Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110160 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

COST KUENDELEA KUSHIRIKIANA NA SEKTA NUNUZI KUPIMA THAMANI YA FEDHA KATIKA...

Na Chalila Kibuda, Globu ya JamiiTaasisi ya Mkakati wa Uwajibikaji na Uwazi katika Sekta Ujenzi (COST) imesema kuwa itaendelea kushirikiana na taasisi nunuzi katika sekta ya ujenzi kuangalia...

View Article



KIPINDI CHA BBC DIRA YA DUNIA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKAZI DAR MBARONI KWA TUHUMA ZA KUKUTWA NA DAWA ZA BINADAMU ZILIZOISHA MUDA WAKE

Na Chalila Kibuda, Globu ya JamiiJESHI la Polisi Kitengo cha Kuzuia Dawa za Kulevya kinamshikilia mkazi wa Tabata Segerea Chama jijini Dar es Salaam Joseph Jaumbe( 52) kwa tuhuma za  kukutwa na dawa za...

View Article

HOTUBA YA WAZIRI UMMY MWALIMU SIKU YA FAMILIA DUNIANI ILIYOSOMWA KWA NIABA...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mtanzania Afundishaye ki-Swahili Marekani Akifurahia Kitabu Posted: 15 May...

Na Profesa Mbele Mimi kama mwandishi ninathamini maoni ya wasomaji juu ya maandishi yangu. Msomaji anapokuwa ametumia muda wake kusoma na kutafakari nilichoandika, halafu akatumia muda wake kuandika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

PANGABOI ZA BOMBADIER ZINAPOPIGWA PICHA KWA KAMERA YA SIMU NA KAMERA YA KAWAIDA

Na AnkalUnapopiga picha ya ndege inayotumia pangaboi ni muhimu kuhakikisha kwamba kasi ya shata (shutter speed) ya kamera yako sio ya juu sana ama sivyo picha utayopata ni ya pangaboi kuonekana...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BALOZI WA INDONESIA AAHIDI KUWAALIKA WAWEKEZAJI WA VIWANDA VYA NGUO, NGOZI NA...

Na Stella Kalinga, SimiyuBalozi wa Indonesia hapa nchini Prof.Dkt. Ratlan Pardede amewaahidi viongozi wa Mkoa wa Simiyu kuwa atawaalika wawekezaji wa Viwanda vya nguo, viwanda vya kuchakata ngozi  na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MALEZI BORA NI MSINGI KATIKA UJENZI WA FAMILIA IMARA NA TAIFA IMARA

Malezi bora katika familia imesemeka ni ndio msingi wa malezi kwa watoto katika jamii yetu hivyo wazazi wanapaswa kuzingatia kutoa malezi bora kwa watoto ndani ya familia na jamii kwa ujumla ili kuwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Watanzania wahimizwa kuchangamkia shindano la ujasiariamali la TBL

-Mshindi kujinyakulia kitita cha Dola 50,000/- Kampuni ya TBL Group, chini ya kampuni  yake mama ya, ABIn Bev, Imewataka watanzania kuchangamkia kushiriki shindano lililozinduliwa  karibuni la wazo la...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RC NDIKILO AMEWAHAKIKISHIA WANANCHI KUSHUKA KWA BEI YA MAFUTA PWANI

Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama mkoani Pwani,mhandisi Evarist Ndikilo(aliyeinama) wakati alipotembelea maduka ya bidhaa ya mafuta ya kupikia na sukari ,Loliondo ,Mailmoja ,Mjini Kibaha,(Wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wateja 996 wajinyakulia simu janja za TECNO R6 na bonasi za data bure

Meneja Masoko wa Tigo, Mkoa wa Tanga Lilian Mwalongo (kulia) akimkabidhi Jeremiah Mwamlenga (kushoto) zawadi ya simu janja yenye uwezo wa 4G aina ya Tecno R6 baada ya kuibuka kama moja wa washindi wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAKUU WA MIKOA KANDA YA ZIWA VICTORIA WAKOSOA VIKALI TABIA YA WANASIASA...

 Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina akihutubia  hadhara ya kikosi kazi cha watu 260 alichokiunda kwa ajili ya operesheni Sangara 2018 na Wakuu wa Mikoa mitano inayozunguka Ziwa vicktoria  wakati...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DC SHINYANGA AZINDUA RASMI ZOEZI LA KUGAWA VITAMBULISHO VYA TAIFA KWA WANANCHI

Uzinduzi huo umefanyika leo Jumatano Mei 16,2018 katika ukumbi wa Lewis Kalinjuna uliopo katika ofisi za Manispaa ya Shinyanga. Mkuu huyo wa wilaya amekabidhi vitambulisho 12,918 kwa maafisa watendaji...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BoT YAAMUA KUZIUNGANISHA BENKI ZA TWIGA NA BENKI YA TPB

*Mali, madeni, wafanyakazi kuhamishiwa TPB, wateja waombwa kuwa watulivuNa Said Mwishehe, GlobuBENKI Kuu ya Tanzania(BoT) imesema Serikali ikiwa mmiliki mkubwa wa Twiga Bancorp imeamua kuimarisha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SANLAM, MAXCOM KUWAWEZESHA WATEJA WA BIMA KUFANYA MALIPO KWA NJIA YA SIMU ZA...

Na Emmanuel Masaka,Globu WATANZANIA watapata fursa ya kufanya malipo ya bima mbalimbali kwa njia rahisi zaidi kupitia simu zao za mikononi baada ya kampuni ya Bima ya Sanlam Life Insurance na Maxcom...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JENGO LA BEIT EL AJAB KUFANYIWA MATENGENEZO MAKUBWA KUTOKA SEREKALI YA OMAN

  JENGO la kihistoria la Beit el ajab liliopo Forodhani Mjini Zanzibar linalotarajiwa kufanyiwa matengenezo makubwa na Serekali ya Oman baada ya kubomoka baadhi ya sehemu zake miaka michache iliyopita....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DK.SHEIN AKUTANA NA UJUMBE WA KAMPUNI YA CRCC NA CCECC KUTIKA CHINA

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na Rais wa Kampuni ya Railway Construction Corporation (CRCC) kutoka Nchini China  Bw.Zhuang Shangbiao...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BENKI YA CRDB KUFANYA MKUTANO WA WANAHISA JIJINI ARUSHA

Na Pamela Mollel,ArushaBenki ya CRDB inatarajia kufanya mkutano wake wa ishirini na tatu(23)wa wanahisa wa benki hiyo katika ukumbi wa Kimataifa wa AICC ulipo jijini Arusha na kuhudhuriwa na watu zaidi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UPANDE WA UTETEZI KESI YA 'UCHOCHEZI' INAYOWAKABILI VIONGOZI CHADEMA WATOA...

Na Karama Kenyynko,Blogu ya jamiiUPANDE wa utetezi katika kesi ya uchochezi inayowakabili viongozi tisa wa Chadema akiwemo Mwenyekiti wa Chama hicho Freeman Mbowe, wameomba Mahakama kutupilia mbali...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MO AKUBALI KUNUNUA ASILIMIA 49 YA HISA ZA KLABU YA SIMBA

Na , Humphrey Shao, Globu ya Jamii MFANYABIASHARA maarufu nchini Mohammed Dewji 'Mo' amekubali kununua asilimia 49 za hisa za Klabu ya Simba SC kulingana na maelekezo ya Serikali katika mchakato wa...

View Article
Browsing all 110160 articles
Browse latest View live




Latest Images