDA - NIC

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TIB CORPORATE BANK YAWAKARIBISHA KWENYE MAONESHO YA SABASABA

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii. Benki ya TIB Coorporate imewataka wananchii kujitokeza kwenye banda lao lililopo ndani ya maonesho ya 42 ya Sabasaba na kuweza kufungua akaunti za benki hiyo ili...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DKT. NDUNGULILE AFUNGA KONGAMANO LA MADKTARI JIJI DAR ES SALAAM

  Naibu Waziri wa Afya Wanawake Jinsia na Watoto.Dk Faustine Ndungulile akizungumza wakati wa kufunga kongamano la sita la watalaamu wa Sayansi na tiba Naibu Waziri wa Afya Wanawake Jinsia na Watoto.Dk...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI LUGOLA ARIPOTI KAZINI, AANZA NA KIKAO NA WATENDAJI WAKUU

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola akiongozana na Naibu Waziri wa wizara hiyo, Mhandisi Hamad Masauni(kulia) baada ya kupokelewa  leo ofisi ndogo ya wizara,jijini Dar es Salaam.Picha na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANAWAKE NI NGUZO MUHIMU YA KUJENGA UCHUMI IMARA TANZANIA - DC WA MROGORO NA...

Mkuu wa Wilaya ya Gairo Mhe. Siriel Shaidi Mchembe amemtembelea Mkuu wa Wilaya ya Morogoro Mhe. Regina Chonjo  ili kujadiliana  masuala mbali mbali yanayozikabili wilaya zao. Waheshimiwa hawa waliweza...

View Article

BBC DIRA YA DUNIA JUMANNE 03.07.2018

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TARATIBU ZA MAZISHI YA ALIYEKUWA MBUNGE WA JIMBO LA KOROGWE VIJIJINI,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Magufuli atuma salamu za rambirambi kufuatia kifo cha Profesa Majimarefu

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA LEO JUMATANO JULAI 3, 2018

Kusoma zaidi BOFYA HAPA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TFDA YAWEZESHA MKOA WA KATAVI KUWA NA VIWANDA VINGI VYA UZALISHAJI VYAKULA

 Picha ya pamoja baina ya Wajasiriamali Wadogo wa Usindikaji wa Vyakula mkoani Katavi, Watumishi wa TFDA, na wawezeshaji kutoka Taasisi za Serikali katika Ufunguzi wa mafunzo ya siku mbili, tarehe 2 –...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Naibu Waziri Shonza atoa wito Kwa Halmashauri kutenga Fedha kuboresha miundo...

Na Lorietha Laurence-WHUSM, Mbulu Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza ametoa wito kwa uongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu Mjini kuhakikisha wanatengeneza miundo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RC KIGOMA ATOA MAAGIZO KWA WAKUU WA WILAYA, WAHANDISI KUUSIMAMIA MRADI WA...

Na Rhoda Ezekiel, KigomaMKUU wa Mkoa wa Kigoma Brigedia Generali Mstaafu Emanueli Maganga amewaagiza wakuu wa wilaya za Kibondo na Kakonko pamoja na Wahandisi wa Wilaya hizo kuweka kambi katika Kata ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWIJAGE AZINDUA KLINIKI YA BIASHARA SABASABA

WAZIRI wa viwanda na Biashara Charles ametoa angalizo kwa watu ambao wamepewa shamba la kupanda miwa mkoani kigoma kuhakikisha kuanza kazi hiyo na akikuta shamba hilo bado halijaendelezwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Naibu Waziri Mhe.Shonza Atoa Wito kwa Wasanii Nchini kuhamasisha Utalii wa Ndani

Naibu Waziri wa Habari , Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza (katikati) akiangalia uoto wa asili ambao hupatikana katika Hifadhi ya Taifa ya ya Ziwa Manyara wakati wa ziara ya kutembelea...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI JAFFO AMMWAGIA SIFA RC MAKONDA KWA KUWAJALI WALIMU.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI Mhe. Suleiman Jaffo amemwaga Sifa kwa Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda kwa jitiada binafsi za kuwaboreshea...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Serikali kuwaenzi Wanamichezo Wakongwe

Na Lorietha Laurence-WHUSM,Mbulu Mjini Serikali imeandaa mpango wa kuwaenzi watu mashughuri wakiemo wanamichezo wakongwe ambao wamewahi kuliletea taifa heshima katika mashindano mbalimbali akiwemo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BARAZA LA KILIMO NA MIFUGO TANZANIA(ACT) YAWASILISHA MATOKEO YA UTAFITI...

Mtafiti kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam,Renger Kanani akiwasilisha matokeo ya utafiti uliosimamiwa na Baraza la Kilimo na Mifugo Tanzania(ACT) kuhusu Kilimo cha Mkataba katika mazao ya Mbogamboga...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Benki ya Azania kuendelea kusaidia upatikanaji rahisi wa huduma za kifedha...

Ni benki ya kwanza ya kiasili inyowezesha huduma zote za kifedha sehemu moja kwenye Kliniki ya Biashara iliyopo kwenye maonyesho ya Sabasaba Benki ya Azania (ABL) ambayo ni benki binafsi ya kiasili...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

VIONGOZI WA AMCOS NNE WILAYANI IGUNGA WAKAMATWA KWA UNUNUZI WA PAMBA CHAFU

NA TIGANYA VINCENT,RS TABORA.SERIKALI ya Mkoa wa Tabora imemwagiza Mkuu wa Polisi wa Wilaya ya Igunga (OCD)Viongozi wa Vyama vya Msingi vya Ushirika(AMCOS) vinne kwa tuhuma za ununuzi wa pamba chafu na...

View Article
Browsing all 110170 articles
Browse latest View live




Latest Images