Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 109584 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TaESA WAKANUSHA TAARIFA YA TANGAZO LA AJIRA LINALOSAMBAA MTANDAONI

WAKALA wa Huduma za Ajira Tanzania(TaEsa) umesema umesikitishwa na taarifa potofu ambazo zinasambazwa kupitia tangazo la ajira .Imefahamika taarifa hiyo inayosambaa kupitia tangazo hilo inasomeka...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAHAKAMA YAKWAMA KUANZA KUSIKILIZA UTETEZI KESI YA WEMA SEPETU

Ni baada ya mama Wema kudai mwanaye ameenda India kufanyia upasuajiNa Karama Kenyunko, blogu ya jamiiMAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imekwama kuanza kusikiliza utetezi wa msanii wa filamu nchini, Wema...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WIZARA YA ARDHI YAOMBA BILIONI 73 KWA MWAKA 2018/2019.

WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maedeleo ya Makazi, William Lukuvi akiwasilisha Bungeni hotuba ya makadirio ya mapato na matumizi kwa wizara yake kwa mwaka wa fedha 2018/2019 ambapo ameliomba Bunge kujadili...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

VIJANA 966 WAHITIMU MAFUNZO YA KIJESHI MLALE JKT

 Mkuu wa mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme akikagua Gwaride maalum la vijana wa kujitolea waliomaliza mafunzo ya miezi minne ya kijeshi katika kikosi cha 842 Kj Mlale wilayani Songea ambapo jumla ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

EXIM BANK YAFUTURISHA WATEJA WAKE MWANZA

 Meneja wa Benki ya Exim tawi la Mwanza Deo Makwaia, akizungumza na wateja wa benki hiyo wa jijini Mwanza wakati wa hafla ya Futar iliyoandaliwa na benki hiyo. Mkurugenzi wa jiji la Mwanza Kiomoni...

View Article


LIVE BUNGENI:KUAGWA KWA MBUNGE BILAGO MJINI DODOMA HIVI SASA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

VODACOM M-PESA YASHEREHEKEA MIAKA KUMI YA KUBADILISHA MAISHA YA WATANZANIA

Vodacom Tanzania PLC leo imetimiza miaka kumi tangu kuzinduliwa kwa huduma ya M-Pesa. Kwa miaka hiyo kumi, Vodacom M-Pesa imejikita kwenye huduma mbali mbali kama kulipia huduma na bidhaa, huduma za...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HOTUBA YA WAZIRI WA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI, MHE WILLIAM LUKUVI...

WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maedeleo ya Makazi, William Lukuvi akiwasilisha Bungeni hotuba ya makadirio ya mapato na matumizi kwa wizara yake kwa mwaka wa fedha 2018/2019 ambapo ameliomba Bunge kujadili...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKANDARASI WA KITUO CHA AFYA GAIRO ATAKIWA KUMALIZA KAZI KWA WAKATI

Na Cathbert Kajuna - Kajunason/MMG-Gairo.Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Dkt. Kebwe Stephen Kebwe ameutaka uongozi wa wilaya ya Gairo unamsimamia mkandarasi na kuhakikisha upanuzi wa kituo cha afya na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Watanzania watakiwa kujenga utamaduni wa kunywa maziwa kila siku kujenga...

Akizungumza na waandishi wa habari,Mkuu wa Wilaya ya Arusha Daniel Daqarro kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo,amesema katika kuadhimisha wiki ya maziwa Mkoani Arusha, wananchi wanapaswa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MFANO WA BARUA YA KUOMBA NAKALA YA HUKUMU HUU HAPA.

Na  Bashir Yakub.Nakala ya hukumu ni haki yako ikiwa ulikuwa mhusika katika kesi au shauri. Unakuwa mhusika katika kesi au shauri pale unapokuwa mshitaki au mshitakiwa,  mlalamikaji au mlalamikiwa, au...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tanzania itaendelea kushiriki katika ulinzi wa amani duniani, Balozi Mahiga

Siku ya Walinda Amani Duniani huadhimishwa tarehe 29 Mei ya kila mwaka ambapo kaulimbiu ya maadhimisho hayo kwa mwaka huu ni "Ulinzi wa Amani wa Umoja wa Mataifa: Miaka 70 ya huduma na kujitoa (UN...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Nsajigwa,Pondamali kukalia kuti kavu

Na Agness Francis, Blogu ya Jamii.KIKOSI cha Timu ya Yanga kufanya mabadiliko ya bechi  la ufundi kwa baadhi ya makocha.Ambapo Kocha msaidizi wa kikosi hicho Shadrack Nsajigwa pamoja na kocha wa makipa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIKAO CHA KUJUANA CHAFANYIKA PEMBA KUTOKANA NA UGATUZI ULIOFANYWA NA SMZ

Na Masanja Mabula, Pemba KAIMU Mkurugenzi wa Baraza la Mji Wete Bi Salma Abuu Hamad amewataka walimu wa wakuu wa skuli za msingi kuongeza uwabikaji katika kusimamia maendeleo ya elimu katika skuli zao...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SEKTA YA FEDHA YATAKIWA KUONGEZA UBUNIFU KATIKA UTOAJI WA MIKOPO

Na Benny Mwaipaja, WFM, DodomaSERIKALI imeitaka Sekta ndogo ya Benki kuongeza ubunifu kwa kutoa mikopo ya muda mfupi na mrefu ambayo itawezesha ukuaji wa sekta za viwanda na kilimo pamoja na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MUDA WA KUSHUGHULIKIA MIZIGO MPAKANI RUSUMO WAPUNGUA

Na Veronica KazimotoSerikali ya Tanzania na Rwanda kupitia Mamlaka zake za Mapato zimefanikiwa kupunguza muda wa kushughulikia mizigo mpakani Rusumo mkoani Kagera kwa asilimia 73.Hayo yamesemwa leo na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BREAKING NEWS: DKT. BASHIRU ALLY APITISHWA NA NEC KUWA KATIBU MKUU WA CHAMA...

 Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Bashiru Ally mara baada ya kumpendekeza  na kupitishwa na wajumbe wote...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI WA AFYA ZANZIBAR AFANYA ZIARA YA KUTEMBELEA KITUO CHA AFYA RAHALEO NA...

MUUGUZI wa Kitu cha Afya Rahaleo Wanu Amour akimuonyesha kichupa cha chanjo ya watoto Waziri wa Afya Hamad Rashid Mohamed (mwenye suti) alipofanya ziara ya kutembelea kituo hicho . Na Ramadhani Ali –...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHEREKEA SANAA NA NAFASI ART SPACE JUMAMOSI HII

Sherekea Sanaa ni tamasha la kipekee linalosheherekea sanaa na tamaduni za Tanzania kwa njia ya mziki, miondoko, michoro na mengineyo. Nafasi Art Space inawaalika tarehe 2 Juni kuanzia saa 12.30 joini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DC SANGA ATOA TATHMINI YA AWALI YA MAAFA YA MVUA MKURANGA

Mwenyekiti wa halmashauri ya Mkuranga ,Juma Abeid akizungumza jambo katika kikao cha baraza la madiwani ,wa kulia ni Mkurugenzi wa halmashauri hiyo ,Mshamu Munde. Na Mwamvua Mwinyi,MkurangaMWENYEKITI...

View Article
Browsing all 109584 articles
Browse latest View live




Latest Images