Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 109605 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KARIAKOO KWAANZA KUFURIKA MAANDALIZI YA SIKUKUU YA EID EL FITRI.

 Sehemu ya Wakazi wa Dar es Salaam wakichagua nguo za watoto katika Mtaa wa Congo- Kariakoo wakichagua nguo za Sikuu ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya sikukuu ya Eid   El Fitri Wazazi wawili...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) yashiriki Maonyesho ya Wiki ya...

 Afisa Uhusiano wa Mamlaka ya Usafari wa Anga Tanzania (TCAA) Ally Changwila  (kushoto)  akimfafanulia mmoja wa wakazi wa jiji la Dar es Salaam, aliyetembelea kwenye banda la Mamlaka hiyo  juu ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WIZARA YA FEDHA YALIOMBA BUNGE SHILINGI TRILIONI 12.058 MWAKA WA FEDHA 2018/19

 Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb), akiwasilisha Bajeti ya Wizara yake, Bungeni Jijini Dodoma, ambapo ameliomba Bunge, kuiinidhinishia Wizara hiyo kukusanya na kutumia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WALINZI 10 WA KAMPUNI YA ULINZI YA KK KORTINI KWA TUHUMA ZA KULA NJAMA NA...

 Na Karama Kenyunko, Blogu ya jamiiWALINZI 10 wa kampuni ya ulinzi  ya KK na muendesha foko mmoja wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kujibu tuhuma za kula njama na wizi wa mapipa 26 ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KUTINYU AMFUATA KOCHA VAN DER PLUIJM AZAM FC

Na Agness Francis, Globu ya JamiiKLABU Bingwa Afrika Mashariki na Kati  Azam FC imetangaza rasmi kuwa imemsajili  kiungo Tafadzwa Kutinyu mkataba wa mwaka mmoja.Kiungo huyo atachezea kikosi cha  Azam...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKONDA AWAOMBA WAUMINI DINI ZOTE KUHESHIMU MFUNGO WA RAMADHAN, AWAGEUZIA...

Na Said Mwishehe,Globu ya jamiiMKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda amewaomba wanawake wenye tabia ya kuvaa sketi fupi maarufu Vimini na nguo za kubana wakati huu wa mfungo wa Mwezi Mtukufu wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANANCHI KIJIJI CHA MIPEKO WAISHUKURU SERIKALI UJENZI WA KIVUKO MTO MZINGA

Na Agness Francis,Globu ya JamiiWAKAZI wa kijiji cha Mipeko katika Halmashauri ya Mkuranga mkoani Pwani  wameishukuru Serikali kuanza ujenzi wa vivuko katika mto Mzinga.Akizungumza leo, Mkazi wa Kijiji...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI KUJADILI KODI ZA MIZIGO KUTOKA ZANZIBAR

NA Benny Mwaipaja, WFM, DodomaSerikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar zinaendelea kujadiana kuhusu namna bora ya kupata ufumbuzi wa kudumu wa kero ya ulipaji...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DKT. MAGUFULI AWAAPISHA MAJAJI WATATU IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Jaji Ferdinand Wambali kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani, Ikulu jijini Dar es Salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rukwa kushirikiana na Ireland kuongeza uzalishaji wa alizeti

Balozi wa Jamhuri ya Ireland Paul Sherlock amepokea maombi ya ushirikiano baina ya Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Rukwa na nchi yake yaliyolenga kuongeza uzalishaji wa zao la alizeti mkoani humo jambo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMPUNI YA SIHEBS TECHNOLOGIES YAZINDUA HUDUMA MPYA YA NITUME

Na Karama Kenyunko, Globu ya jamiiKAMPUNI ya kutoa huduma ya mfumo ya Tehama, ya Sihebs Technologies, imezindua huduma mpya ya teknolojia ijulikanayo kwa jina la Nitume itakayowawezesha wananchi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UMOJA WA WANAWAKE TANZANIA WATOA POLE KWA FAMILIA YA MARIA NA CONSOLATA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mfumo wa Usimamizi wa Fedha za Umma Katika Mamlaka za Serikali za Mitaa...

Frank Mvungi- MAELEZO, MbeyaMfumo wa Usimamizi wa Fedha za Umma katika Mamlaka za Serikali za Mitaa toleo la 10.2 (Epical 10.2 ) umetajwa kuchochea utekelezaji wa dhana ya uwazi, uwajibikaji na utawala...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DIT YABUNI MASHINE MAALUM YA KUTENGENEZA MKAA MBADALA, YAWA KIVUTIO MAONESHO...

Na Said Mwishehe,Globu ya jamiiTAASISI ya Teknolojia ya Dar es Salaam(DIT), imeamua kubuni na kuzindua mashine maalumu ya kutengenezea mkaa mbadala.Lengo la kubuni mashine hiyo ni jitihada za DIT...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DK.KAPOLOGWE ARIDHISHWA NA KASI YA UJENZI WA VITUO VYA AFYA NCHINI

Mkurugenzi wa Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe , Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Dr. Ntuli Kapologwe amesema kuwa ameridhishwa na kasi ya ujenzi wa vituo vya afya nchini...

View Article


KIPINDI CHA BBC DIRA YA DUNIA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BENKI I&M YAFUTURISHA WATEJA WAKE MKOA WA DAR ES SALAAM,YAWAPA UJUMBE MZITO

Na Humphrey Shao, Globu ya JamiiBenki ya I&M imeandaa futari Maalum kwa ajili ya wateja wake wa Dar es Salaam katika kuadhimisha mwezi Mtukufu wa Ramadhani.Akizungumza wakati wa futari hiyo Afisa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

CMSA YATOA MAFUNZO KWA WATENDAJI KATIKA MASOKO YA MITAJI

MAMLAKA ya Masoko na Mitaji ya Dhamana (CMSA) imewaasa watendaji katika masoko ya  Mitaji kuhudhuria mafunzo yanayotambulika katika viwango vya kimaitafa ili kupata ujuzi na kuwa wabobezi katika masoko...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BENKI YA EXIM TANZANIA YAFUTURISHA WATEJA WAKE WAKUBWA JIJINI DAR

 Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa benki ya Exim Tanzania, Selemani Ponda akito shukran wakati wa hafla ya futari iliyoandaliwa na benki hiyo kwa ajili ya wateja wao wakubwa wa Dar e Salaam jana...

View Article

Ripoti ya Ujenzi wa Reli ya Kisasa ulipofikia kuanzia Januari hadi Aprili 2018

View Article
Browsing all 109605 articles
Browse latest View live




Latest Images