Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110185 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DC MJEMA AIHIMIZA WAANDISHI WA HABARI KUZINGATIA WELEDI

Na Chalila Kibuda,Blogu ya jamiiMKUU wa Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam Sophia Mjema amewapongeza kazi kubwa inayofanywa na waandishi wa habari katika kuuhabarisha umma wa Watanzania ila amehimiza...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZAZI WAHIMIZWA KUWAINGIZA WATOTO WAO KWENYE MPANGO WA TOTO AFYA KADI KWA...

Na Editha Karlo wa blog ya jamii, Karagwe.WAZAZI na walezi Mkoani Kagera katika kuelekea msimu wa sikukuu wametakiwa kuhakikisha wanawapatia watoto wao zawadi ya kuwaingiza kwenye mpango wa Toto afya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Minister Mhagama to Officiate National Dialogue on Local Participation for...

Minister of State in the Prime Minister’s Office, Policy, Parliamentary Affairs, Labour, Employment, Youth and the Disabled, Hon. Jenista Joakim Mhagama (pictured ) will officiate a National Roundtable...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

USAJILI KWA VIJANA WA JKT/JKU WALIOOMBA KUJIUNGA NA JESHI LA POLISI KUANZA LEO

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI YA MTAA UPANGA YAJIVUNIA UHALIFU KUPUNGUA KWA ASILIMIA 85

SERIKALI ya Mtaa ya Upanga Mashariki Dar es Salaam imesema vitendo vya uhalifu katika mtaa huo kwa sasa vimepungua baada kuanzishwa ulinzi shirikishi wa bodadoda wa mtaa huo. Mwenyekiti wa Serikali ya...

View Article


WANANCHI WA VIJIJI VYA LITISHA, MDUNDUALO NA LUGAGARA SONGEA MKOANI RUVUMA...

Wananchi wa vijiji vya Litisha, Mdundualo na Lugagara katika halmashauri ya wilaya ya Songea mkoani Ruvuma, wamekanusha taarifa zilizosambaa kwenye baadhi ya vyombo vya habari kwamba kuna zahanati zao...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAARIFA KUTOKA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM)

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mufti ahimiza uadilifu futari ya Standard Chartered

Na mwandishi wetuMufti wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir Bin Ally amesema Waislamu na walimwengu kwa ujumla wananafasi kubwa ya kujifunza mawaidha yanayotolewa katika mwezi Mtukufu wa Ramadhani...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS AJUMUIKA NA WATU MBALIMBALI MKOANI DODOMA WAKATI WA FUTARI

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Katibu wa CCM mkoa wa Dodoma Bi. Jamila Yusuph wakati wa Futari iliyoandaliwa na Mheshimiwa Makamu wa Rais...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Watendaji wanaochangia kuenea kipindupindu Rukwa kushughulikiwa

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo amesema hatamvumilia mtendaji wa serikali atakaechangia kuenea kwa ugonjwa kipindupindu katika mkoa kwani elimu ya ugonjwa huo imeshatolewa kwa muda mrefu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

YALIYOJIRI LEO BUNGENI JIJINI DODOMA

 Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai akisoma dua ya kuliombea Bunge wakati wa kikao cha thelathini na sita cha mkutano wa kumi na moja leo Jijini Dodoma.Naibu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Jaji Mkuu Awataka Viongozi na Watendaji wa Mahakama Kutenda Haki

Na Beatrice Lyimo- Maelezo, DodomaJaji Mkuu wa Tanzania, Profesa Ibrahim Juma amewataka viongozi mbalimbali wa mahakama ikiwemo Naibu Wasajili, Mahakimu, Watendaji, Wakuu wa Idara na Vitengo kutenda...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PRECISION AIR NA MAXMALIPO WAINGIA MKATABA WA MIAKA MITATU WA HUDUMA KWA WATEJA

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.Shirika la ndege la Precision Air limeingia mkataba wa miaka mitatu na kampuni ya MaxMalipo ikiwa ni katika kuboresha huduma za ulipaji wa tiketi kwa njia ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAJALIWA AFUNGUA VITUO VYA POLISI MBURAHATI, KILUVYA NA MBWENI - DAR Inbox x

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikata utepe kufungua Kituo cha Polisi cha Kiluvya wilayani Ubungo Mei 24, 2018. Wapili kushoto ni Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhadisi, Hamad masauni na wanne...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA MHE. STEPHEN MASELE (MB) NA MHE. MBONI MHITA (MB)

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan (katikati)akizungumza na Mbunge wa Shinyanga mjini Mhe. Stephen Masele ambaye hivi karibuni amechaguliwa kuwa Makamu wa Rais...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

‘VITA’ SARATANI YA SHINGO YA KIZAZI YAZINDULIWA DODOMA

Na Ramadhani Juma, Ofisi ya MkurugenziZOEZI la utoaji wa chanjo ya kinga dhidi ya ugonjwa wa Saratani ya Shingo ya Kizazi kwa Wanawake limezinduliwa rasmi katika Halmashauri ya Manispaa ya Dodoma huku...

View Article

INTRODUCING "NASTAY" BY B GWAY @ MIX TOUCHEZ SOUND STUDIO

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANAOHUSIKA NA KUUZA VIWANJA ENEO LA KAMBI YA WAZEE NUNGE WAKAMATWE-SERIKALI.

NA WAMJW-DAR ES SALAAM.SERIKALI kupitia Wizara ya Afya ,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto imeutaka uongozi wa Kambi ya Wazee na watu wasiojiweza Nunge kuwakamata wahusika wanaouza viwanja...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TIB Corporate Bank washiriki jukwaa la biashara jijini Arusha

Mkurugenzi Mkuu TIB Corporate Bank Frank Nyabundege akitoa ufafanuzi juu ya riba zinazotolewa na Bank wakati wa jukwaa linawakutanisha wadau mbalimbali katika masuala ya kuwezesha na kuendeleza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AfDB YASISITIZA NIA YA KUFADHILI MRADI WA KUONGEZA MNYORORO WA THAMANI WA MAZAO

Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) imeahidi kufadhili mradi wa Kuongeza Mnyororo wa Thamani wa Mazao ya Chakula ili kuunga mkono jitihada za Serikali ya Awamu ya Tano za kujenga uchumi wa viwanda na...

View Article
Browsing all 110185 articles
Browse latest View live




Latest Images

<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>
<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596344.js" async> </script>