Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 109996 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA ASKOFU MKUU MTEULE WA...

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Askofu Mkuu Mteule wa Kanisa la Anglikana nchini Askofu Maimbo Mndolwa kabla ya kwenda kusimikwa rasmi kuwa...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mapato Yatokanayo na Utalii Yaongezeka kwa Asilimia 5.6

Na Lilian Lundo - MAELEZO, Dodoma.Mapato yatokanayo na utalii yameongezeka kutoka Dola za Marekani milioni 2,131.57 kwa mwaka 2016 hadi kufikia Dola za Marekani 2,250.3 kwa mwaka 2017 ikiwa ni sawa na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMPUNI 380 KUONESHA BIDHAA ZAO KATIKA MAONESHO MAKUBWA YA KIMAITAFA UTALII...

 Mkurugenzi wa Kampuni ya Kilifair Ltd ,Tom Kunkler akizungumza mbele ya waandishi kuhusu tukio la Maonesho ya Kimatifa ya Utalii ya KAribu Kilifair yanayotaraji kufanyika mjini Moshi ,June 1 hadi 3...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

VIJANA WATAKIWA KUSIMAMA KIIMANI ILI WAFANIKIWE

 Mbunge wa Kasulu Vijijini Augustine Vuma akizungumza wakati wa Kongamano la tatu la Panda katika Chuo Kikuu Cha Tumaini Jijini Dar es Salaam ambapo Taasisi ya Her Initiative iliandaa kongamano hilo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DKT. MAGUFULI AWAPONGEZA WABUNGE STEPHEN MASELE (MAKAMU WA RAIS BUNGE LA...

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wabunge, wa kwanza kushoto Stephen Masele ambaye amechaguliwa kuwa Makamu wa Rais wa Bunge la Afrika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NEC YATEUA DIWANI WA VITI MAALUM KUPITIA CUF

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NEWZ ALERT:WATENDAJI WATATU KITUO CHA UWEKEZAJI NCHINI WAFARIKI DUNIA

*Ni baada ya gari waliyokuwa wakisafiria kugongana na ScaniaNa Ripota Wetu,Globu ya jamiiWATENDAJI watatu wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania(TIC)  wakiwamo Wakurugenzi wawili na Meneja mmoja wamefariki...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

YALIYOJIRI LEO BUNGENI JIJINI DODOMA

 Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Job Ndugai akiongoza kikao cha thelathini na nne cha Mkutano wa kumi na moja leo Jijini Dodoma. Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe.Mwigulu Nchemba...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JENERALI MABEYO AANZA ZIARA RASMI NCHINI CHINA KWA LENGO LA KUDUMISHA...

Na Ripota Wetu, Blogu ya jamiiMKUU wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama ya Tanzania Jenerali Venance Mabeyo ameanza ziara rasmi nchini China yenye madhumuni ya kudumisha ushirikiano wa kijeshi kati ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

IGP SIRRO AKUTANA NA BALOZI UFARANSA

 Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro, akizungumza na Balozi wa Ufaransa nchini Tanzania, Frederic Clavier (katikati), alipomtembelea ofisini kwake Makao Makuu ya Jeshi hilo jijini Dar es...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI YAWATAKA WADAU WA NGOs KUENDELEA KUTEKELEZA SERA ZILIZO CHINI YA...

Na Mwandishi wetu DodomaSerikali kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imeawataka wadau wa Mashirika yasiyo ya Kiserikali kuendelea kutekeleza Sera mbalimbali zilizo chini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAANDISHI WAAHIDI KUSHIRIKIANA NA TFDA KATIKA KUHAMASISHA MATUMIZI SAHIHI YA...

Mamlaka ya Chakula na Dawa nchini (TFDA) imeendesha kikao kazi cha wahariri na waandishi wa habari wa mikoa ya Shinyanga na Mwanza kwa ajili ya kuhamasisha kazi na majukumu ya TFDA na kujadiliana kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MSHAMBULIAJI AZAM AKIRI MAJERAHA YA NYONGA YAMEPUNGUZA KASI ALIYONAYO MSIMU...

Na Zainab Nyamka, Globu ya jamiiMSHAMBULIAJI wa Azam Shaaban Idd, amekiri kuwa nje ya dimba kwa takribani miezi saba akiuguza majeraha ya nyonga kulimwaribia kuendeleza kasi aliyokuwa nayo msimu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANZIA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SPIKA JOB NDUGAI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA NABII MWINGIRA NA WANAFUNZI KUTOKA...

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akimsikiliza Makamu Mkuu wa Chuo kikuu cha St. John kilichopo Jijini Dodoma, Prof. Emmanuel Mbennah (katikati) na mmoja ya Mwanafunzi wa Chuo kikuu cha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TBF YATANGAZA TAREHE YA KUANZA MASHINDANO YA MPIRA WA KIKAPU

Na Zainab Nyamka, Globu ya jamiiSHIRIKISHO la Mpira Kikapu Tanzania(TBF) imetangaza rasmi tarehe ya mashindano ya kikapu ya FIBA Zone V U18 (Wanawake na Wanaume ) kuwa yanatarajiwa kuanza June 17 hadi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UBA YAJIVUNIA MAFANIKIO YAKE, YAAHIDI HUDUMA BORA ZA KIBENKI NCHINI

Na Said Mwishehe, Globu ya jamiiUONGOZI wa United Bank for Africa(UBA) umesema umejipanga kuendelea kutoa huduma bora za kifedha kwa Watanzania huku ukifafanua kukua kwa teknolojia kumeifanya benki yao...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANAFUNZI WA CHUO KUKUU ZANZIBAR WAPEWA SOMO JUU YA UMUHIMU WA EAC

Mabalozi wa vijana wanaoiwakilisha Tanzania katika Jumuiya ya Afrika Mashariki, Yohana Lambo Mayenga pamoja na Suzane William Mollel wamekutana na Wafunzi wa Chuo Kikuu Zanzibar kilichopo Tunguu,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAIBU WAZIRI KWANDIKWA AKUTANA NA WANANCHI WALIOPISHA UJENZI KIWANJA CHA...

Naibu Waziri wa Ujenzi, Mhe. Elias Kwandikwa, akizungumza na wananchi wa mtaa wa Mpamaa, Kata ya Miyuji (hawapo pichani), kuhusu mpango wa Serikali wa kulipa fidia kwa wananchi waliopisha ujenzi wa...

View Article

LIVE BUNGENI: WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII, DKT. KIGWANGALLA AKIWASILISHA...

View Article
Browsing all 109996 articles
Browse latest View live




Latest Images