Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110089 articles
Browse latest View live

BBC DIRA YA DUNIA JUMATANO 04.07.2018

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE YAINGIA KATIKA ANGA ZA KIMATAIFA KWA KUWA...

Katika kuimarisha uhusiano na uboreshaji wa upasuaji wa magonjwa ya moyo ya kuzaliwa nayo kwa watoto Tanzania kupitia Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) imechaguliwa kuwa kituo cha ufuatiliaji na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wanahabari wamkumbuka Profesa Maji Marefu kwa ukarimu na ukaribu wake kwao

Na Benny KisakaMarehemu Profesa Maji Marefu alikuwa rafiki sana wa wanahabari, ambapo alikuwa mstari wa mbele katika kuwa karibu nao katika shida na raha.Mfano mmojawapo ni mwezi Novemba mwaka 2003...

View Article

UZINDUZI WA MAONESHO YA SABASABA 2018, WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AWATAKA...

View Article

Tangazo la kifo CHICAGO Marekani na Mbokomu, Moshi

Profesa James K. Shaba anasikitika kutangaza kifo cha mke wake, Elizabeth E. Shaba, kilichotokea Chicago IL, Marekani. Marehemu, aliyekuwa na miaka 80 aliaga dunia Jumapili, tarehe 1 Julai, 2018...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wakazi wa Mtoni Temeke, wapatiwa uhakika wa maji safi na salama

Na Karama Kenyunko, blogu ya jamiiMamlaka ya Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (DAWASA) imefanikisha kuboresha uzalishaji wa maji katika mtambo wa Mtoni baada ya kununua na kufunga pampu mpya za...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wafanyakazi wa NEMC wafikishwa Kizimbani

Na Karama Kenyunko, blogu ya jamii.Wafanyakazi wa  NEMC na wenzao  wamefikishwa katika ma ya Hakimu Mkazi Kisutu kujibu mashtaka nane ya uhujumu uchumi likiwemo la kughushi saini ya Waziri wa nchi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

GPSA YAUNGA MKONO JUHUDI ZA KUTOA ELIMU BURE KWA KUSAIDIA VIFAA VYA...

Na Said Mwishehe, Globu ya jamii WAKALA wa Huduma ya Ununuzi Serikalini(GPSA)umetoa msaada wa vifaa vya kufundishia kwa shule za msingi na sekondari wenye thamani ya zaidi ya Sh.milioni tisa....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Watumishi Muhimbili Wapigwa msasa Kuhusu Maadili, Rushwa

Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) imeendesha mafunzo ya siku mbili ambayo yamelenga kuwakumbusha watumishi wa hospitali hiyo kuzingatia sheria ya kupambana na rushwa mahali pa kazi sambamba na maadili...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Halmashauri yatenga Millioni 370 kuchimba Visima katika Vijiji 16 Tarime.

Na Frankius Cleophace Tarime.Halmashauri ya Wilaya ya Tarime Vijijini Mkoani Mara,  imeanza rasmi kazi ya kuchimba Visima Virefu Vya Maji katika Vijiji 16 kati ya Vijiji 88 vyenye thamani ya Shilingi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI KIGWANGALLA AAGIZA TFS KUCHANGIA MILIONI 20 KWA AJILI YA UJENZI WA...

Na Hamza Temba, RukwaWaziri wa Maliasili na Utalii Dk. Hamisi Kigwangalla ameiagiza Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania TFS kuchangia shilingi milioni 20 kwa ajili ya kukamilisha ujenzi wa Zahanati ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RC TEMEKE AWAMWAGIA SIFA WOISO ORIGINAL PRODUCTS KWA KUNYAKUA TUZO YA BIDHAA...

Na Leandra Gabriel , Globu ya Jamii.MKUU wa Wilaya ya Temeke Felix Lyaniva amewataka wananchi hasa watokao katika Manispaa ya  Temeke kujitokeza kwa wingi kushuhudia maonesho ya 42 ya Kimataifa ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WCF YAWAHIMIZA WAAJIRI NCHINI KUCHANGIA MFUKO HUO KWA WAKATI

Na Said Mwishehe,Globu ya jamiiMKURUGENZI Mkuu wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi(WCF) Masha Mshomba amewasisitiza waajiri wote nchini kulipa michango yao katika mfuko huo kwa wakati.Pia ameelezea namna...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANANCHI WAFURIKA KWENYE BANDA LA MAMLAKA YA VITAMBULISHO VYA TAIFA (NIDA)...

Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa NIDA Bi. Rose Joseph akimsikiliza mmoja wa wananchi waliofika kwenye banda la mamlaka hiyo kwa ajili ya kujiandikisha na kupata...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NIC KIDEDEA SABASABA, YANYAKUA TUZO MBILI KWA MPIGO

Big Boss: Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Bima la Taifa (NIC) Sam Kamanga akiwa amebeba vikombe vya mshindi wa kwanza katika sekta ya bima (kushoto), na cha ushindi wa pili (kulia) katika washindi wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje atembelea maonesho ya 42 ya biashara ya...

Mhe. Dkt. Susan Kolimba Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, akisaini kitabu cha wageni kwenye banda la Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki.Wa kwanza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KANGI LUGOLA NA MHANDISI ISAAC KAMWELWE WATEMBELEA ENEO LA AJALI NA MAJERUHI...

 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola (kulia), akimjulia hali mmoja wa majeruhi  aliyelazwa  katika Hospitali ya Rufaa Ifisi, ajali hiyo  iliyotokea hivi karibuni, katika eneo la Mlima...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI UMMY AFANYA KIKAO NA GLOBAL FUND

Mfuko wa Pamoja wa Dunia wa kushughulikia magonjwa ya TB,Maralia na Ukimwi (GLOBAL FUND) umeridhishwa kwa kiasi kikubwa na Jinsi Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Afya katika kupambana na magonjwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Watafiti wa afya waombwa kubaini sababu ya wanaume kukwepa kupima VVU

Naibu Waziri wa Afya , Maendeleo ya jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dk Faustine Ndugulile ametoa wito kwa watafiti wa afya nchini kufanya utafiti ili kubaini sababu na suluhisho kuhusiana na uwepo wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Airtel yazindua Hakatwi MTU HAPA –Tuma Pesa Bure kupitia Airtel Money

Kampuni ya simu za mkononi inayoongoza kwa utoaji wa huduma bora za Smartphone Airtel Tanzania kupitia huduma yake ya Airtel Money leo imetangaza na kuzindua huduma mpya kwa wateja wote wanaotumia...

View Article
Browsing all 110089 articles
Browse latest View live




Latest Images