MAJALIWA AZINDUA VITUO 51 VYA KUFUATILIA TAARIFA ZA HALI YA HEWA WILAYNI BAHI
WAZIRIMKUU Kassim Majaliwa amewataka wataalamu wa sekta za kilimo, mifugo na maji watumie taarifa za hali ya hewa zinazotolewa na Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) ili waongeze ufanisi katika...
View ArticleAirtel announces AMSHA AMSHA NA AIRTEL MONEY USHINDE winners
Airtel Tanzania the smartphone network in partnership with SportPesa has today announced the first winners of The “AMSHA AMSHA NA AIRTEL MONEY USHINDE” promotion which was launched on 14th June this...
View ArticleBenki ya Barclays yazindua huduma za kibenki kwa njia ya mtandao kwa wateja...
Mtaalamu wa Huduma za Kidigitali wa Benki ya Barclays Tanzania (BBT), Jesse Jackson (katikati), akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa huduma za kinbenki kwa njia mtandao wa intaneti...
View ArticleBALOZI SEIF ALI IDD APONGEZA UTENDAJI KAZI WA MFUKO WA MAENDELEO YA JAMII...
Na Estom Sanga- TASAFMakamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Balozi Seif Ali Idd amesema mchango unaotolewa na Mfuko wa Maendeleo ya Jamii –TASAF katika shughuli za maendeleo hususani...
View ArticleSERIKALI KUMALIZA TATIZO LA MAFUTA YA KULA-MAJALIWA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali imedhamiria kumaliza tatizo la upatikanaji wa mafuta ya kula nchini kwa kufanya mageuzi makubwa katika zao la michikichi, alizeti na ufuta.Ameyasema hayo...
View ArticleMEYA TEMEKE ATAKA WANAOPEWA MIKOPO KUITUMIA KWA MALENGO WANAOPEWA MIKOPO...
MEYA wa Manispaa ya Temeke jijini Dar es Salaam Abdallah Chaurembo amevitaka vikindu vya ujasiriamali vilivyopo ndani ya halmashauri ya hiyo kutumia mikopo wanayopata kwa malengo ya kujikwamua...
View ArticleUPELELEZI SHAURI LA MAUAJI MMILIKI WA SHULE YA SEKONDARI SCOLASTICA WAKAMILIKA
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi ,Moshi imeelezwa upelelezi wa shauri la mauaji linalomkabili mmiliki wa shule ya sekondari ya Scolastica umekamilika.Wakili wa serikali anayeiwakilisha Jamhuri katika shauri...
View ArticleMJUMBE WA NEC GACHUMA AWAONGOZA WANANCHI SIMIYU MAZISHI YA DC NA MBUNGE...
Na Stella Kalinga, SimiyuMjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kupitia Mkoa wa Mara, Christopher Gachuma amewaongoza wananchi na viongozi wa CCM na Serikali wa mkoa wa Simiyu katika mazishi ya...
View ArticleKIGWANGALLA APOKEA TAARIFA YA AWALI YA KAMATI YA KOVA KUHUSU TUHUMA ZA MAUAJI...
VIDEOWaziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla akipokea taarifa ya awali ya uchunguzi wa tuhuma za mauaji ya Tembo katika Ikolojia ya Ruaha-Rungwa ambazo ziliripotiwa na kituo cha habari...
View ArticleNEWZ ALERT: NOAH YAUA WATANO MTWARA
JOSEPH MPANGALA- MTWARA Watu watano wamefariki dunia papo hapo na wengine watatu kujerehiwa Vibaya kutokana na ajali ya gari kuacha barabara Kuanguka na kisha Kuwaka moto katika barabara ya...
View ArticleNAIBU SPIKA DKT. TULIA MGENI RASMI SIMIYU FESTIVAL 2018
Na Stella Kalinga, Simiyu,Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mhe. Dkt. Tulia Ackson anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika tukio kubwa linalojulikana kwa jina la Simiyu Jambo...
View ArticleAGIZO LA WAZIRI UMMY MWALIMU LAANZA KUTEKELEZWA
Na Mwandishi Wetu – DodomaAgizo alililotolewa na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu la kuanzishwa kwa madawati ya kijinsia katika shule za Msingi na Sekondari...
View ArticleRAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AKUTANA NA UONGOZI WA WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali katika kikao cha siku moja cha Utekelezaji wa...
View ArticleJumia yaadhimisha miaka 6 ya mapinduzi ya biashara za mtandaoni Afrika
Takribani wateja 500,000 wanatembelea Jumia ndani ya mwezi katika mwaka huu 2018, kutoka wastani wa wateja 250,000 kwa mwezi mwaka 2017.Makampuni ya Kiafrika zaidi ya 60,000 na wafanyabiashara...
View ArticleMwijage awataka Wahandisi Kujiongeza
Na Jacquiline Mrisho - MAELEZO.Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage amewataka wahandisi nchini kujiongeza katika kutafuta fursa mbalimbali zikiwemo za ujasiriamali ili...
View ArticleWAKALA WA USAFIRISHAJI WATEMBELEA CBT
JOSEPH MPANGALA,MTWARA Wawakilishi wa Baraza la usafirishaji Korosho Kutoka Nchini India (CEPCI) wamefanya ziara Mkoani Mtwara na kukutana na wadau wa usimamizi,ununuzi na usafirishaji wa zao la...
View ArticleRC Wangabo ashauri gereza la Mollo kutumia ekari elfu 11 kwa kilimo cha...
Mkuu wa mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo ameshauri jeshi la magereza kuhakikisha wanazitumia ekari 11,000 zinazomilikiwa na jeshi hilo kwaajili ya mazao ya alizeti pamoja na kahawa ili jeshi hilo...
View ArticleWaogeleaji wa Bluefins kushiriki mashindano ya Kenya
Jumla ya waogeleaji 11 wa klabu inayokuja juu kwa kasi katika mchezo wa kuogelea nchini, Bluefins watashiriki mashindano ya Mombasa yaliyopangwa kuanza leo.Mashindano hayo ya kimataifa, yanashirikisha...
View Article
More Pages to Explore .....