Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110182 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI UMMY AZINDUA MASHINDANO YA BANDA CUP AMWAGA VIFAA VYA MICHEZO

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto Ummy Mwalimu amekabidhi vifaa vya michezo kwa timu 16 ambazo zinashiriki michuano ya Banda Cup ikiwa ni mchango wake kusaidia mashindano...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKALAMA SHIKAMANENI KUINUA WILAYA YENU-WAZIRI JAFO

Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Selemani Jafo amewataka wananchi wa wilaya ya Mkalama iliyopo mkoani Singida kushikamana ili kuinua wilaya yao...

View Article

UJENZI WA JENGO LA UTAWALA LA HALMASHAURI YA MJI WA NANYAMBA MKOANI MTWARA WA...

Msimamizi wa mradi wa ujenzi wa jengo la utawala la halmashauri ya mji wa Nanyamba mkoani Mtwara Mhandisi MEDRAD MMOLE amesema kukosekana kwa vibarua kumepelekea kuchelewesha kukamilika kwa mradi huo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATEJA KUWASILIANA BILA KIKOMO NA SUPER HALO YA HALOTEL

Na Leandra Gabriel, Globu ya jamii KAMPUNI ya mawasiliano ya simu ya Halotel, kwa mara ya kwanza imezindua kifurushi kisichokuwa na ukomo wa muda kitakacho wawezesha wateja wa mtandao huo kuwasiliana...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CAG AZUNGUMZIA MAFANIKIO YA OFISI YAKE

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali(CAG), Profesa Mussa Juma Assad amesema ofisi yake imefanikiwa kutoa taarifa kwa wakati, kila inapofika Machi 30 ya kila mwaka licha ya kukabiliwa na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ULEGA APOKEA MIFUKO 200 YA SARUJI YA UJENZI WA ZAHATI MKURANGA

Na Leandra Gabriel, Blogu ya jamiiMBUNGE wa Jimbo la Mkuranga mkoani Pwani ambaye pia ni Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Abdallah Ulega amepokea mifuko 200 ya saruji yenye thamani ya Sh.milioni tatu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Magufuli ateua wenyeviti wawili wa Bodi.

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Fanya haya kufanikisha mfungo wa Ramadhani

Na Jumia Travel TanzaniaMfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani umekaribia ambapo Waislamu wote nchini na duniani wanatarajiwa kuanza kufunga. Mwezi huu muhimu kiimani huchukuliwa kama kipindi cha toba...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kamati ya Bunge ya Uganda Yamwagia Sifa Mradi wa DMDP

Kamati ya bunge ya hesabu za Serikali za Mitaa kutoka Nchini Uganda (PAC-LG) imemwagia sifa Mradi wa Uendelezaji wa Jiji la Dar es salaam unaoendelea kutekelezwa katika Manispaa ya Tano za Mkoa wa Dar...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

IN LOVING MEMORY OF R.BRIAN SALVA RWEYEMAMU

R.BRIAN SALVA RWEYEMAMU 1987 - 2014Today, 15 May, 2018, the family of Salva Rweyemamu and Isabella Kafumba Rweyemamu commemorates four years of the untimely departure of their beloved son, R. Brian...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Standard Chartered wazindua michuano ya kuwania tiketi ya kwenda kuiona...

Na Mwandishi wetuBenki ya Standard Chartered jana ilizindua awamu ya tatu  ya michuano ya soka ya kuwania kombe lake. Michuano hiyo ya kuwania kombe la Standard Chartered 2018 huchezwa kwa dakika 10...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HERI YA MAADHIMISHO YA MWAKA MMOJA WA SPORTPESA,BADO TUNAIKUMBUKA ZIARA YA...

Kampuni ya michezo ya kubashiri ya SportPesa siku ya Jumatano ya Mei 9, imetimiza mwaka mmoja tangu ilipoanza uendeshaji wa shughuli zake za kibiashara nchini.SportPesa ambayo imeanzia nchini Kenya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TUKIO LA CAREER DAY:CHUO KIKUU CHA USHIRIKA MOSHI ,LAWAKUTANISHA WAHITIMU NA...

Na Dixon Busagaga,Moshi MAKAMU Mkuu wa Chuo Kikuu cha Ushirika ,Moshi (MoCU) ,Prof, Faustine Bee ameshauri kuanzishwa kwa ujasiliamali wa Kiushirika utakao saidia wahitimu wa vyuo vikuu nchini...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Maandalizi ya ukarabati wa Beit El Ajaib yaiva

Na Salum Vuai, WHUMKMAANDALIZI ya matengenezo ya jengo la Beit Al Ajaib lililoko Forodhani mjini Zanzibar yameanza kufuatia ziara ya ujumbe kutoka Wizara ya Urithi na Utamaduni ya serikali ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WADAU WA UTALII WAKUTANA KUJADILI MPANGO KABAMBE WA MIAKA KUMI KUENDELEZA...

Na Editha Karlo wa blog ya Jamii,KigomaWATANZANIA wametakiwa kujenga tabia ya kutembelea hifadhi za Taifa mbalimbali zilizopo nchini ili kuweza kujionea urithi na vivutio adimu vilivyopo kwenye hifadhi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JAFO AKERWA NA GHARAMA KUBWA ZA UJENZI WA BWENI ENDASAK

.Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe.Seleman Jafo amesikitishwa na gharama kubwa iliyotumika katika ujenzi wa Bweni la wanafunzi katika Shule ya Sekondari Endasak....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MATUKIO MBALIMBALI YA BUNGENI JIJINI DODOMA

 Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Andrew Chenge akijibu miongozo  mbalimbali ya wabunge leo Bungeni Jijini Dodoma. Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWAKILISHI WA JIMBO LA TUNGUU AFANYA ZIARA YA KUTEMBELEA CHUO KIKUU ZANZIBAR...

  MWAKILSHI wa Jimbo la Tunguu Simai Mohamed Said akisalimiana na Makamo Mkuu wa Chuo Kikuu Zanzibar (ZU) Pr. Musta Roshash alipofika ofisini kwake Chuoni hapo Tunguu Mkoa wa Kusini Unguja. MWAKILSHI...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MUHIMBILI KUFUNGA MASHINE YA KUDHIBITI TAKA HATARISHI

Hospitali ya Taifa Muhimbili inatarajia kufunga mashine ya kisasa ya utasishaji taka ambayo itapunguza uchomaji wa taka za plastiki ambazo zina madhara kwa binadamu Mashine hiyo yenye thamani ya Dola...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DKT MAGUFULI AFANYA ZIARA YA GHAFLA BANDARINI DAR ES SALAAM KUKAGUA...

8 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akitoa maelekezo na kuulia maswali alipowasili eneo lenye matanki ya kuhifadhia mafuta ya kula baada ya kushushwa melini alipofanya...

View Article
Browsing all 110182 articles
Browse latest View live




Latest Images

<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>
<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596344.js" async> </script>