Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 109979 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI KUBORESHA MFUMO WA HUDUMA ZA VIBALI VYA AJIRA NA UKAAZI NCHINI

Serikali kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Watu Wenye Ulemavu kwa kushirikiana na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi (Idara ya Uhamiaji) imekusudia kufanya mabadiliko ya kimfumo ambayo...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMPUNI ZA BIMA KURUHUSIWA KUSAJILI MAWAKALA KADRI YA UWEZO WAO, SERIKALI...

*Kamishna wa Bima nchini atoa ufafanuzi , aipongeza kampuni ya Sanlam kwa kutimiza miaka 100Na Said Mwishehe,Globu ya jamiiKAMISHNA wa Bima nchini Dk.Baghayo Saqware amesema kuanzia Agosti mwaka huu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI YAUTAKA MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA KUONGEZA KASI YA KUBUNI...

SERIKALI imeutaka Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), kuongeza kasi katika kubuni mikakati na maboresho ikiwemo taratibu za kujiunga ambazo zitawawezesha wananchi wengi zaidi kunufaika na huduma...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA LEO IJUMAA JUNI 29, 2018

Kwa habari zaidi BOFYA HAPA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI PROFESA NDALICHAKO MGENI RASMI KONGAMANO LA MUHAS JULAI 2

Na Humphrey Shao, Globu ya Jamii. WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Joyce Ndalichako anataraji kuwa mgeni rasmi katika kongamano la sita la kisayansi lililoandaliwa na Chuo Kikuu cha Afya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Unesco wakabidhi kijiji digitali cha Ololosokwan kwa serikali

SHIRIKA la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) wamekabidhi rasmi kijiji cha digitali cha Ololosokwan katika sherehe kubwa iliyofanyika kijijini hapo na kuhudhuriwa na viongozi wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KATIBU MKUU WA CCM BASHIRU ALLY AMTAKA MFANYABIASHARA JIJINI DODOMA KUREJESHA...

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Dk. Bashiru Ally amemtaka mfanyabiasha aliyetajwa kwa jina moja la Deogratius wa jijini hapa, kurejesha kwa hiari yake eneo la CCM ambalo anadaiwa kulihodhi kwa miaka...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Serikali inatarajia kuzindua muongozo wa Uendeshaji Viwanda nchini Julai 2

Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii SERIKALI imesema katika kukuza biashara nchini imesema inatarajia kuzindua Muongozo wa Uendeshaji Viwanda nchini Julai 2, mwaka huu kupitia Serikali Mitaa ili...

View Article


JARIDA LA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII - JAN-JUNE, 2018

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TRC YAZINDUA TRENI YA MIZIGO,YABEBA TANI 2,400 KUPELEKA NCHINI UGANDA

Na Zainab Nyamka, Globu ya JamiiSHIRIKA la Reli Tanzania (TRC) limezindua treni ya mizigo kuelekea nchini Uganda ikiwa imebeba shehena ya mzigo wa tani 2,400 wa Shirika la Chakula Duniani (WFP).Kubebwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI LUKUVI KUONGOZA MKUTANO MKUU WA MWAKA WA SHELTER AFRIQUE - KENYA

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi; William Lukuvi amekutana na viongozi wakuu wa Kampuni ya kuwezesha upatikanaji wa nyumba za bei nafuu – Shelter Afrique jijini Dar es Salaam.Waziri...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waogeleaji wa Bluefins kushiriki mashindano ya Kenya

Jumla ya waogeleaji 11 wa klabu inayokuja juu kwa kasi katika mchezo wa kuogelea nchini, Bluefins watashiriki mashindano ya Mombasa yaliyopangwa kuanza leo.Mashindano hayo ya kimataifa, yanashirikisha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CERA yafika Tanzania

Dar es Salaam: CERA Sanitaryware, chapa inayokua kwa kasi imezinduliwa kwenye hoteli ya Ramada Encore jijini Dar es salaam hivi karibuni. CERA inashirikiana na Imports International(T)Ltd (IIL), wadau...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BENKI YA CRDB YADHAMINI MKUTANO WA MAKANDARASI JIJINI DODOMA

Meneja Mahusiano wa Benki ya CRDB anayeshughulikia wateja wakubwa na taasisi, Jane Ikira, akimkaribisha Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Elias Kwandikwa, alipotembelea banda la benki...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RC TABORA KUPAMBANA NA WACHOMAJI MOTO MISTU

WATENDAJI wa ngazi mbalimbali Mkoani Tabora wameagiza kuanza zoezi la kuwasaka na kuwakamata watu ambao wamekuwa na tabia ya kuchoma moto ovyo wakati wa maandalizi ya mashamba na wengine kwa ajili ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JUMUIYA ZA WATUMIA MAJI ZAASWA KUFANYA KAZI KWA UADILIFU

Jumuiya za Watumia Maji nchini zimeaswa kufanya kazi kwa uadilifu ili kuweza kulinda na kuhifadhi rasilimali za maji kwa ajili ya manufaa ya taifa katika warsha ya siku mbili iliyoshirikisha Jumuiya za...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BALOZI WA KUWAIT ALIVYOADHIMISHA SIKU YA ALBINO DUNIANI

 Balozi wa Kuwait nchini Tanzania, Jaseem Al Najem (katikati waliosimama) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya vijana wenye Ualbino katika kushirikiana nao kuadhimisha siku albino duniani...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MSIMU WA SABASABA 2018 UMEWADIA, MAONESHO YAMEANZA TOKEA JANA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tigo yatoa ofa murwa kwa simu janja za kisasa zenye vifurushi vya intaneti...

Meneja Mawasiliano wa Tigo, Woinde Shisael akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo alipotangaza kuwa kwa mwaka wa tatu mfululizo, Tigo ndio mdhamini mkuu wa mawasiliano katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kazi ya kiongozi ni kujua matatizo ya wananchi- Diwani Nuru Awadh

Na Chalila Kibuda, Globu ya JamiiDiwani wa Viti Maalum wa Manispaa ya Ilala , Nuru Awadh amesema kuwa kazi ya kiongozi ni kujua matatizo ya wananchi na sio kujifungia kwa kizingizio uchaguzi ulishapita...

View Article
Browsing all 109979 articles
Browse latest View live


Latest Images