Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110026 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Soccer Eclipse 2018

www.bunimedia.com/www.buni.tv/www.xyzshow.co.ke

View Article



RC MAKONDA ATEKELEZA AGIZO LA RAIS MAGUFULI UJENZI WA BARABARA KINONDONI SHAMBA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

VODACOM YAMWAGA MAGARI 10, MAMILIONI YA PESA KUSHINDANIWA WAKATI...

 Mkurugenzi Msaidizi wa Utawala, Wizara ya Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano  Mary Majula ( wa sita kushoto) akiiongoza meza kuu kushuhudia magari mawili kati ya 10 yatakayoshindaniwa na wateja wa M-Pesa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HOSPITALI YA MAMC, MLOGANZILA YATOA HUDUMA YA UPIMAJI WA MACHO KUADHIMISHA...

Madaktari wa Macho walioshiriki katika maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Afrika katika kutoa huduma ya upimaji wa macho katika viwanja vya TANESCO, Kinyerezi Idara ya Macho ya Hospitali ya Taaluma na...

View Article

Introducing KENYA & TANZANIA COLLABO = Bahati EMB & Mbosso Wasafi "FUTA"

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Afrika Jambo Band na BongoDeejays Kutikisa Coventry, Uingereza, siku ya...

Karibu Jumamosi hii Club Junction Coventry CV1 3JZ, Ucheze Muziki Mzuri na bendi yako ya Africa jambo na BongoDeejays mafundi wa Muziki Mzuri Usiozeeka wa Kizazi Kipya na zamani..Watakuwepo Club...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

EID MUBARAK WADAU WOTE WA GLOBU YA JAMII

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KUBENEA AWATAKA VIONGOZI WA KISIASA KUFANYA KAZI, AKABIDHI MIRADI JIMBONI KWAKE

Na Humphrey Shao, Globu ya JamiiMBUNGE wa Ubungo, Saed Kubenea ametoa mwito kwa viongozi mbalimbali nchini kuacha siasa na badala yake kufanyakazi kwa kwaajili ya maendeleo.Kubenea ametoa kauli hiyo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RC GAMBO:WAANDISHI KUWENI WAZALENDO KWA MKOA NA TAIFA LENU

Na. VERO IGNATUS ARUSHAMkuu wa mka wa Arusha Mrisho Ghambo amefanya mkutano wa siku moja na waandishi wa habari ukiwa na lengo la kuimarisha na kuboresha mahusiano kati ya Serikali na wanahabari....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAIBU WAZIRI WA MADINI MHE BITEKO KUUNDA TIMU MAALUM YA WATAALAM KUCHUNGUZA...

Na Freddy Mgunda, MorogoroNaibu Waziri wa Madini Mhe Doto Mashaka Biteko amesema kuwa ataunda timu maalum ya wataalam kwa ajili ya kuchunguza migodi yote nchini ikiwa ni pamoja na utambuzi wa aina ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAADHIMISHO YA SIKU YA MTOTO WA AFRIKA YAFANA WILAYA YA MKURANGA

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga  Filberto Sanga amewataka wazazi kuwajali na kuwapenda watoto wao kwani waliwaleta duniani kwa mapenzi yao wenyewe yawapasa kuwalea na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ashiriki swala ya Eid kwenye Msikiti Anwar,...

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akishiriki katika swala ya Eid kwenye Msikiti  Anwar, Msasani, jijini Dar es salaam leo  Juni 15, 2018.  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza baada ya kushiriki katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SWALA EID EL FITRI UWANJA MAISARA SULEIMAN MJINI UNGUJA

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (wa tatu kulia) akijumuika na Viongozi na Waislamu mbali mbali katika swala ya Eid  El Fitri  baada ya kukamilika kwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DK.NDUGULILE ASEMA HAIRUHUSIWI DUKA LA DAWA KUWA NA DIRISHA LA USHAURI

Na Said Mwishehe,Globu ya jamiiNAIBU Waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dk.Faustine Ndugulile amesema hairuhusiwi katika duka la dawa kuwa na dirisha la ushauri kwani...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WASANII KUFANYA SHOO YA KIBABE TAMASHA LA SPORT MUSIC FESTIVAL KANDA YA ZIWA

Na Agness Francis,Globu ya jamii.WASANII mbalimbali wamejiandaa vya kutosha kwa ajili ya Tamasha la Sport Music Festival ambalo linatarajia kufanyika leo Kanda ya Ziwa.Lengo la tamasha hilo ni...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWENYEKITI WA WAZAZI KINONDONI AHIMIZA UMAKINI SIKUKUU YA EID ELFITRI

Na Emmanel Massaka ,Globu ya jamiiMWENYEKITI wa Wazazi wa Chama Cha Mapinduzi(CCM)Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam Said Subety amewataka madereva wote wa gari, pikipiki na bajaji kuwa makini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wahasibu Mamlaka za Serikali za Mitaa Watakiwa Kuzingatia Matumizi Sahihi ya...

Na Lilian Lundo – MAELEZO, Dodoma.Waweka Hazina na Wahasibu wa Mamlaka za Serikali za Mitaa nchini wametakiwa kuzingatia matumizi sahihi ya fedha za Umma kupitia mfumo mpya wa malipo (epicor 10.2)...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAISLAM TABORA WAMPONGEZA JPM KWA MISAADA YAKE

SHEIKH wa Mkoa wa Tabora Ibrahim Mavumbi amemupongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kwa juhudi zake za kusaidia shughuli mbalimbali za kuendeleza miradi ya madhehebu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATANZANIA WATAKIWA KUENDELEZA MATENDO MEMA

* Ni baada ya kumalizika kwa  Mwezi Mtukufu wa RamadhaniRAIS Dkt. John Magufuli amewaasa Waislam na Watanzania wote kwa ujumla kuendelea kutenda mema baada ya kuwa wamejisahihisha na kutubu makosa yao...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAKINA MAMA 925,342 NCHINI WASAJILIWA NA MRADI WA TUMAINI LA MAMA

WAKINA mama 925,342 nchini wamefanikiwa kusajiliwa na mradi wa “Tumaini la Mama tokea ulipoanza mwaka 2012 na kuweza kunufaika huduma zinazotolewa na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF).Hayo...

View Article
Browsing all 110026 articles
Browse latest View live




Latest Images