Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110186 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Serikali Kuendelea Kuchukua Hatua za Kisera Kuhakikisha Riba za Mikopo...

Na Lilian Lundo - MAELEZO, Dodoma.Serikali imesema kuwa pamoja na huduma za bidhaa ya fedha kuamuliwa na nguvu ya soko kwa upande wake imekuwa ikichua hatua za kisera ili kuhakikisha kuwa riba za...

View Article



SINGIDA UNITED YATOLEA UFAFANUZI USAJILI WAO

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAALIM SEIF ATUMA UJUMBE KUMPONGEZA KATIBU MKUU MPYA WA CCM

Na Humphrey Shao, Globu ya Jamii  Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi  (CUF) Maalim Seif Shariff Hamad amewasilisha barua ya pongezi kwa katibu mkuu mpya wa Chama Cha Mapinduzi  (CCM) Dk. Bashiru Ally...

View Article

VOA SWAHILI: Duniani Leo May 31st, 2018

View Article

HABARI ZA UMOJA WA MATAIFA LEO MEI 21, 2018

View Article


BBC DIRA YA DUNIA IJUMAA 31.05.2018

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Balozi Seif Ali Iddi aipongeza Jamuhuri ya Cuba kwa kumaliza Uchaguzi wa...

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi ameipongeza Jamuhuri ya Cuba kwa kumaliza Uchaguzi wa Bunge salama wa kuwachagua Wajumbe wa Baraza Kuu la Nguvu ya Umma lenye Mamlaka ya...

View Article

MICHUZI TV: DKT. KIJAJI AITAKA BENKI YA ABC KUPELEKA HUDUMA VIJIJINI...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAIBU SPIKA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WATENDAJI WA BENKI YA NBC OFISINI KWAKE...

Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akizungumza na Watendaji wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) Ofisini kwake Jijini Dodoma, kushoto kwa Naibu Spika ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo Ndg....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO), Dkt. Hassan Abbasi apokea vitendea...

 Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO), Dkt. Hassan Abbasi akizungumza jambo na Afisa Mwandamizi wa Ubalozi wa China, Xu Chen wakati wakati wa mkutano baina yao uliofanyika ubalozi wa China Alhamisi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Swahili Fashion Week Pop Up Shop kufanyika Juni 2 mwaka huu nyumbani kwa...

Habari Njema! Balozi wa Italia nchini Tanzania, kwa mara nyingine tena atakuwa wenyeji wa onesho hili la Swahili Fashion Week Pop Up shop litakalo fanyika tarehe 2 mwezi juni kuanzia saa sita mchana...

View Article

LALA SALAMA MWALIMU KASUKU BILAGO, UMEONDOKA KABLA YA NDOTO YAKO KUTIMIA.

Leo Mbunge wangu Mwalimu Kasuku Bilago, Mbunge wa Buyungu utalala katika nyumba yako ya milele, utalala hutaamka tena, familia yako itakukosa, wananchi wa Buyungu watakukosa, ndugu jamaa na marafiki...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAFURIKO SAME YAKATA MAWASILIANO YA MIOUNDO MBINU ,WANACHI WATUMIA MITUMBWI...

Katibu Tawala mkoa wa Kilimanjaro,Aisha Amour (aliyenyoosha mkono) akiwa na baadhi ya Wajumbe wa kamati ya Maafa  ya mkoa wakiwa eneo la Ruvu Darajani ambako magari yanaishia baada ya miuondo mbinu ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki yakabidhiwa jukumu...

Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Adolf Mkenda akisaini hati ya kukubali rasmi kupokea jukumu la kuisimamia Bodi ya Ushauri kuhusu Masuala ya rushwa ya Umoja...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BancABC yazindua tawi jipya Dodoma

Benki ya BancABC imezindua tawi jipya jijini Dodoma kwa lengo la kukidhi mahitaji ya huduma za kibenki kwa wateja hivyo kusaidia ukuaji wa uchumi katika kanda ya kati. Hilo ni tawi la saba kwa BancABC...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Prof.Mkenda afanya ziara katika Kituo cha Kutoa Huduma kwa Pamoja Mpakani...

Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Adolf Mkenda, akizungumza na wajumbe (hawapo pichani)  waliohudhuria kikao baina yake, watendaji wa Kituo hicho na...

View Article

INTRODUCING "AMINI" BY AMINI, MAGIC AND NDELAH

View Article


NIMERIDHISHWA NA UTENDAJI TANRODS - DC HAPI

View Article

DC HAPI AINGILIA KATI SWALA LA TUHUMA ZA MWALIMU KUBAKA WANAFUNZI

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI YATOA BILIONI 40 KUSHUGHULIKIA TATIZO LA MAJI MUHEZA

SERIKALI imeanza kulishughulikia tatizo la maji wilayani Muheza kwa vitendo baada ya kutoa kiasi cha bilioni 40 kwa ajili ya kutoa maji kwenye chanzo cha mto zigi kupelekwa kwenye vijiji mbalimbali ili...

View Article
Browsing all 110186 articles
Browse latest View live




Latest Images