Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 109996 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NSSF DODOMA YATOA NJIA KWA WAJASIRIAMALI KUPATA MIKOPO

MFUKO wa Hifadhi ya Jamii(NSSF) umewashauri wajasiriamali nchini kujiunga kwenye vikundi ili kuweza kutambuliwa na kupata mikopo.Ushauri huo umetolewa na Meneja wa NSSF Mkoa wa Dodoma Rehema Chuma...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAFANYABIASHARA WAHIMIZWA KUTUMIA MASHINE ZA EFD

Na Veronica Kazimoto- KibahaWafanyabiashara wamehimizwa kutumia Mashine za Kieletroniki za Kutolea Risiti (EFD) kwa kuwa mashine hizo kwa sasa zimeanza kufanya kazi na yeyote anayestahili kutumia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWENYEKITI MSTAAFU BAVICHA AWAGEUZIA KIBAO VYAMA VYA UPINZANI, AWATUHUMU KWA...

Na Said Mwishehe,Globu ya jamiiMWENYEKITI mstaafu wa Baraza la Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo(Chadema) Patrobas Katambi amevituhumu vyama vya siasa vya upinzani kuwa huko nako kuna...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DKT KIJAJI AFANYA ZIARA MITAANI JIJINI DODOMA KUKAGUA MASHINE ZA EFD,ABAINI...

Na Benny Mwaipaja, WFM, DodomaNaibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Ashatu Kijaji amefanya ziara katika mitaa ya Jiji la Dodoma, kukagua upatikanaji wa huduma ya mashine za kielektroniki za kutolea...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AZAM KUMPELEKA NGOMA AFRIKA KUSINI KWA AJILI YA MATIBABU

Na Agness Francis, Globu ya JamiiMCHEZAJI Donald Ngoma aliyesaini na timu ya Azam FC kwa mwaka mmoja akitoke Yanga SC anatarajiwa kwenda nchini Afrika Kusini kwa ajili ya matibabu yake.Akizungumza leo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIGWANGALLA AFUNGUA MAONESHO YA KIMATAIFA YA UTALII YA KARIBU/KILI FAIR 2018

Na Hamza Temba-WMU-MoshiWaziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamisi Kigwangalla ametoa wito kwa taasisi za Serikali, jamii, sekta binafsi na wadau kwa pamoja kushirikiana kuendeleza utalii katika maeneo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ABIRIA MIKOA YA KUSINI WALIA USUMBUFU WANAOUPATA KITUO CHA MABASI MBAGALA

*Ni baada ya mabasi ya Mashallah, Ngombare kuhamishwa kituo namba 21 Na Said Mwishehe, Globu ya jamii ABIRIA wanaosafiri kwenda katika mikoa ya Kusini hasa Mkoa wa Lindi na Mtwara, wameulalamikia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BODI YA MIKOPO YA WANAFUNZI ELIMU YA JUU YASITISHA MPANGO WA KUTOA MIKOPO KWA...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BUJORA DANCE GROUP WAREJEA NCHINI KWASHANGWE

Na Agness Francis,Globu ya Jamii.KIKUNDI cha  ngoma cha Bujora Dance  kililokwenda Nchini India katika tamasha la michezo ya asili Afrika kimerejea nchini. Kundi hilo lililofanya vizuri zaidi katika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MOTO WATEKETEZA MADUKA NANE LAMADI MKOANI SIMIYU

Na Stella Kalinga, SimiyuMoto ambao hadi sasa chanzo chake hakijafahamika umeteketeza maduka nane , stoo pamoja na mali za wafanyabiashara ambazo thamani yake haijafahamika, katika Mji mdogo wa Lamadi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SEKTA YA UFUGAJI SAMAKI INAKUA, ITASAIDIA KUONGEZA KIPATO-ULEGA

Na Emmanuel Masaka,Globu ya jamii NAIBU Waziri wa Mifugo na Uvuvi Abdallah Ulega amesema sekta ya ufugaji samaki inakua na inasaidia katika kuongeza ajira na kipato kwa mtu mmoja mmoja na Taifa kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wanachama kuogelea wapitisha Katiba mpya

Dar es Salaam. baada ya kusua sua kwa muda mrefu, hatimaye Chama Cha Kuogelea Nchini (TSA) kimepata katiba mpya itakayo waongoza katika mchezo huo hapa nchini.Katiba hiyo imepatikana katika mkutano...

View Article

DKT: DKT ABBASI: HII NDIYO MIRADI MIKUBWA YA MKAKATI WA MAGEUZI SEKTA YA NISHATI

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIJANA WA SAUDIA ASHINDA DOLA 5,000 TUZO YA KIMATAIFA YA KUHIFADHI QURAN

KIJANA wa miaka 18 kutoka Saudi Arabia, Ibn Rayizah Hatim Abdullah ameibuka na kitita cha dola za Marekani 5,000 kwenye fainali za 26 za tuzo ya Kimataifa ya Quran tukufu.Kijana Rayizah ameibuka na...

View Article

MAONESHO YA WIKI YA MAZINGIRA DUNIANI BUSTANI YA MNAZI MMOJA JIJINI DAR ES...

View Article


MICHUZI TV: DC HAPI ATOA ONYO KWA WAFANYAKAZI HALMASHAURI

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TCCIA YAANZA KUSHEREKEA MIAKA 30 YA KUANZISHWA KWAKE

Raisi wa TCCIA Bwana John Mayanja, akizungumza na wajumbe wa halmashauri Kuu ya Taifa ambao ni wanachama wa TCCIA.Chama cha wenye Biashara, Viwanda na Wakulima ‘TCCIA’ jana kimezindua rasmi safari ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATANZANIA WATAKIWA KUJIUNGA NA MPANGO WA BIMA YA AFYA

WATANZANIA wametakiwa kujiunga na mpango wa bima a Afya ili waweze kunufaika na huduma za matibabu ya uhakika wakati wanapokuwa wakiugua na hivyo kuwapunguzia mzigo wa kuingia gharama kubwa. Hayo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KWA NINI NI LAZIMA UFANYIWE MASSAGE?

Massage ni tiba ya asili na ya kitaalamu yenye uwezo mkubwa wa kuufanya Mwili wako kuwa Imara KiafyaFaida za Massage Katika Mwili1. Massage inaboresha afya ya ngozi.2.Massage hufungua mishipa ya fahamu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANAKIJIJI 772 WA KIJIJI CHA MLANDA WAPATA HATI MILIKI ZA KIMILA 1,777

NA FREDY MGUNDA.IRINGA.JUMLA ya wanakijiji 772 kati ya 1890 wa kijiji cha Mlanda kata ya Magulilwa wilaya ya Iringa mkoani Iringa wamepimiwa maeneo na mashamba yao na kukukabidhiwa hati miliki za...

View Article
Browsing all 109996 articles
Browse latest View live




Latest Images