Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110031 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Sifa za uombaji wa pasipoti mpya zimeainishwa na Idara ya Uhamiaji kwa...

Na Chalila Kibuda, Globu ya Jamii,Msemaji wa Idara ya Uhamiaji , Ally Mtanda ameainisha sifa za kuweza kupata hati ya kusafiria kwa njia ya kieletroniki. Akizungumza na Michuzi Blog katika Maonesho ya...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA LEO JUMATATU JULAI 2, 2018

Kwa habari zaidi BOFYA HAPA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BODI YA USHAURI YA HOSPITALI TEULE YA MKOA SIMIYU YAZINDULIWA

Mwenyekiti wa bodi ya ushauri ya Hospitali Teule ya mikoa wa Simiyu, Bw. Gigi Mathias akiwaonesha wajumbe wa bodi hiyo mwongozo wa kuendesha bodi hiyo mara baada ya bodi hiyo kuzinduliwa.Na Stella...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Pinda akutana na ujumbe wa Mradi wa Utambuzi wa Sanaa za Ufundi Tanzania (TACIP)

Waziri Mkuu Mstaafu, Mhe. Mizengo Pinda akielezea jambo kwa wawakilishi wa mradi wa TACIP baada ya kupokea barua yao. Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Bw....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMATI YA MIUNDOMBINU YATAKA THAMANI YA FEDHA KATIKA MIRADI YA RELI

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imeutaka uongozi wa Kampuni ya Reli (TRC), kuhakikisha fedha zilizotengwa kwa ajili ya ukarabati wa miundombinu ya reli zinatumika kwa miradi iliyotengewa ili...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAARIFA YA NSSF KUFUATIA AJALI YA GARI ILIYOUNGUA MOTO ENEO LA DARAJA LA...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mratibu wa UN azuru maonesho ya sabasaba

MRATIBU Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa nchini, Bw. Alvaro Rodriguez ametembelea maonesho ya biashara ya kimataifa ya Dar es Salaam. Akiwa katika maonesho hayo, maarufu kama ya Sabasaba...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Dk Kigwangalla aiagiza mikoa ya nyanda za Juu Kusini kuandaa mkakati wa...

Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk Hamisi Kigwangalla amezindua rasmi maonesho ya tatu ya Utalii Karibu Kusini 2018 yatakayofanyika mkoani Iringa Septemba 26 hadi 30 mwaka huu, huku akiwataka wakuu wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WIZARA YA AFYA YATANGAZA RASMI KUPOKEA HOSPITALI ZA RUFA ZA MIKOA.

NA WAMJJW-DAR ES SALAAM WIZARA ya afya, Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto imetangaza rasmi kuanzia Juali 1 2018 imepokea Hospitali 28 za Rufaa za Mikoa ambazo zilikuwa chini ya usimamizi wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HESLB yajipanga kuongeza ufanisi

Na Chalila Kibuda, Globu ya JamiiMkurugenzi Mtendaji wa HESLB Abdul-Razaq Badru amesema wameyapokea maoni ya wadau na watayafanyia kazi ili kuongeza ufanisi katika utoaji na urejeshaji wa mikopo.Badru...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SEKTA ISIYO RASMI KUNUFAIKA NA MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII KUTOKA NSSF

Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii,Kanda ya Kaskazini .SHIRIKA la Taifa ya Hifadhi ya Jamii (NSSF) limeingia mkataba na Benki za Azania,NMB na NBC  kwa  ajili ya utoaji wa mikopo kwa wanachama wake...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAFANYABIASHARA WA SOKO LA KISUTU WAISHUKURU SERIKALI

Wafanyabiashara wa soko la Kisutu jijini Dar es salaam wameishukuru Serikali kwa uamuzi wake wa kulijenga upya soko lao ili waweze kufanya biashara zao katika mazingira mazuri.Shukrani hizo wamezitoa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TRC YAENDELEA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA RELI YA KATI KUTOKA DAR HADI ISAKA

*Yasema ni marufuku kufanya biashara pembezoni mwa reli, yaiomba jamii kulinda miundombinuNa Said Mwishehe, Globu ya jamiiSHIRIKA la Reli Tanzania(TRC)limesema linaendelea na mkakati wa uboreshaji wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAARIFA KWA UMMA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DKT. MAGUFULI AWAAPISHA VIONGOZI MBALIMBALI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Profesa Makame Mnyaa Mbarawa kuwa Waziri wa Maji na Umwagiliaji Ikulu jijini Dar es Salaam.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI NDALICHAKO AFUNGUA MKUTANO WA SITA WA KISAYANSI WA MUHAS

Na Humphrey Shao , Globu ya JamiiWAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako leo amefungua Mkutano wa sita wa kisayansi ulioandaliwa na Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi cha...

View Article

Michuzi TV: WAZIRI NDALICHAKO AFUNGUA MKUTANO WA SITA WA KISAYANSI WA MUHAS

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Maongezi ya Kina Leo na Msomaji Wangu

Na Profesa Joseph MbeleLeo nimekuwa na maongezi ya kina na msomaji wangu, mchungaji ambaye nilishamtaja katika blogu hii. Tulikutana mjini Hastings, Minnesota, tukaongeaa kwa saa mbili na robo....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI KIGWANGALLA ATOA SIKU 90 KWA TAWIRI KUFANYA SENSA YA MAMBA ZIWA RUKWA...

Na Hamza Temba, SongweWaziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla ametoa miezi mitatu kwa Taasisi ya Utafiti wa Wanyamapori Tanzania (TAWIRI) kufanya utafiti na sensa ya mamba katika ziwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI NDALICHAKO AFUNGUA MKUTANO WA SITA WA KISAYANSI WA MUHAS

Na Humphrey Shao , Globu ya JamiiWaziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako leo amefungua Mkutano wa sita wa kisayansi ulioandaliwa na Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi cha...

View Article
Browsing all 110031 articles
Browse latest View live




Latest Images