Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110171 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RC KIGOMA AHIMIZA WAKUU WA WILAYA, WATENDAJI KUTOA ELIMU KWA WANANCHI...

Na Rhoda Ezekiel Kigoma,MKUU wa Mkoa wa Kigoma Brigedia Jenerali Emanuel Maganga, amewataka Wakuu wa Wilaya, Watendaji na watushi wa idara ya afya kuhakikisha wanatoa elimu ya kutosha kwa wananchi...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

TBC, KWESE FREE SPORTS (TV1) KURUSHA MICHUANO YA KOMBE LA DUNIA (FIFA) BURE...

Na Leandra Gabriel, blogu ya jamiiKITUO cha Televisheni ya Taifa (TBC), TBC Taifa na Kwese Free Sports (TV1)  wameingia makubaliano ya kurusha matangazo ya moja kwa moja ya michuano ya kombe la Dunia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

LULU APANGIWA KUFANYA USAFI WIZARA YA MAMBO YA NDANI

*Atakiwa kuripoti kila siku asubuhi, ikitokea akapata ujauzito atapewa likizo*Ni marufuku kuzungumza na vyombo vya habari ,akitaka kuigiza filamu ruksaNa Said Mwishehe,Globu ya jamiiMKURUGENZI Msaidizi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SADC WATOA MAFUNZO KWA MAAFISA WA SERIKALI

Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki kwa kushirikiana na Serikali ya Ujerumani chini ya Shirika la Maendeleo la Ujerumani (GIZ) na Sekretarieti ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAHAKAMA YATUPILIA MBALI MAOMBI UPANDE WA UETETEZI KESI YA UCHOCHEZI...

Na Karama Kenyunko, Blogu ya jamiiMAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu leo imetupilia mbali maombi ya upande wa utetezi katika kesi ya uchochezi inayowakabili viongozi wa Chadema akiwemo Mwenyekiti wake...

View Article


MFANYA BIASHARA MKOANI RUVUMA AKUTWA AMEHIFADHI BIDHAA CHOONI

Wafanyabiashara Watatu katika Manispaa ya Songea Mkoani Ruvuma,Wanashikiliwa na Jeshi la polisi kwa tuhuma za kutunza bidhaa katika maghala yasiyotambulika na serikali, huku mwingine akihifadhi bidhaa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAMACHINGA WATAKIWA KUCHANGAMKIA FURSA YA KUJISAJILI NA KUPATIWA VITAMBULISHO...

Na Veronica Kazimoto,Arusha.Wito umetolewa kwa wafanyabiashara wadogo walio kwenye sekta isiyo rasmi hususani wamachinga kujisajili na hatimaye kupatiwa vitambulisho maalum kwa lengo la kusaidia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Elimu ya Mlipa Kodi Kutolewa Mashuleni

Na: Lilian Lundo - MAELEZO, Dodoma.Serikali imeona umuhimu wa kuingiza elimu ya mlipa kodi kwenye mitaala ya elimu nchini ili kwajengea Watanzania tabia, mwenendo na mazoea ya kulipa kodi kwa maendeleo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS APOKEA VIFAA VYA UPASUAJI KUTOKA UBALOZI WA KUWAIT

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema uboreshaji wa huduma katika hospitali zetu za kibingwa kama MOI, zitaipunguzia Serikali mzigo wa kupeleka wagonjwa nje...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SPIKA JOB NDUGAI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA BALOZI WA USWISI NCHINI TANZANIA

 Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akizungumza na Balozi wa Uswisi nchini Tanzania, Ndg. Florence  Mattli (wa pili kushoto) alieambatana na Afisa kutoka Ubalozini, Ndg. Sandrine Denti (wa pili...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SPIKA WA BUNGE JOB NDUGAI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA UONGOZI KILICHOFANYIKA...

 Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akiongoza kikao cha kamati ya uongozi kilichofanyika leo tarehe 15 Mei, 2018  Ofisini  kwake Jijini Dodoma. (PICHA NA DEONISIUS SIMBA – OFISI YA BUNGE

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MOI SASA KUFANYA UPASUAJI KWA WAGONJWA 1000 KWA MWEZI-MAKAMU WA RAIS

NA WAMJW-DAR ES SALAAMTAASISI ya Mifupa nchini MOI sasa itafanya upasuaji wa mifupa kwa wagonjwa wapatao 1000 kwa mwezi kutoka wagonjwa 500 mpaka 700 baada ya kupokea msaada wa chumba cha upasuaji na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

H.E. Benjamin Mkapa, former presidents to convene on peace and security in...

Former Presidents Benjamin Mkapa of Tanzania, Thabo Mbeki of South Africa and Hassan Sheikh Mohamud of Somalia are expected to meet in Dar es Salaam this week to discuss Africa’s position in the global...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SWITZERLAND YAAHIDI KUIMARISHA UHUSIANO WA KIMAENDELEO NA TANZANIA

Switzeland imeahidi kuendelea kushirikiana na Serikali ya Tanzania katika kusaidia Sekta mbalimbali za Maendeleo hasa katika suala la Afya, kuongeza ajira na kukuza ujuzi .Hayo yamebainishwa wakati wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAARIFA KWA UMMA KUHUSU VYETI VYA WAHITIMU PROGRAMU ZA UUGUZI UKUNGA NA...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TFF YAMUOMBA RAIS MAGUFULI KUWAKABIDHI KOMBE LA CECAFA VIJANA CHINI YA 17 ILI...

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania(TFF) limemuomba Rais Dk.John Magufuli  kuwakabidhiwa Kombe la CECAFA vijana wa chini wa miaka 17 kwa lengo la kuwapa hamasa vijana...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAKALA WA MISITU TANZANIA WAZUNGUMZIA UMUHIMU WANANCHI KUTUNZA MITI YA MIKOKO

Na Said Mwishehe, Globu ya jamiiMTENDAJI Mkuu wa Wakala wa Misitu Tanzania(TFC) Profesa Dos Santos Silayo amesema ipo haja kwa Watanzania kuhakikisha wanatunza mikoko na kufafanua kuwa mikoko imekuwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Maandalizi ya ukarabati wa Beit El Ajaib yaiva

OFISA Mkuu wa Idara ya Makumbusho Abdalla Magofu (aliyeshika mwamvuli), akitoa maelezo kwa ujumbe kutoka serikali ya Oman juu ya hali ya jengo la Ngome Kongwe lililoko Forodhani mjini Zanzibar. Kulia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mradi wa Bomba la Mafuta watoa ajira za awali kwa Vijana zaidi ya 200

Vijana zaidi ya 200 wamepata ajira ya kufanya  utafiti  wa athari za kijamii na kiuchumi katika njia ya Bomba la Mafuta Ghafi la  Afrika Mashariki kutoka Hoima Nchini  Uganda hadi katika Bandari ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

GCLA Watoa Mafunzo kwa Wasimamizi 60 wa Kemikali

Na Jacquiline Mrisho – MAELEZO.Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali (GCLA) imetoa mafunzo kwa wasimamizi wanaohusika na shughuli za kemikali wapatao 60 wa Kanda ya Mashariki yatakayowasaidia...

View Article
Browsing all 110171 articles
Browse latest View live




Latest Images