Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110176 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DAWA ZAVUSHWA KUPITIA MTO WENYE MAMBA MKOANI RUVUMA

Na Dotto Mwaibale, RuvumaWANANCHI wanaoishi katika Vijiji vya Mkenda na Mitomoni vilivyopo kandokando ya mto Ruvuma wilayani Nyasa mkoani Ruvuma wamesema changamoto kubwa waliyonayo ni mazingira magumu...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

WIZARA YA AFYA YAWAONYA WANAOTOA HUDUMA ZA KIMAABARA BILA VIBALI

Na Agness Francis, Globu ya Jamii.WIZARA ya Afya,Maendeleo ya Jami, Jinsia, Wazee na Watoto imewataka watoa huduma za kimaabara kwa wananchi kuhakikisha wanakuwa na vibali, kwani kinyume na hapo hatua...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHAMA CHA MAPINDUZI KUENDELEZA UHUSIANO NA MSHIKAMANO WAKE KWA VYAMA RAFIKI

Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana, akimkabidhi Rais wa Chama Cha Ukumbozi wa Afrika Kusini (ANC) Rais wa Afrika ya Kusini Cyril Ramaphosa barua maalum kutoka kwa Mwenyekiti wa CCM Rais Dk. John...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UN WATOA ELIMU YA MALENGO YA DUNIA KWA WATU WENYE ULEMAVU

Na Ripota Wetu, Globu ya jamiiSHIRIKA la Umoja wa Mataifa (UN) kwa kushirikiana na Shirika la Seed Trust wameanzisha timu ya vijana 20 wenye ulemavu wa aina mbalimbali kutoka vyuo sita vya elimu ya juu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mtanzania Ateuliwa Naibu Katibu Mkuu Umoja wa Mataifa Mazingira

Na.Mwandishi Wetu-MAELEZO.Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Bw.Antonio Guterres ametangaza uteuzi wa Bi.Joyce Msuya kutoka Tanzania kuwa naibu katibu Mkuu wa Umoja wa mataifa anayeshughulikia program ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Riadha Tanzania wampongeza Mkurugenzi mpya MultiChoice

SHIRIKISHO la Riadha Tanzania (RT), limempongeza Mkurugenzi wa MultiChoice Tanzania, Maharage Chande kwa kuteuliwa kuwa Mkurugenzi mpya wa MultiChoice Kanda ya Afrika Mashariki na Magharibi.Mei 20...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANZANIA YAPIGIWA MFANO MATUMIZI BORA YA FEDHA ZA MAENDELEO ZA BENKI YA AfDB

Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) imeitaja Tanzania kuwa moja ya nchi za Afrika zenye matumizi bora ya fedha zinazofadhiliwa na Benki hiyo kwa ajili ya kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

FORMER BOT GOVERNOR WINS INTERNATIONAL ACCOLADE

Former Bank of Tanzania Governor Prof. Benno Ndulu is the winner of the 2018 African Bankers Central Bank Governor of the Year Award in recognition of his contribution to financial inclusion and...

View Article


INTRODUCING New Hit Sebene " HAPA KAZI TU" by Ngoma Africa Band based in Germany

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKUTANO WA WADAU KATI YA SERIKALI, WAAJIRI PAMOJA NA SEKTA BINAFSI KUHUSU...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ilala Yaahidi Kudumishia Miradi ya Dar – Urban

Halmashauri ya Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam imeahidi kuendeleza na kudumisha miradi iliyoachwa na shirika la Plan International katika maeneo ya Buguruni na Vingunguti.Ahadi hiyo imetolewa leo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Saba Wafariki kwa kipindupindu Rukwa

Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga Dkt. Khalfan Haule amethibitisha kufariki kwa wagonjwa saba wa kipindupindu katika Wilaya ya Sumbawanga huku wagonjwa wengine 44 wakibaki wodini kuendelea kupatiwa matibabu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAASISI YA HUMANITY ACTION FOR CHILDREN FOUNDATION YATOA VIFAA KWA WALEMAVU

 Mwanzilishi wa Taasisi ya Humanity Action For Children Foundation, Rahma Mohamed Abdallah akizungumza mara baada ya kukabidhi vifaa kwa makundi ya watu wenye ulemavu kwa mkoa wa Dar es Salaam....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KATIBU MKUU WIZARA YA HABARI AWATEMBELEA WANANCHI JAMII YA WAHADZABE NA...

Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Bi. Suzan Mlawi akizungumza na wananchi wa jamii za Wahdzabe Watatoga na Wasukuma wakati alipotembelea Kata ya Eshkesh kijiji cha Dumanga Yaeda...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI JAFO ALIVALIA NJUGA SUALA LA WATU WENYE ULEMAVU WAWEZE KUPATA FURSA ZA...

Na Victor  Masangu, KisaraweWAZIRI wa nchi Ofisi ya Rais Tawala za mikoa na serikali za mitaa  (TAMISEMI)  Selemean Jafo amekemea vitendo vinavyofanywa na baadhi ya jamii kuwabagua na kuwanyanyasa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MHAGAMA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA ITALIA NCHINI

 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe.Jenista Mhagama akisalimiana na Balozi wa Italia Nchini Tanzania, Mhe.Roberto Mengoni wakati alipotembelewa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 18

maonyesho haya yatajulikama kama Dodoma Expo. yatafanyika tarehe 23 & 24 kwenye viwanja vya Jamhuri Dodoma. Tunawakaribisha sana kushiriki kuonyesha bidhaa zenu, kwa pamoja tunakutanisha wajenzi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

YALIYOJIRI LEO BUNGENI JIJINI DODOMA LEO

Naibu Spika wa Bunge la  Jamhuri ya Muungano Mhe.Dkt.Tulia Ackson akitambulisha wageni wa jukwaa la Spika wakati wa kikao cha thelathini na tano cha Mkutano wa kumi na moja leo Jijini Dodoma.Rais wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MUME AUAWA NA MKE KWA KUTAKA APIKIWE.

JOSEPH MPANGALA-MTWARA.      Mtu mmoja aliyejulikana kwa Jina la Ahamad Salum mkazi wa Kata ya Namiyonga Wilaya ya Newala Mkoani Mtwara ameuawa na Mke wake Sofia Swaleh  Kwa Kuchomwa Kisu Kifuani...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU MAJALIWA AAGANA NA BALOZI WA TANZANIA NCHINI CANADA, ALPHAYO KIDATA

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Balozi wa Tanzania nchini Canada, Balozi Alphayo Kidata ambaye alikwenda  kwenye Makazi ya Waziri Mkuu Oysterbay  jijini Dar es salaam kuaga, Mei 23, 2018....

View Article
Browsing all 110176 articles
Browse latest View live




Latest Images