Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110181 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NHIF YAWAHAMASISHA WANAUSHIRIKA KUJIUNGA NA MPANGO WA BIMA YA AFYA

MFUKO wa Taifa wa Bima ya Afya mkoani Tanga(NHIF) umewahamasisha wanaushirika mkoani Tanga kujiunga na mpango wa Ushirika Afya ili waweze kupata kadi za matibabu ambazo wanaweza kunufaika na huduma ya...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAA TAYARI KWA TAMASHA LA ASAS MTOTO DAY OUT VIWANJA VYA POSTA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANZANIA NI KIMBILIO KWA WALIOKOSA AMANI-MAJALIWA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema kuvumiliana na kustahamiliana ndiko kunakolifanya Taifa la Tanzania kuwa mfano wa kuigwa na kimbilio la wale waliovurugikiwa na amani katika nchi zao. Kadhalika,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NSSF YAKABIDHI MASHINE 12 ZA KUPIMA SHINIKIZO LA DAMU KATIKA HOSPITALI YA...

Na Said Mwishehe,Globu ya jamiiSHIRIKA la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) Mkoa wa Temeke jijini Dar es Salaam limetoa mashine za kupima shinikizo la damu 12 zenye thamani ya Sh.5,000,000 kwa Hospitali...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SPIKA NDUGAI APOKEA TUZO YA BALOZI WA AMANI BUNGENI JIJINI DODOMA

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akipewa tuzo ya Balozi wa amani na Mwenyekiti wa Umoja wa Kimataifa wa Wabunge wapenda amani, Dkt. Thomas Walsh katika hafla ya kuzindua tawi la Wabunge...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKANDARASI FANYENI KAZI KWA BIDII NA UADILIFU-KWANDIKWA

Naibu Waziri wa Ujenzi, Elias Kwandikwa amezungumzia umuhimu wa Makandarasi kuungana ili kupata miradi mingi inayotekelezwa na Serikali na hivyo kuwezesha fedha nyingi zinazopelekwa kwenye miradi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JAFO ATOA WITO KUSAIDIA WANAFUNZI WASIOJIWEZA ILI KUINUA ELIMU

Na. Zulfa Mfinanga na Fred Kibano,WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe.Selemani Jafo, leo amekabidhi msaada wa vifaa vya shule kwa wanafunzi wasiojiweza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANZANIA KUNUFAIKA NA VIPAUMBELE VYA MPANGO MKAKATI WA SHIRIKA LA HALI YA...

Tanzania  kupitia Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imeshiriki katika Mkutano wa Sabini wa Kamati Kuu ya Utendaji ya Shirika la Hali ya Hewa Duniani (World Meteorological Organization Executive...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Halotel, StarTimes waleta kombe la dunia kiganjani

Bando hii itawawezesha wateja wa Halotel na StarTimes kutazama Soka kwenye simu zao kwa gharama nafuu sana.Huku mshike mshike wa kombe la dunia ukiendelea kukolea, Kampuni ya Mawasiliano ya Simu ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Bei ya Ufuta katika wilaya ya Kibiti yazidi kupaa

*Ni kutokana na mfumo wa stakabadhi ghalaniNa Chalila Kibuda, Globu ya JamiiBEI ya ufuta katika wilaya ya Kibiti imezidi kupaa kutoka shilingi 2750 hadi 3100 kwa kilo na kufanya wakulima kunufaika na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DKT TIZEBA AZINDUA MKUTANO WA BARAZA LA WAFANYAKAZI WA WIZARA YA KILIMO...

Na Mathias Canal, WK-DodomaWaziri wa kilimo Mhe. Dkt Charles Tizeba leo 28 Juni 2018 amefungua mkutano na kuzindua Baraza la wafanyakazi wa wizara ya kilimo, mkutano utakaotuama kwa siku mbili kuanzia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TPW YATOA SH MILIONI 40 KWA WANAWAKE 250 WILAYANI MONDULI KUFANIKISHA...

Na Ripota Wetu, Arusha MAISHA ya wanawake 250 waliopo Kata ya Lemooti na Mswakini Monduli mkoani Arusha yanataraji kubadilika baada ya Asasi ya Watu na wanyama(TPW) kuwapatia Sh.milioni 40 za mradi wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Makamu wa Rais aelekea Mauritania kumuwakilisha Rais kwenye mkutano wa Umoja...

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan anaondoka jioni ya leo kuelekea nchini Mauritania ambako atamuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS WA ZIMBABWE EMMERSON MNANGAGWA AWASILI NCHINI NA KUPOKEWA NA MWENYEJI...

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa amesimama pamoja na mgeni wake Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa wakati nyimbo za mataifa mawili ya Tanzania na Zimbabwe...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANZANIA NI KIMBILIO KWA WALIOKOSA AMANI-MAJALIWA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema kuvumiliana na kustahamiliana ndiko kunakolifanya Taifa la Tanzania kuwa mfano wa kuigwa na kimbilio la wale waliovurugikiwa na amani katika nchi zao. Kadhalika,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Zimbabwe Kuendelea kuimarisha uhusiano na Tanzania

Na. Immaculate Makilika –MAELEZORais wa Jamhuri ya Zimbabwe Emmerson Mnangangwa amesema serikali yake itaendelea kushirikiana na kuimarisha uhusiano wake na Tanzania ili kuimarisha uchumi wa nchi hizo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NIDA KUTOA VITAMBULISHO VYA URAIA MSIMU WA SABASABA

Na Leandra Gabriel, Blogu ya jamiiMAMLAKA ya vitambulisho vya taifa (NIDA) itatua muda wa wiki mbili za msimu wa sabasaba kuanzia June 28 hadi Julai 2 kutoa vitambulisho vya uraia kwa wakazi wa Dar es...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ASAS DAIRIES PAVILLION AT MWALIMU NYERERE SABASABA GROUNDS

View Article

BBC DIRA YA DUNIA ALHAMISI 28.06.2018

View Article

MICHUZI TV: WAMILIKI WA KAMPUNI YA UTALII NCHINI WAPEWA DARASA LA VITUTIO VYA...

View Article
Browsing all 110181 articles
Browse latest View live




Latest Images