VIDEO: MIRADI 70 YENYE THAMANI YA SHILINGI BILIONI 11. 1 KUZINDULIWA NA...
Zaidi ya miradi 70 yenye thamani ya shilingi bilioni 11.1 itazinduliwa na mwenge wa uhuru uliowasili mkoani RUVUMA,ambapo mwenge huo utakimbizwa katika halimashuri nane na kuitimishwa katika wilaya ya...
View ArticleWataalam Wizara ya Nishati, REA na TANESCO wakagua umeme vijijini Tanga na...
Wataalam kutoka Wizara ya Nishati, Wakala wa Nishati Vijijini (REA) na Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) wakiongozwa na Mhandisi Yusuph Msembele kutoka Wizara ya Nishati, wamekagua mradi wa umeme...
View ArticleMAMENEJA WA TRA NCHINI WAAGIZWA KUWATEMBELEA WAFANYABIASHARA MARA KWA MARA
Na Veronica Kazimoto-DodomaMameneja wote wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) nchi nzima wameagizwa kuwa na utaratibu wa kuwatembelea wafanyabiashara mara kwa mara ili kujua changamoto zao na kuzitatua...
View ArticleBARAZA LA WAFANYAKAZI WA NIC LAKUTANA MOROGORO
Mkuu wa mkoa wa Morogoro Dkt .Steven Kabwe (kushoto) akizungumza katika mkutano wa baraza la wafanyakazi la NIC mkoani Morogoro mwishoni wa wiki.Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa NIC Sam Kamanga.Picha ya...
View ArticleTamasha la Sports Music Festval 2018 kutua Kanda ya Ziwa
Na Agness Francis, Globu ya Jamii. King Cash and Isbah Entertainment inawaletea burudani kabambe wakazi wa kanda ya Ziwa Tamasha la Sports Music Festival 2018 katika kusherehekea sikuku ya Idd.Tamasha...
View ArticleWaziri Makamba awasihi wananchi kuunda kamati za Mazingira
Tamasha kubwa lililopewa jina la “Tulonge Mazingira na Mimi” limefanyika mwishoni mwa wiki katika Viwanja vya Mbagala Zakhem Jijini Dar es Salaam. Tamasha hilo la aina yake lilipambwa na burudani...
View ArticleWILAYA YA BUHIGWE YAANZA UGAWAJI HATIMILIKI ZA KIMILA KATIKA VIJIJI
Na Rhoda Ezekiel Kigoma,HALMASHAURI ya Wilaya ya Buhigwe mkoani Kigoma imeanza mchakato wa ugawaji wa Hatimiliki za Kimila katika Vijiji vya Mugera, Kajana na Katundu katika Kata ya Mugera na Kajana...
View ArticleWizara yazindua mradi wa VVU na Ukimwi kwa Wasichana Balehe na Wanawake...
Na Anthony Ishengoma Singida.Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imezindua mradi wa kuzuia maambukizi ya VVU na Ukimwi kwa wasichana balehe na wanawake vijana leo Mkoani Singida...
View ArticleSerikali, NSSF wajipanga kumaliza tatizo la uhaba wa maji jiji la Dar es Salaam.
Morogoro, June 4, 2018:SERIKALI kwa kushirikikiana na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii wa NSSF wamejipanga kutekeleza mradi mkubwa wa Bwawa la Kidunda, hatua inayotajwa kuwa itatatua kabisa tatizo la uhaba wa...
View ArticleUMEME NI NISHATI MBADALA ILIYO NAFUU KWA MATUMIZI YA NYUMBANI: KAMOTE
Bw. Ally M. Koyya, (kulia), kutoka idara ya Masoko TANESCO, akitoa maelezo kwa wananchi waliotembelea kwenye banda la Shirika hilo kwenye maonesho ya Nishati Mbadala yanayokwenda sambamba na...
View ArticleNjombe, Ruvuma kuunganishwa kwenye Gridi ya Taifa, Septemba
Na Greyson Mwase, MakambakoWaziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani amesema kuwa amefurahishwa na utekelezaji wa ujenzi wa kituo cha kupoza umeme cha Makambako kilichopo mkoani Njombe.Kalemani aliyasema...
View ArticleMAKADIRIO YA UJENZI WA CHUMBA CHA KUHIFADHIA MAITI MURRIET KUPITIWA UPYA
Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Josephat Kandege amemtaka Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mhe.Gabriel Fabian Daqorro kuhakikisha anaunda timu ya wataalam kuchunguza ubora...
View ArticleHotuba Ya Bajeti Wizara Ya Fedha Na Mipango 2018/19 iliyowasilishwa leo...
Waziri wa Wizara ya Fedha na Mipango Dkt Philip Mpangango (MB.) akiwasilisha Bungeni makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Fedha na Mipango kwa Mwaka 2018/19 mjini Dodoma leo.
View ArticleRAIS MAGUFULI AZINDUA AWAMU YA PILI YA PROGRAMU YA KUENDELEZA SEKTA YA KILIMO...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe kuashiria kuzindua rasmi Awamu ya Pili ya Programu ya Kuendeleza Kilimo (ASDP ll) katika ukumbi wa mikutano wa Mwalimu...
View ArticleMICHUANO YA SPORTPESA SUPER CUP LIVE NDANI YA STARTIMES
Katika kipindi ambacho ligi zimefikia zimefikia tamati, katika king’amuzi cha StarTimes burudani bado inaendelea. Sasa ni michuano ya SportPesa Super Cup ambayo inafanyika nchini Kenya na kushirkisha...
View ArticleMWENGE WA UHURU KUTEMBELEA MIRADI YA THAMANI BILIONI11MKOANI RUVUMA
Na Lituh, NyasaMwenge wa Uhuru umeamenza mbio zake kwenye mkoa wa Ruvuma jana katika kijiji cha Lituhi wilaya ya Nyasa ambapo utatembelea miradi ya maendeleo yenye thamani ya shilingi bilioni11.Akitoa...
View ArticleMATUKIO MBALIMBALI YA SPIKA WA BUNGE JIJINI DODOMA
Wageni Mbali mbali wakiwemo Manaibu Makatibu Wakuu, Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na Makamishna wa Bajeti na Sera wakisikiliza...
View ArticleBALOZI SEIF AKABIDHI MASHINE YA BOTI KWA VIJANA WA KIKUNDI CHA HAMASA
Mwakilishi wa Jimbo la Mahonda Balozi Seif Ali Iddi alisema kwamba Viongozi wa Jimbo hilo wataendelea kuwaunga mkono Wananchi wao hasa Vijana na Akina Mama walioamua kujituma katika muelekeo wa...
View Article
More Pages to Explore .....