Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110186 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI KUENDELEA KUHAMASISHA JAMII KUCHANGIA DAMU

NA BALTAZAR MASHAKA, MWANZASERIKALI mkoani Mwanza imezindua klabu ya wachangiaji damu wa kundi maalumu (RH Nagative) na kuahidi kuendelea kuhamasisha jamii iweze kuchangia damu itakayosaidia kuokoa...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWENYEKITI WA UVCCM TAIFA AKABIDHI ZAWADI MASHINDANO YA MASAUNI-JAZEERA...

 Mwenyekiti wa Taifa wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), Kheri James (wapili kulia), Mwakilishi wa Jimbo la Kikwajuni, Nassoro Salim Jazeera (wakwanza kulia) na Mbunge wa jimbo hilo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAARIFA YA TUKIO LA MOTO KARIAKOO

View Article

VOA SWAHILI: Duniani Leo Mei 15, 2018

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MZEE MWINYI AHIMIZA UMOJA, MSHIKAMANO NA KUVUMILIANA

Na Said Mwishehe, Globu ya jamii*Asisitiza umuhimu wa kumuombea Rais Magufuli ili atekeleze yale anayoyafanya kwa maslahi ya TaifaRAIS mstaafu wa Serikali ya Awamu ya Pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed...

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein  na Waziri wa Katiba,Sheria.Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe.Haroun Ali Suleiman (katikati) wakifuatana mara...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MICHEZO YA PIKIPIKI YAWA KIVUTIO TAMASHA LA SPORT MUSIC FESTIVAL KANDA YA ZIWA

Na Agnes Francis,Glob ya jamiiWAKAZI wa Kanda ya Ziwa wamejikuta wakishuhudia burudani ya aina yake kutokana na kushuhudia mchezo wa mashindano ya pikipiki. Burudani hiyo ya aina yake ambayo ni sehemu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI JUNI 16, 2018

Kusoma zaidi BOFYA HAPA

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANZIA: RAIS WA TCCIA NDIBALEMA JOHN MAYANJA AFARIKI DUNIA

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DK. MNDOLWA AMALIZA ZIARA YAKE KATIKA MIKOA YA KANDA YA ZIWA NA MKOA WA SINGIDA

Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi Tanzania ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Dk. Edmund Mndolwa akipata maelezo kuhusu eneo lenye madini la Jumuiya hiyo lililopo katika Kijiji cha Bigigi,...

View Article

KIPINDI CHA BBC DIRA YA DUNIA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TRA YATAIFISHA BOKSI 41 ZA MVINYO NA POMBE KALI DODOMA

Na Veronica Kazimoto,DodomaMamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imekamata na kutaifisha boksi 41 za mvinyo na pombe kali zilizokutwa katika duka la jumla jijini Dodoma zikiwa hazina Stempu za Kodi.Boksi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAFANYAKAZI TPA TANGA WATOA MSAADA WA SIKUKUU YA IDDI KWA KAMBI YA WAZEE...

Wafanyakazi wa Bandari ya Tanga wametoa msaada wa vitu mbalimbali vyenye thamani y ash.milioni 1.5kwa kituo cha wazee wasiojiweza kilichopo eneo la Mwanzange Jijini Tanga.Msaada wa vitu hivyo ni...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TFDA YATOA MSAADA TAULO ZA KIKE KWA WANAFUNZI WA KIKE ZAIDI YA 3000 KIDATO...

Na Stella Kalinga, SimiyuMamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) imetoa msaada wa taulo za kike katoni 210 zenye thamani ya shilingi milioni tano na kumkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe. Anthony Mtaka kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI JAFO ATANGAZA UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA TANO.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI) Mhe. Seleman Jafo amesema kuwa jumla ya wanafunzi 70,904 wakiwemo wasichana 31,884 na wavulana 39,020 wamechaguliwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAMCO YANDAA SHEREHE ZA EID EL FITR DMV

Mwenyekiti wa TAMCO Ally Mohamed (kushoto) akiwa pamoja nae Balozi mstaafu wa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani,Mhe. Mustafa Nyang'anyi katika sherehe ya Eid el Fitr iliyofanyika siku ya Ijumaa June...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Maafisa TEHAMA Wakamilisha Mafunzo ya Mfumo Mpya wa Malipo (Epicor 10.2)...

Afisa TEHAMA, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Bw. Robert Dudu (aliyesimama) akitoa maelekezo ya namna gani Afisa TEHAMA anatakiwa kutatua matatizo katika mfumo mpya wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIKUNDI CHA BEAUTY WITH BRAIN,SERENA HOTEL WAADHIMISHA SIKU YA MTOTO WA...

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.Katika kuadhimisha  ya siku ya mtoto wa Afrika leo kikundi cha Beauty with Brain kwa kushirikiana naSerena Hotel  wamemtoa msaada wa vitu mbalimbali kwa kituo cha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mwalimu Mwingine Aongelea Kitabu Changu

Na Profesa Joseph MbeleNi jadi yangu kuwatambua wasomaji wanaosema neno kuhusu vitabu vyangu. Ni namna ya kuwashukuru kwa kutumia muda wao kukisoma kitabu na kutumia tena muda kuandika maoni yao....

View Article

TARIMBA: 'Usajili wa YANGA, tunafukuza Mwizi Kimya Kimya'

View Article
Browsing all 110186 articles
Browse latest View live




Latest Images