Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110167 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI MKOANI SIMIYU YAITAKA JAMII KUSHIRIKI KIKAMILIFU KUPINGA MIMBA ZA...

Na Stella Kalinga, SimiyuSerikali Mkoani Simiyu imeitaka jamii kushiriki kikamilifu katika suala la kupinga mimba za utotoni ili kukabiliana na ongezeko la mimba lililofikia 195  kwa wanafunzi wa Shule...

View Article



Introducing New Single from Balozi Dola "Kombora" (worlwide exclusive )

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TCRA YAONGEZA MUDA WA USAJILI WA WATOA HUDUMA ZA MAUDHUI KWA NJIA YA MTANDAO

View Article

99 Names Of Allah by R.NAme

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA LEO JUMAPILI JUNI 17, 2018

Kusoma zaidi BOFYA HAPA

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UNICEF Tanzania celebrates Father’s Day with renowned footballer, Ivo Mapunda

Former Taifa Stars goalkeeper calls upon fathers to play an effective role in parenting during their children’s early years.UNICEF Tanzania celebrated Father’s Day with renowned footballer and former...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI YAPIGA VITA AJIRA KWA WATOTO WILAYANI TARIME, YAHIMIZA KUWAPELEKA SHULE

Na Frankius Cleophacee Tarime.Serikali imepiga vita suala la Ajira kwa watoto wadogo ikiwemo kufanya biashara ndogondogo kwa watoto hao, badala yake wapelekwe shuleni na kuahidi kuwachukulia hatua kali...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TTCL CORPORATION YAENDELEZA UTARATIBU WAKE WAKUSAIDIA WAHITAJI

Meneja Uhusiano wa TTCL Tanzania, Ndugu Nicodemus Thom Mushi (kulia), akikabidhi sehemu ya msaada wa vyakula na mahitaji mengine kwa niaba ya Mkugenzi Mkuu wa TTCL Corporation, Bw. Waziri Kindamba kwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TGNP MTANDAO YAADHIMISHA SIKU YA MTOTO WA AFRIKA KWA NJIA HII

Watoto kutoka maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es salaam wakiwa na mabango yenye jumbe mbalimbali mapema jana katika kilele cha Siku ya Mtoto wa Afrika.Elimu bure inatakiwa iende sambamba na huduma...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIVUKO KIPYA CHA MV. MWANZA CHASHUSHWA KWENYE MAJI TAYARI KWA MAJARIBIO

NA ALFRED MGWENO (TEMESA MWANZA)Wakazi wa jiji la Mwanza mapema leo wameshuhudia tukio la kushushwa kwenye maji kwa Kivuko kipya cha MV. Mwanza baada ya kufikia hatua za mwisho za kukamilika kwa ujenzi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIBITI YATEKELEZA AGIZO LA SERIKALI KWA KUUZA UFUTA KWA MFUMO WA STAKABADHI...

Na Chalila Kibuda, Globu ya Jamii, KibitiUfuta ni miongoni mwa mazao ya biashara katika Mkoa wa Pwani ambapo wakulima wamekuwa wanauza kwa wachuuzi na kufanya zao hilo kudumaa kutokana na kuuza kwa bei...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHADEMA YAWAVUA UWANACHAMA VIONGOZI WAKE TARIME,WAPOTEZA SIFA YA KUWA VIONGOZI

Na Frankius Cleophace Tarime.Viongozi watatu Wanaotokan ana Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA akiwemo Mwenyekiti wa Serikali ya Kijiji cha Nyamwaga Wilayani Tarime Mkoani Mara wamevuliwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI JAFO ATOA AGIZO KWA WAKUU WA MIKOA WOTE NCHINI

Angela Msimbira OR-TAMISEMIWaziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Seleman Jafo ametoa muda wa miezi miwili kwa Wakuu wa Mikoa wote nchini kuanza kusimamia ujenzi wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAHAMIAJI HARAMU SITA WAKAMATWA PWANI

Na Mwamvua Mwinyi,PwaniJESHI la polisi mkoa wa Pwani, limewakamata wahamiaji haramu sita ,raia wa nchi ya Ethiopia na Somalia kwa kosa la kuingia nchini bila kibali.Aidha mkoa huo umemaliza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TCRA YATOA UFAFANUZI KUHUSU USAJILI WATUMIAJI WA MITANDAO YA KIJAMII.

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

'BAKWATA HAITAKUBALI KUONEWA NA WATU WACHACHE,TUMEDHAMIRIA KUREJESHA MALI ZA...

NA BALTAZAR MASHAKA, MWANZABARAZA Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) limesema halitakubali kuonewa na watu wachache na limedhamiria kurejesha mali za Waislamu zilizohodhiwa kwa maslahi ya wachache.Pia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Bima ya afya na eneo la kutosha, changamoto kituo cha kulea watoto yatima cha...

Na Jumia Food TanzaniaKikiwa kimeanzishwa takribani miaka 10 iliyopita, kituo cha kulea watoto yatima cha Maunga kilichopo Kinondoni jijini Dar es Salaam kinakumbwa na changamoto kadhaa zikiwemo eneo...

View Article


KIVUKO KIPYA CHA MV MWANZA TAYARI KUANZA KAZI

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wasichana 40 Tarime wapewa Elimu ya kupinga Ukeketaji.

Na Frankius Cleophace Tarime.Wasichana 40 kutoka katika kata tofauti Wilayani Tarime Mkoani Mara wamepatiwa mafunzo ya uelimishaji rika katika Maeneo wanayotoka kwa lengo la kupinga Ukeketaji kwa Mtoto...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA LEO JUMATATU JUNI 18, 2018

Kusoma zaidi BOFYA HAPA

View Article
Browsing all 110167 articles
Browse latest View live




Latest Images