Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110017 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WALIOISHIA VETA SASA WANAWEZA KUSOMA ELIMU YA JUU

Filbert Rweyemamu.Arusha.Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) imethibitisha matumizi ya mtaala unganishi wa masomo ya ufundi nchini utakaowawezesha wahitimu wa vyuo vya Mafunzo ya Ufundi...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAHITIMU MAFUNZO YA AWALI YA KIJESHI KAMBI YA 821 KJ WAHIMIZWA KUWA MFANO WA...

Na Rhoda EZEKIEL kigoma,VIJANA wanaohitimu mafunzo ya awali ya kujitolea ya oparesheni Mererani ya Jeshi la Kujenga Taifa(JKT)Kambi ya Bulombola 821KJ kuwa mfano wa kuigwa na jamii wanayoenda...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAHAKAMA YAMUACHIA HURU MKURUGENZI MTENDAJI MTANDAO WA JAMII RORUMS

Na Karama Kenyunko, blogu ya jamiiMAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuachia huru Mkurugenzi Mtendaji wa mtandao wa Jamii Forums, Maxence Melo na Mwanahisa wa  mtandao wa Jamii Forums, Micke William...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAFANYAKAZI WANNE MAMLAKA YA BANDARI,WENZAO WAWILI SASA WASUBIRI KUSOMEWA...

*Ni katika kesi ya kudaiwa kuhujumu uchumi inayowakabili, yupo Masoud Suleiman Kova Na Karama Kenyunko, blogu ya jamii.WAFANYAKAZI wanne wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) na wenzao wawili...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKURUGENZI MPYA UNITED BANK FOR AFRICA AAHIDI BENKI YAO KUENDELEA KUISAIDIA...

Na Said Mwishehe, Globu ya jamiiUONGOZI wa United Bank for Africa(UBA) Tawi la Tanzania umeweka wazi moja ya mkakati wake ni kuendelea kushirikiana na Serikali ya Awamu ya Tano kutekeleza mipango ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RC TABORA : WATENDAJI KUANZA ZOEZI LA UHAKIKI WA WATOTO WA KIKE WALIOHAMIA...

Na Tiganya VincentWAKUU wa Wilaya na  Watendaji mkoani Tabora wametakiwa kuanza uhakiki  wa uhamisho wa  wanafunzi wote wa kike waliohama kutoka mkoani humo kwenda kwingine ili kujiridhisha kama kweli...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SUMA JKT YAINGIA MAKUBALIANO KULINDA MAJENGO NA MIUNDOMBINU YA TTCL NCHI NZIMA

SHIRIKA la Mawasiliano Tanzania - TTCL Corporation limeikabidhi kandarasi ya Ulinzi wa Majengo, mali na Miundo mbinu yake kwa SUMA JKT, Kampuni Tanzu ya Jeshi la kujenga Taifa kwa mkataba wa mwaka...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAJUMBE WA BODI YA NSSF WARIDHISHWA NA UKUAJI WA MIWA KATIKA MRADI WA MIWA WA...

 Wajumbe wa Bodi ya NSSF wakipata maelezo kuhusu shamba la miwa la Mradi wa Kiwanda  cha Sukari cha Mkulazi  II kilichopo Mbigiri kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mradi Eng Robert Kabudi baada ya...

View Article


Introducing "MARUKUTU" by Catrima ft. Sokomoko @ Mkubwa Na Wanae Music

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KUKABIDHI RIPOTI MAALUMU ZA UVUVI WA BAHARI KUU NA...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAFUNZO KWA KAMATI YA KUTOKOMEZA UKATILI DHIDI YA WANAWAKE NA WATOTO...

Akizungumza wakati wa kufunga mafunzo hayo,Katibu tawala mkoa wa Shinyanga Albert Msovela ambaye ni mwenyekiti wa kamati ya kutokomeza ukatili dhidi ya wanawake na watoto mkoa wa Shinyanga alisema ili...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KATIBU MKUU MPYA JUMUIYA YA WAZAZI AKABIDHIWA RASMI OFISI, LEO

 Katibu Mkuu mpya wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania, Erasto Sima (kushoto) akipokea vitendekazi kutoka kwa Katibu Mkuu Mstaafu, wa Jumuiya hiyo Seif Shaaban Mohamed katika makabidhiano ya Ofisi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKUU WA MAGEREZA NCHINI SHELISHELI ATEMBELEA MAKAO MAKUU YA JESHI LA MAGEREZA...

 Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza, Dkt. Juma Malewa akisalimiana na Mkuu wa Magereza nchini Shelisheli Raymond St Ange ofisini kwake alipowasili Makao Makuu ya Magereza leo Juni 1, 2018 katika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS AFUNGUA KONGAMANO LA NGAZI ZA JUU LA MABADILIKO YA TABIA NCHI...

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan amesema kuwa ongezeko la watu katika miji mikubwa kuna changia sana katika uharibifu wa mazingira na matumizi makubwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU MGENI RASMI KATIKA MASHINDANO YA KIMATAIFA YA KUHIFADHI QURAN...

Na Said Mwishehe,Globu ya jamiiWAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye Fainali ya Mashindano ya Kimataifa ya kuhifadhi Quran yanayotarajiwa kufanyika Juni 3 mwaka huu jijini Dar...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Magufuli amteua Prof. Andrew Pembe kuwa Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu MUHAS

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Benki ya CRDB yawazawadia washindi wa kampeni ya “Shuhudia Kombe la Dunia...

 Benki ya CRDB imetoa zawadi za kwanza kwa washindi wa kampeni yake ya TemboCardVisa ijulikanayo kama “Shuhudia Kombe la Dunia FIFA 2018 na TemboCardVisa” katika hafla fupi iliyofanyika katika hoteli...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RC DKT. KEBWE ATAKA WALIOKULA FEDHA YA UJENZI WA MAABARA YA SEKONDARI YA...

Na Cathbert Kajuna - Kajunason/MMG.  Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Dkt. Kebwe Stephen Kebwe amemuagiza mkuu wa Kituo Cha Polisi Gairo kuwakamata wale wote waliokula fedha za ujenzi wa maabara ya shule...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HIMID MAO MKAMI AAGA RASMI AZAM FC

Na Bakari Madjeshi, Globu ya JamiiAliyekuwa Nahodha wa Azam FC, Himid Mao Mkami ameiaga rasmi timu hiyo, baada yakupata nafasi kwenda kucheza Soka la kulipwa nchini Misri kwenye Klabu ya Petrojet...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMPUNI YA MAGARI YA KOREA YA TATA DAEWOO YAZINDUA TRUCK YA KISASA

Kampuni ya magari ya Korea ya TATA Daewoo yazindua Truck ya kisasa inayohimili barabara zisizo na lami vijijini. Wafanyabiashara wa usafirishaji sasa kutumia gharama ndogo kuendesha biashara hiyo.Mkuu...

View Article
Browsing all 110017 articles
Browse latest View live


Latest Images