Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110095 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI YAAGIZA WAMACHINGA WATENGEWE MAENEO YA KUFANYIA BIASHARA

Na Angela Msimbira,Wakuu wa Wilaya wameagizwa kuzisimamia halmashauri nchini kuhakikisha kuwa zinatenga maeneo maalum ya kufanyia biashara ndogondogo (machinga) ili  waweze kuendesha shughuli zao bila...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

MISS TEEN HERITAGE INTERNATIONAL 2016 AWAKABIDHI BASATA CHETI CHA SHUKRANI

Na Angess Francis, Globu ya jamiiBARAZA la Sanaa Tanzania (BASATA)limesema kuendele kutoa ushirikiano kwa wasanii wa nyanja mbali mbali hapa nchini ili wafikie mafanikio yao.Ambapo leo BASATA jijini...

View Article

DAILY NEWS DIGITAL: Mipaka ya Jeshi na Vijiji vya Kauzeni na Luhungo kuangaliwa

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MABINGWA WA NGUMI ZA RIDHAA WAMTEMBELEA MEYA WAO UBUNGO

Na Emmanuel Masaka ,Globu ya jamiiMEYA wa  Ubungo Boniface Jacob ametembelewa na Mabingwa ngumi za ridhaa ambao wameshinda mataji mbalimbali ya ubingwa pamoja na Medali sita katika Shindano la Mchezo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI KUPITIA WIZARA YA UJENZI,UCHUKUZI NA MAWASILIANO YAOMBWA KUJENGA...

Afisa Utalii Hifadhi ya Taifa ya Saadan Athuman Mbae akizungumza na waandishi wa habari AFISA Utalii Hifadhi ya Taifa ya Saadan Athuman Mbae ameiomba Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi,Uchukuzi na...

View Article


DC HAPI AENDELEA NA ZIARA YAKE WILAYA YA KINONDONI

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAS SHINYANGA AFUNGUA MAFUNZO KWA KAMATI YA KUTOKOMEZA UKATILI DHIDI YA...

Katibu Tawala Mkoa wa Shinyanga Albert Msovela amefungua mafunzo kwa wajumbe wa kamati ya kutokomeza ukatili dhidi ya wanawake na watoto mkoa wa Shinyanga yanayolenga kuwajengea uwezo wa namna ya...

View Article

BBC DIRA YA DUNIA JUMATANO 30/05/2018

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIJANA ALIYEMWOKOA MTOTO APATA DILI MALI, AONEKANA JESHI LA ZIMA MOTO...

Na Leandra Gabriel, Blogu ya jamiiRAIS  wa Mali Ibrahim Boubacar Keita amempongeza kijana Mamoudou Gassama (22) aliyemwokoa mtoto aliyenusurika kuanguka kutoka ghorofani na kumtaka arejee nchini Mali...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI WA MIFUGO NA UVUVI AZINDUA WIKI YA MAZIWA NCHINI,AAHIDI KUINUA SEKTA...

Waziri wa Mifugo na Uvuvi,Luhaga Mpina(wa pili kulia) akikata utepe kuzindua Wiki ya Maziwa kitaifa kwenye uwanja maonesho ya Kilimo na Mifugo Nanenane Njiro,kulia kwake ni Mkuu wa mkoa wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MNYETI AAGIZA MANYARA IKAMILISHE VIWANDA 100

Mkuu wa Mkoa wa Manyara Alexander Mnyeti ameziagiza Halmashauri za Wilaya za Mkoa huo kuhakikisha zinatekeleza agizo la uanzishwaji wa viwanda 100 na hadi mwezi Septemba mwaka huu viwe vimekamilika....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SPIKA NDUGAI AWAFARIJI WAFIWA NA KUTOA HESHIMA ZA MWISHO MSIBA WA MAREHEMU...

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akizungumza na Waheshimiwa Wabunge, ndugu, jamaa na marafiki waliofika nyumbani kwa marehemu kasuku Bilago Wilayani kakonko Mkoani Kigoma.Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai...

View Article

INTRODUCING "SIELEWI" BY JOSSIAN WAWENCY

View Article


MICHUZI TV: TWENZETU RUSSIA 2018 - UCHAMBUZI WA KUNDI A & B

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAARIFA KWA UMMA: uteuzi wa wanafunzi waliohitimu kidato cha sita kutoka...

  Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) limefanya uteuzi wa wanafunzi waliohitimu elimu ya sekondari kidato cha sita kutoka shule zote za Tanzania Bara kwa mwaka 2018, kuhudhuria mafunzo ya JKT kwa mujibu wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWANZA YAJIUNGA NA LIGI YA MIJI INAYOPATA HUDUMA YA USAFIRI KIDIJITALI

Mwanza, ‘The Rock City’ kama inavyofahamika kwa wengi nchini Tanzania, leo imeingia kwenye ligi ya miji ya kisasa duniani baada ya kuingia rasmi kwa huduma ya usafiri kidijitali jijini humo. Mwanza,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mkutano wa Baraza la Kisekta la Mawaziri wa Biashara, Viwanda, Fedha na...

Mhe. Mhandisi Stella Manyanya Naibu Waziri wa Viwanda Biashara na Uwekezaji akifuatilia Mkutano wa Baraza la Kisekta la Mawaziri wa Biashara, Viwanda, Fedha na Uwekezaji la Afrika Mashariki uliokuwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KATIBU TAWALA MKOA WA KILIMANJARO,MHANDISI AISHA AMOUR AONGOZA WAJUMBE WA...

Katibu Tawala Mkoa wa Kilimanjaro,Mhandisi Aisha Amour akiwa ameongozana na wajumbe wengine wa Kamati ya Maafa kutembelea Bwawa la Nyumba ya Mungu lililopo wilayani Mwanga ambalo linatajwa ujazo wake...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WALIOKAIDI KUHAMA KWENYE MAENEO YENYE MAFURIKO SAME SASA KUKAMATWA

Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii,Kanda ya Kaskazini.SERIKALI imetoa siku mbili kwa wananchi waliosalia katika Vijiji vya Ruvu Mferejini na Ruvu Marwa wilayani Same ,Mkoani Kilimanjaro...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAONESHO YA TAASISI ZA KITAFITI

View Article
Browsing all 110095 articles
Browse latest View live




Latest Images