WATANZANIA CHANGAMKIENI KUSHIRIKI TAMASHA LA KIMATAIFA LA TUBINGEN,UJERMANI
Habari njema kwa Watanzania wapenda maendeleo kwa fursa kubwa huko ughaibuni katika tamasha kubwa la kimataifa linaloitwa Afrobeats Summer Festival litakalofanyika Tubingen nchini Ujerumani. Mratibu wa...
View ArticleRAIS AAGIZA SH. MILIONI 308 ZA MAADHIMISHO YA SIKU YA MASHUJAA ZITUMIKE...
RAIS Dkt. John Magufuli ameagiza sh. milioni 308 zilizotengwa kwa ajili ya Maadhimisho ya Siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa, zitumike kuboresha miundombinu ya barabara jijini Dodoma.Ametaja miundombinu...
View ArticleHOTUBA YA MHESHIMIWA KASSIM M. MAJALIWA (MB.), WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA...
UTANGULIZIShukraniMheshimiwa Spika,awali ya yote namshukuru sana Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema kwa kutufikisha siku hii ya leo tukiwa na afya njema ambapo tunahitimisha Mkutano wa 11 ulioanza Jumanne...
View ArticleMAKAMU WA RAIS AKUTANA NA NAIBU KATIBU MKUU WA UMOJA WA MATAIFA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Amina J. Mohammed ambapo walikutana katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mohammed...
View ArticleBARAZA LA UUGUZI LAWATIA HATIANI WAUGUZI WAKUNGA SITA
Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania (TNMC) limewakuta na hatia na kuwapa karipio kali la maandishi Wauguzi Wakunga sita katika Hospitali ya Mkoa wa Morogoro kwa kushindwa kutimiza majukumu yao ya...
View ArticleDawa za kulevya zilivyopoteza ndoto yangu ya kuzaa - Leija
Msichana Leija Chawe, muathirika wa dawa za kulevya kwa takribani miaka 15 anasimulia. Kisa kilichomkuta baada ya kutumia dawa za kulevya. Ni katika maadhimisho ya kitaifa ya kupiga vita dawa za...
View ArticleSUMATRA YAANZA KUTEKELEZA AGIZO LA NAIBU WAZIRI WA UCHUKUZI NA MAWASILIANO
Na EmanuelMadafa,Mbeya.MAMLAKA ya Udhibiti na Usafirishaji wa Nchi Kavu na Reli, (SUMATRA),imeanza kutekeleza agizo la Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi . Atashasta Nditiye,ambalo...
View ArticleBENKI YA WATU WA ZANZIBAR YATIMIZA MIAKA 52 TANGU KUANZISHWA KWAKE,YATOA...
Na Emmanuel Massaka, Globu ya jamiiBENKI ya Watu wa Zanzibar(PBZ),leo imefanya Sherehe ya kutimiza miaka 52 tangu kuanzishwa kwake ambapo uongozi wa benki hiyo umewaomba Watanzania kuhakikisha...
View ArticleMAMBO MUHIMU YANAYOPATIKANA KATIKA RIPOTI YA UTAFITI WA UHISANI NCHINI...
TANZANIANS the community and even in developing various social services in order to help the country move forward.That has been said earlier yesterday in Dar es Salaam and Member of the Board of...
View ArticleRC MAKONDA ATANGAZA FURSA KWA JKT NA MGAMBO
Na Leandra Gabriel, Globu ya jamiiMKUU wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda amewataka vijana waliohitimu mafunzo ya JKT na Mgambo na hawana kazi wafike katika ofisi ili kushirikiana katika kuweka jiji...
View ArticleWAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AFUNGUA JENGO LA BIASHARA LA NHC SINGIDA,AITAKA...
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) lina jukumu kubwa la kuhakikisha sekta hiyo inakua na kuwafikia watu wa kipato cha chini.Amesema ya Serikali ya Awamu ya Tano,...
View ArticleNIDA KUTUMIA MAONESHO YA BIASHARA KUTOA VITAMBULISHO KWA WAKAZI WA MKOA DAR
MAMLAKA ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) imewataka wakazi wa Mkoa wa Dar es Salaam ambao hawana vitambulisho vya Taifa kufika kwenye banda lao lililopo Maonesho ya biashara ya kimataifa Sabasaba jijini...
View ArticleWANAOTUMIA WATOTO YATIMA, WAISHIO MAZINGIRA MAGUMU KAMA KITEGA UCHUMI SASA...
Na Emmanuel Masaka,Globu ya jamii MKUU wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda ametangaza vita na watu wenye tabia za kuwachukuwa watoto yatima,walemavu na waishio katika Maisha magumu kama mitaji ya...
View ArticleWAFANYABIASHARA WA DHAHABU MARA WAONDOKANA NA ADHA.
Na Frankius Cleophace, Musoma.Wafanyabiashara wa Madini kutoka Migodi mbalimbali ya Dhahabu Mkoani Mara wameondokana na adha waliyokuwa wakiipata ya kusafirisha Mchanga wa dhahabu kwaajili ya kuchenjua...
View ArticleKAMISHNA MKUU WA TRA AWAHIMIZA WANANCHI KULIPA KODI KWA WAKATI
Na Veronica Kazimoto,Dar es SalaamKamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Charles Kichere ametoa wito kwa wananchi kujenga tabia ya kulipa kodi mbalimbali kwa wakati ikiwepo Kodi ya...
View Article
More Pages to Explore .....