Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 109981 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WIZARA YA AFYA YATHIBITISHA HAKUNA UGONJWA WA EBOLA NCHINI

NA WAMJW-DAR ES SALAAM.NAIBU Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia Wazee na Watoto dkt. Faustine Ndugulile amethibitisha kuwa hakuna mtu aliyethibitika kuwa na ugonjwa wa EBOLA hapa nchini wala...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

Airtel na VETA washirikiana kuandaa kongamano la elimu kupitia mtandao

Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania kwa kushirikiana na Mamlaka ya Elimu ya Ufundi Tanzania VETA wameshiriki kongamano la elimu kupitia mtandao yenye lengo la kuhamasisha ubunifu kwa vijana...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Benki ya CRDB na Jeshi la Magereza kuendelea kuboresha uhusiano wa kibiashara

Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya CRDB, Dkt. Charles Kimei (kushoto) akizungumza na baadhi ya maafisa waandamizi wa Jeshi la Magereza nchini, juu ya kuangalia njia bora za kudumisha uhusiano baina ya Benki...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI LUKUVI AFANYA MAZUNGUMZO NA MWENYEKITI MTENDAJI WA IPP

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi amekutana na Mwenyekiti Mtendaji wa IPP Dkt. Reginald Mengi ili kuzungumza na kutambua fursa zinazopatikana za uwekezaji katika sekta...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANAWAKE WAJAWAZITO WATAKIWA KUHUDHURIA KLINIKI MARA KWA MARA KUZUIA FISTULA.

NA WAMJW-DAR ES SALAAM.WANAWAKE wajawazito wanatakiwa kuhudhuria Kliniki mara kwa mara ili kuangalia maendeleo ya ujauzito wao na kupata vipimo na matibabu kama itagundulika kuna uwezekano wa kupata...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI WA MAJI KAMWELWE ATAHADHARISHA KUWAFUKUZA WAHANDISI

Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhandisi Isaack Kamwelwe ametahadharisha kuwafukuza kazi na kuwashitaki wahandisi wa serikali wanaokosa uzalendo na kuhujumu miradi ya maji katika hatua ya usanifu na...

View Article

RAIS JOHN POMBE MAGUFULI ARIDHIA KUPANDISHWA HADHI KWA MAPORI YA AKIBA KUWA...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TFF YATANGAZA MAJINA YA WACHEZAJI 30 WATAKAOWANIA TUZO YA MCHEZAJI BORA MSIMU...

Na Agnes Francis Blogu ya Jamii.SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF)limetangaza majina ya wachezaji 30 katika kuelekea mwisho wa Ligi  kuu  ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) ambao watawania Tuzo za...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NCHI ZA AFRIKA ZATAKIWA KUFANYA MAPINDUZI YA UCHUMI KWA KUWEKEZA KWENYE...

Magavana wa nchi za Afrika wametakiwa kuwa na utayari wa kuzisaidia nchi zao kutatua changamoto za kiuchumi na kuhamasisha maendeleo endelevu ili kuendana na mapinduzi makubwa yanayotokea kote Duniani...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WALIOAHIDI KUCHANGIA UJENZI CHOO CHA MTOTO WA KIKE ILALA WAENDELEA KUTIMIZA...

Na Ripota Wetu,Globu ya jamiiKAMPENI ya ujenzi wa Choo cha Mtoto wa kike katika Halmashauri ya Manispaa jijini Dar es Salaam inakwenda vizuri kutokana na wadau walioahidi kuchangia kwa lengo la...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MENEJA WA DIAMOND APELEKWA MAHABUSU

Na Karama Kenyunko, blogu ya jamiiMAHAKAMA Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam imeamuru Mkurugenzi wa Kampuni ya Tip Top Connection ya jijini Dar es Salaam, Hamis Taletale a.k.a Babu Tale,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DKT MAGUFULI AFANYA UTEUZI MWENYEKITI WA BODI YA WAKURUGENZI YA CHAI NA...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAIBU SPIKA, DKT. TULIA AZUNGUMZA NA BAADHI YA WANACHAMA WA CHAMA CHA VIZIWI...

Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (kushoto) akisalimiana na Mlezi Chama cha Viziwi Tanzania, Ndg. Hashim Ismail (kulia) walipomtembelea leo Ofisini kwake Jijini Dodoma.Naibu Spika wa Bunge,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BALOZI WA INDIA NCHINI TANZANIA AFAFANUA UBORA WA ELIMU INAYOTOLEWA NCHINI INDIA

Na Said Mwishehe, Globu ya jamiiBALOZI wa India nchini Tanzania Sandeep Arya amewahimiza Watanzania kuchangia fursa za elimu ya juu inayotolewa katika nchi yao huku akifafanua mkakati walio nao ni...

View Article

KIPINDI CHA BBC DIRA YA DUNIA

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI KIGWANGALLA AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA ITALIA NCHINI, ROBERTO MENGONI

Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamisi Kigwangalla akizungumza na Balozi wa Italia nchini, Roberto Mengoni ofisini kwake Jijini Dodoma leo ambapo wamekubaliana kuimarisha ushirikiano kwenye tafiti...

View Article

DKT ABBASI: HII NDIO SIRI YA MAFANIKIO YA SERIKALI YA AWAMU YA TANO YA MHE....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Bajeti ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki...

   Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, akisoma hotuba ya bajeti ya Wizara kwa mwaka wa fedha 2018/2019 bungeni jijini Dodoma. Mapema leo Bunge...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIWANDA CHA NYAMA CHAPIGWA FAINI YA MILION 5 KWA KUSHINDWA KUKIDHI VIGEZO VYA...

Na Mahmoud Ahmad DodomaKiwanda cha nyama cha Tanzania (TMC) kimepigwa faini ya Milion 5 baada ya kukiuka kanuni za uhifadhi wa mazingira na kuchelewa kutekeleza agizo walilopewa kuhakikisha...

View Article

DKT ABBASI: SERIKALI YA AWAMU YA TANO IMEFIKIA HATUA HII KATIKA KUTEKELEZA...

View Article
Browsing all 109981 articles
Browse latest View live




Latest Images