Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110173 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Dkt. Abaasi Awataka Wanahabari Kutumia Kalamu Zao Kupunguza Ajali

Mkurugenzi wa Idara ya Habari-MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbasi amewataka waandishiwa habari nchini kutumia taaluma ya habari kuielemisha jamii juu ya usalama barabarini ili...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU MAJALIWA AZINDUA MAADHIMISHO YA MIAKA 15 TANGU KUANZISHWA KWA...

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipozindua Maadhimisho ya Miaka 15 Tangu Kuanzishwa kwa Mfuko wa Dharura wa Rais wa Marekani wa Kupambana na Kudhibiti Maambukizi ya Virusi vya Ukimwi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANAFUNZI ZAIDI YA 600 WA DARASA LA TATU WASOMA KWENYE CHUMBA KIMOJA

Na Rhoda Ezekiel Kigoma, WANAFUNZI zaidi ya 600 wa darasa la tatu katika Shule ya Msingi Kumkambati Kata ya Nyamidaho wilayani Kasulu mkoani Kigoma, wanalazimika kusoma katika chumba kimoja kutokana na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATUMISHI WATATU WA HALMASHAURI YA KALIUA MATATANI KWA KUSHINDWA KUONYESHA...

NA TIGANYA VINCENT, TABORAMKUU wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri ameagiza kuchukuliwa hatua kwa watumishi watatu wa Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua kwa tuhuma za kukiuka taratibu za manunuzi wakati wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MBUNGE RITTA KABATI ATOA SADAKA YA TENDE KWA WAUMINI WA DINI YA KIISLAM...

NA FREDY MGUNDA,IRINGA.MBUNGE wa viti maalum mkoa wa Iringakupitia chama cha mapinduzi (CCM) Ritta Kabati ametoa sadaka ya tende kwa waumini wa dini ya kiislamu wa manispaa ya Iringa kwa ajili ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS AFUTARISHA TUNGUU ZANZIBAR

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Rais wa Awamu ya Pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ali Hassan Mwinyi mara baada ya kufutari kwenye Makazi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Katibu Tawala Morogoro awataka Maafisa Kilimo kuongeza Uzalishaji

Na Andrew Chimesela – MorogoroMaafisa Kilimo wa Sekretarieti ya Mkoa na Halmashauri za Mkoa wa Morogoro wametakiwa kusimamia na kutoa utalaama wao kwa wakulima kupitia maafisa Ugani ili kuongeza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ilala watakiwa kuanzisha klabu za mazingira

MANISPAA ya Ilala jijini Dar es Salaam imeshauriwa kuanzisha klabu za mazingira katika shule zake za msingi za manispaa hiyo ili wanafunzi wafundishwe umuhimu wa utunzaji mazingira. Ushauri huo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATAALAMU WA MASUALA YA MAABARA WAAGIZWA KUFUATA UTARATIBU ULIOWEKWA NA SERIKALI

Na Humphrey Shao, Globu ya JamiiSerikali imewaagiza wamiliki wa maabara binafsi kote nchini kuzingatia na kufuata tartibu zilizoweka katika kutoa huduma hili kufikia viwango vinavyohitajika katika sera...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAOFISA ELIMU WAPIGWA MARUFUKU KUINGIZA MAMLUKI MASHINDANO YA UMISSETA DAR

Na Heri Shaaban .MAOFISA Elimu Sekondari wa Manispaa tano katika Mkoa wa Dar es Salaam ambao wanafunzi wao wanashiriki Mashindano ya Umoja wa Shule za Sekondari (UMISSETA) wameshauriwa katika...

View Article

ALICHOKISEMA WAZIRI MKUU, KASSIM MAJALIWA KATIKA MAADHIMISHO YA MFUKO WA RAIS...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Dk.Shein akutana na ujumbe wa Saudi Arabia

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na  Waziri wa Mamlaka ya Saudi Arabia anayeshuhulikia Mambo ya Kiislamu, Misaada, Daawa na Miongozo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DKT. ASHATU KIJAJI AZIPONGEZA BENKI KUSHUSHA RIBA ZA MIKOPO

Na Benny Mwaipaja, WFM, DodomaUamuzi wa Serikali wa kupunguza kiwango cha chini cha amana kinachotakiwa kuwekwa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) na benki za biashara  nchini, umechochea taasisi za fedha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAKAZI MKURANGA WAPIGWA MARUFUKU KUVUKA KATIKA MTO

Na  Emmanuel  Massaka wa Globu ya jamii,MkurangaHALMASHAURI ya Wilaya ya Mkuranga mkoani Pwani imepiga marufuku  wakazi wa Wilaya hiyo na wanafunzi kutovuka katika mito,na badala yake watumie njia za...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS MAGUFULI ALIPOPOKEA RIPOTI YA UHAKIKI WA MALI ZA CCM, KATIBU MKUU MPYA...

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt John Pombe Magufuli akiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamu Mwenyekiti wa CCM...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ULEGA AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA MADARAJA MKURANGA

Na Leandra Gabriel, blogu ya jamiiNAIBU  Waziri Mifugo na Uvuvi na Mbunge wa Mkuranga, Abdalah Ulega ameweka jiwe la msingi  kwa ajili ya  ujenzi wa madaraja matatu wilayani Mkuranga mkoani...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

YALIYOJIRI LEO BUNGENI JIJINI DODOMA

 Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Kangi Lugola akijibu swali kuhusu utaratibu unaotumika kutoa ajira kwa wananchi katika sekta za Muungano leo Bungeni Jijini Dodoma....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

EFM REDIO YATUA RASMI DODOMA

KITUO cha Utangazaji cha Efm redio katika kuhakikisha kinaenda sanjari na maendeleo pamoja na mpango wa serikali wa kuhamia Jijini Dodoma, imewasha rasmi masafa yake leo Jijini humo ambapo inasikika...

View Article

AIRTEL NA ITEL WAZINDUA SIMU AINA YA A32F, WATUMIAJI KUNUFAIKA NA BANDO LA...

View Article

NEWS ALERT: Serikali yashinda kesi iliyofunguliwa na wadau wa habari juu ya...

View Article
Browsing all 110173 articles
Browse latest View live




Latest Images