KRANTZ MANTEPELE ni miongoni mwa Bloggers 50 duniani walioalikwa kiushuhudia...
Mwanablogu kutoka Tanzania Krantz Mwantepele kutoka blog ya Mwanaharakati Mzalendo amechaguliwa na serikali ya Russia kuwa miongoni mwa Bloggers na social media influencers 50 dunia nzima kutembelea...
View ArticleWAKULIMA KUNUFAIKA NA BIMA YA KILIMO KUANZISHA MWAKA HUU- KAMANGA
Na Mwamvua Mwinyi, PwaniSHIRIKA la bima la Taifa la Tanzania (NIC), limelenga kuanzisha bima ya kilimo mwaka huu, ambayo itasaidia kuwapa usingizi wakulima mbalimbali nchini, waweze kunufaika kwa...
View ArticleUKUSANYAJI WA MAPATO KATIKA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI WAONGEZEKA HADI...
Na Veronica Kazimoto,Zanzibar Wastani wa ukusanyaji wa mapato katika kipindi cha miezi 10 ya Mwaka wa Fedha 2017/18 katika Jumuiya ya Afrika Mashariki umeongezeka hadi kufikia asilimia 16 ukilinganisha...
View ArticleBalozi Seif afanya mazungumzo na Balozi wa Jamuhuri ya Cuba
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi ameipongeza Jamuhuri ya Cuba kwa kumaliza Uchaguzi wa Bunge salama wa kuwachagua Wajumbe wa Baraza Kuu la Nguvu ya Umma lenye Mamlaka ya...
View ArticleAirtel na itel wazindua SMARTPHONE mpya ya A32 F na Bando la Airtel BURE...
Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania na kampuni ya kutengeneza simu ya itel leo kwa pamoja wamezindua simu mpya ya itel A32 F iliyoambatanishwa na offer ya bando ya intaneti yenye kifurushi...
View ArticleSPIKA NDUGAI AFUNGUA MAONESHO YA MADINI BUNGENI DODOMA
Na Veronica SimbaSpika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai, leo Mei 30, amefungua rasmi maonesho ya madini katika viwanja vya Bunge, jijini Dodoma na kuipongeza Wizara ya Madini kwa...
View ArticleBREAKING NEWS:: ZINEDINE ZIDANE AACHIA NGAZI REAL MADRID
Na Bakari Madjeshi, Globu ya JamiiAliyekuwa Kocha Mkuu wa Real Madrid, Zinedine Zidane 'Zizzou' mchana wa leo ametangaza kuachia ngazi kama Kocha Mkuu wa kikosi hivyo baada yakutwaa mataji matatu...
View ArticleTASWIRA MBALIMBALI MARA BAADA YA BUNGE KURIDHIA BAJETI YA WIZARA YA ARDHI
Watendaji wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi wakimpongeza Waziri wa Ardhi Mhe. William Lukuvi mara baada ya Bunge kupitisha Bajeti ya Wizara hiyo Sh73.07 bilioni kwa ajili ya mwaka...
View ArticleUNESCO TO SUPPORT ONE MONTH ANTI FGM CAMPAIGN IN 5 REGIONS
UNESCO is supporting the organization of a one-month anti-FGM campaign in selected districts within the five regions with high prevalence namely Manyara, Dodoma, Arusha, Mara and Singida. The campaign...
View ArticleTANAPA WAMKABIDHI MNYETI ZAHANATI YA GIJEDABUNG
SHIRIKA la hifadhi za Taifa nchini ( TANAPA ) limemkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Alexander Mnyeti, zahanati itakayowasaidia wananchi wa Kiijiji cha Gijedabung kata ya Endakiso Wilbayani Babati,...
View ArticleKITENGO CHA LISHE KUTOA MATONE YA VITAMIN A NA DAWA ZA MINYOO KWA WATOTO...
Na Ramadhani Ali – Maelezo ZanzibarWizara ya Afya Zanzibar itaanzisha zoezi la mwezi mmoja la utoaji matone ya Vitamin A na Dawa za Minyoo kwa watoto wenye umri chini ya miaka mitano kuanzia Juni 1,...
View ArticleWakurugenzi wa Bodi wa TPA wafanya ziara bandari ya Dar es Salaam
Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Mhandisi Deusdedit Kakoko (wa pili kulia) akionyesha moja ya maghara yatayovunjwa ili kupisha maboresho ya kuifanya Bandari ya Dar es Salaam kuwa ya kisasa na yenye uwezo wa...
View ArticleJAFO AAGIZA KASI YA UJENZI KITUO CHA AFYA CHAMWINO
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI) Selemani Jafo ameuagiza uongozi wa Halmashauri ya Chamwino mkoani Dodoma kuongeza kasi ya ujenzi katika kituo cha Afya...
View ArticleKINANA AKABIDHI RASMI MIKOBA KWA DK. BASHIRU OFISI NDOGO YA CCM LUMUMBA
Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Taifa, Abdulrahman Kinana akipunga mikono kuwaaga wafanyakazi na Viongozi wa Ofisi ndogo ya CCM Lumumba mara baada ya kukabidhi ofisi kwa Katibu Mkuu mpya...
View ArticleWIZARA, TAASISI ZA SERIKALI ZITUMIE NISHATI MBADALA – WAZIRI MKUU
*Aagiza viongozi wa Mkoa wa Dar es Salaam wabadilike*Ataka wasimamie wananchi waachane na matumizi ya mkaaWAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameziagiza Wizara, mashirika na taasisi zote za Serikali na binafsi...
View ArticleSERA YA TAIFA YA HUDUMA NDOGO ZA FEDHA NI MKOMBOZI WA WANANCHI
Na Benny Mwaipaja, WFM, DodomaSerikali ilizindua sera ya Taifa ya huduma ndogo za fedha ili kuhakikisha wakopaji wakiwemo wajasiriamali wadogo wanalindwa na kupata haki zao bila kudhurumiwa wanapo...
View ArticleSerikali Yatoa Milioni 700 kwa vijana mwaka 2017/18
Na Mwandishi Wetu.Serikali kupitia Mfuko wa Maendeleo ya Vijana imetoa takribani shilingi milioni 700 kwa mwaka wa fedha 2017/18 kwa vijana nchini ili kuwasaidia kujikwamua kiuchumi na kuweza kuepuka...
View Article