Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110173 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NHC MNA JUKUMU LA KUWAFIKIA WATU WA CHINI - MAJALIWA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) lina jukumu kubwa la kuhakikisha sekta hiyo inakua na kuwafikia watu wa kipato cha chini.Amesema ya Serikali ya Awamu ya Tano,...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

UJUMBE KUTOKA KWA MWANDAAJI WA NEW MISS TANZANIA BASILLA MWANUKUZI

Napenda kuchukua fursa hii kuwasalimu na kuwapa taarifa rasmi kua mashindano ya urembo nchini pendwa ya Miss Tanzania yanaanza rasmi kesho tarehe 29 June 2018 na mikoa ya Dodoma na Mbeya. Ikifuatiwa na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MATAMASHA YA KUTOA ELIMU YA KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA YAENDELEA WILAYANI...

Na Frankius Cleophace SerengetiSHIRIKA la Righ to Play linaendelea na matamasha katika kata za  wilayani Serengeti mkoani Mara kwa lengo la kutoa elimu kwa jamii ili kuondokana na masuala ya ukatili wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DC MJEMA ATANGAZA ZAWADI ZA MISS ILALA

Na Heri ShaabanMKUU wa Wilaya Ilala jijini Dar es Salaam Sophia Mjema afanya ziara kutembelea kambi ya warembo wa Miss ILALA na kutangaza zawadi za warembo.Mjema ametangaza zawadi za walimbwende hao...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Viongozi wa Mahakama Wakumbushwa Kusimamia Utendaji wa Madalali

Na Jacquiline Mrisho – MAELEZO. Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma amewakumbusha viongozi wa Mahakama kusimamia kwa makini upangaji na utendaji wa madalali ili kudhibiti matumizi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA LEO JUMAPILI JULAI 1, 2018

Kusoma zaidi BOFYA HAPA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANANCHI WAMIMINIKA KAMPUNI CHOLEMU INVESTMENT KUJIPATIA VIWANJA, MASHAMBA...

*Ni katika banda lao lililopo Maonesho ya biashara viwanja vya Sabasaba*Meneja Masoko azungumzia mikakati yao kuelekea Tanzania ya viwandaNa Said Mwishehe,Globu ya jamiiKAMPUNI ya Cholemu Investment...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Makamu wa Rais Awasili Mauritania na kupokelewa na Waziri Mkuu wa Nchi Hiyo

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongozana na Waziri Mkuu wa Mauritania Mhe. Yahya Hademine mara baada ya kupokelewa kwenye uwanja wa ndege wa Nouakchott...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

"RUDI NYUMBANI, KUMENOGA..." TTCL CORPORATION YAWAAMBIA MAELFU YA WANANCHI...

 Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhe. Prof. Elisante Ole Gabriel akiongea na wanahabari baada ya kutembelea banda la TTCL Corporation katika viwanja vya maonesho ya Biashara ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DKT. MAGUFULI ASALI IBADA YA JUMAPILI DOMINIKA YA 13 KANISA LA MTAKATIFU...

   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo Julai 1, 2018 ameungana na waumini wengine kusali Ibada ya Jumapili, Dominika ya 13, katika Kanisa Katoliki la Mtakatifu Petro...

View Article

MICHUZI TV LIVE: AJALI YA BARABARANI JIJINI MBEYA LEO

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TRA YAENDELEA KUTOA HUDUMA MBALIMBALI KATIKA MAONYESHO YA SABASABA

Na Veronica Kazimoto,Dar es SalaamMamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inaendelea kutoa huduma mbalimbali ikiwa ni pamoja na kupokea maoni na mrejesho kutoka kwa wananchi, usajili wa walipakodi na kutoa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS AHUDHURIA UFUNGUZI MKUTANO WA 31 WA WAKUU WA NCHI NA SERIKALI...

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu leo amehudhuria ufunguzi wa Mkutano wa 31 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika (AU) katika mji Nouakchott, Mauritania....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAKAZI KIGAMBONI WAMWANGUKIA RAIS MAGUFULI,RC MAKONDA KUWASAIDIA KUTATUA KERO...

Na Emmanuel Massaka ,Globu ya jamiiWAKAZI wa  Kata ya Somangila  wilayani Kigamboni mkoani Dar es Salaam  wamemuomba  Rais Dk.John Magufuli pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Dar es SalaamPaul Magufuli...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKOA WA GEITA KUFANYA MAPINDUZI YA MADINI YA DHAHABU NA VITO

Na Chalila Kibuda, Globu ya JamiiMKOA wa Geita unatarajia kufanya mapinduzi katika sekta ya madini ya Dhahabu na Vito katika kuunga mkono juhudi za Serikali yenye dhamira ya uchumi wa viwanda.Mapinduzi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAMLAKA YA MAABARA YA MKEMIA MKUU WA SERIKALI WATOA ELIMU KWA WANANCHI...

 Mtumishi wa Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali,    Bw. Kagera Ng’weshemi (kushoto) akimueleza mwananchi kuhusiana na uchunguzi wa kimaabara wa dawa za kulevya na sumu unavyofanyika kwa...

View Article

UPATIKANAJI WA MAJI BONDE LA MTO WAMI/RUVU

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NEWZ ALERT: AJALI YAUA WATU 20 MBEYA, YAJERUHI 48 baada ya magari manne...

Na Said Mwishehe,Globu ya jamii WATU 20 wakiwamo wanaume 10 na wanawake 10 wamepoteza maisha katika ajali ya gari iliyotokea katika eneo na Mlima Iwimbi mkoani Mbeya huku watu 48 wakijeruhiwa....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BREAKING NYUZZZZ....: RAIS DKT. MAGUFULI AFANYA MABADILIKO MADOGO KATIKA...

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Eng. John Kijazi akitangaza majina ya Viongozi mbalimbali walioteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es Salaam. 

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BENKI YA CRDB TAWI LA OYSTERBAY WAWAKUTANISHA PAMOJA WATEJA WAKE WA AKAUNTI...

Mkurugenzi wa Rasilimali watu wa Benki ya CRDB, Dorah Ngaliga (wa tatu kushoto) akikata keki katika sherehe maalum kwa wateja wa Akaunti ya Malkia wa Benki hiyo tawi la Oysterbay, iliyofanyika mwishoni...

View Article
Browsing all 110173 articles
Browse latest View live




Latest Images