Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110186 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI KUTATUA CHANGAMOTO YA MAJI KATIKA MAKAZI YA WATU WENYE UKOMA YA...

Serikali imejipanga kuwajengea Kisima cha kisasa watu wenye mahitaji maalum kitachoweza kuhudumia Kaya 26 zenye jumla ya watu 56 wenye ukoma na wazee katika Kambi ya Samaria Hombolo jijini Dodoma.Hatua...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI JENISTA MHAGAMA AZINDUA MDAHALO WA KITAIFA WA KUJADILI USHIRIKISHWAJI...

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,Kazi,Vijana,Ajira na wenye ulemavu Mhe.Jenista Mhagama akizungumza wakati wa uzinduzi wa mdahalo wa kitaifa wa kujadili ushirikishwaji wa jamii katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WATAALAM WA KUTENGENEZA MABEHEWA NA...

 Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (katikati) akizungumza na wataalam kutoka Kampuni ya Zhuzhou Locomotive ya nchini China inayojishughulisha na utengenezaji wa mabehewa na vichwa vya treni za Mwendokasi,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMANDA SIRRO AONYA WALIOPATA MSAMAHA WA RAIS

INSPEKTA Jenerali wa Polisi, Simon Sirro amewaonya watu waliopata msamaha wa Rais Dkt. John Pombe Magufuli wa Aprili 26, 2018 wajichunge tabia na matendo yao.Ametoa onyo hilo leo (Alhamisi, Mei 24,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Makala aweka wazi mahusiano yake na Odama

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.Mtayarishaji na muigizaji wa filamu hapa nchini  Laurent Matiholo maarufu kama “Makala” amefunguka na kuweka wazi juu ya  ukaribu wake wa kimahusiano na msanii mwenzake...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAFUTA YA KULA YAKAMATWA YAKIBADILISWA BRAND YA TURKEY NA KUWEKWA STIKA YA OKI

Na Ramadhan Ali - MaelezoWakala wa Chakula na Dawa Zanzibar (ZFDA) imegundua udanganyifu uliokuwa ukifanywa na mfanyabiashara Ujudi Abass wa kubadilisha utambulisho (brand) wa mafuta ya kula ya TURKEY...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SIMANZI ,VILIO VYATAWALA WAKATI WA KUAGA MIILI YA WATUMISHI WATATU WA KITUO...

*Waziri Mwijage asema Taifa limepata pigo kubwa kwa kupoteza watumishi waadilifu.*Mkurugenzi Mtendaji TIC aelezea utendaji wao, azungumzia namna alivyowaamini.Na Said Mwishehe,Globu ya jamiiNi vilio na...

View Article

SIKU RAIS MAGUFULI ALIPOKABIDHI MEDALI NA KOMBE LA UBINGWA KWA SIMBA SC

View Article


MIILI YA WATENDAJI TIC WALIOFARIKI KWA AJALI YA GARI YAAGWA

View Article


KONGAMANO LA VIONGOZI WASTAAFU KUJADILI AMANI NA USALAMA BARANI AFRIKA

View Article

BUJORA DANCE GROUP KUWAKILISHA NCHI NGOMA ZA ASILI, INDIA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Hongera sana Ruani Fundi Rumadha

Ni furaha na fahari ilioje kwa Sensei Rumadha Fundi baada ya mwanae  Ruani Fundi Rumadha kuhitimu Ray Braswell High school,  huko Aubrey,  Texas, Marekani leo. Globu ya Jamii inaungana na familia ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KUMBUKUMBU

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI JAFO AKERWA NA UJENZI MBOVU WA MADARASA

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Seleman Jafo amemuagiza Mkurugenzi wa Jiji la Dodoma na Suma JKT kuhakikisha madarasa yaliyojengwa katika shule ya Sekondari ya...

View Article

KIPINDI CHA BBC DIRA YA DUNIA

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RC DKT. KEBWE AAGIZA WAHUJUMU MIUNDOMBINU YA MAJI GAIRO WAKAMATWE

Na Cathbert Kajuna - Kajunason/MMG-GAIRO. Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Dkt. Kebwe Stephen Kebwe ameliagiza jeshi la Polisi Wilaya ya Gairo kuwatafuta na kuwakamata watu walioharibu miundo mbinu ya maji...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Magufuli na Mwenyekiti wa CCM awateua Ndg. Mizengo Pinda na Ndg....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

QUR'AN COMPETITION 2018

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BENKI YA CRDB YANG'ARA TUZO YA BENKI BORA UKANDA WA AFRIKA MASHARIKI

 Na Ripota Wetu, Globu ya jamiiTUZO kwa benki bora Afrika mwaka 2018 zimetolewa jijini Busan Korea Kusini huku aliyekuwa Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania(BoT)Profesa Benno Ndulu na Benki ya CRDB...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SIMBA SC WAZAWADIWA MILIONI 100 NA SPORTS PESA KWA KUTWAA UBINGWA

Mkurugenzi wa Utawala na Udhibiti wa SportPesa, Tarimba Abbas akizungumza jambo akiwa ameambana na Mkurugenzi Mkuu SportPesa Pavel Slavkov pamoja na Mkurugeni wa utawala wa Sportpesa Luca Neghesti.Timu...

View Article
Browsing all 110186 articles
Browse latest View live




Latest Images