MFANYABIASHARA ALIYEFICHA MAFUTA YA KUPIKIA AKAMATWA RUVUMA
Katika hali isiyo ya kawaida mkuu wa mkoa wa Ruvuma CHRISTINA MNDEME amefanya ziara ya kushtukiza katika maghara ya kuhifadhia bidhaa ikiwemo mafuta ya kupikia na kukuta shehena ya mafuta hayo yakiwa...
View ArticleBALOZI WA IRELAND ASIFU MUHIMBILI KWA KUBORESHA HUDUMA
Balozi wa Ireland nchini Paul Sherlock leo ametembelea Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kwa lengo la kuona maendeleo ya miradi mbalimbali inayofadhiliwa na Serikali ya Ireland.Katika ziara hiyo...
View ArticleTENGA AZITAKA KLABU ZA LIGI KUU KUWEKEZA KWA VIJANA
Na Zainab Nyamka, Globu ya JamiiAliyekuwa Rais wa Zamani wa Shirikisho la Mpira wa Miguu (TFF) Leodegar Tenga amewataka uongozi wa klabu za Kandanda nchini kuwekeza katika soka la Vijana ili...
View ArticleHalmashauri Wilaya ya Longido yapewa siku 7 kuhakikisha imejibu hoja zote...
Halmashauri ya Wilaya ya Longido imepewa siku 7 kuhakikisha imejibu hoja zote zilizotolewa na mkaguzi wa nje (CAG) kwa mwaka fedha kuanzia 2015 hadi 2017.Akitoa agizo hilo mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho...
View ArticleRC Wangabo aagiza DED kuchunguzwa
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa mh. Joachim Wangabo amemuagiza Katibu Tawala wa Mkoa kuanzisha mchakato wa kinidhamu na uchunguzi mara moja dhidi ya Mkurugenzi wa Halamashauri ya Wialaya ya Kalambo kutokana na...
View ArticleJAFO AKEMEA WIZI WA VYUMA VYA MADARAJA
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI) Selemani Jafo amekemea wananchi wenye tabia mbaya ya kuiba vyuma vinavyo wekwa katika kingo za madaraja kwamba...
View ArticleMADHIMISHO YA KIMONDO CHA MBOZI KUFANYIKA MWEZI JUNI MKOANI SONGWE
Na Hamza Temba-WMU-SongweMkoa wa Songwe kwa kushirikiana na Wizara ya Maliasili na Utalii na wadau wengine wa uhifadhi na maendeleo utafanya maadhimisho ya siku ya Kimondo cha Mbozi kwa mara ya kwanza...
View ArticleJAFO AKEMEA WIZI WA VYUMA VYA MADARAJA
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI) Selemani Jafo amekemea wananchi wenye tabia mbaya ya kuiba vyuma vinavyo wekwa katika kingo za madaraja kwamba...
View ArticleMVUA YAKATA DARAJA LA TABATA KISIWANI
Na Mdau wa blog ya jamiiJapokuwa mvua zinaendelea kunyesha, zikiwa zinaweza kuleta madhara makubwa katika barabara mbali mbali jijini Dar es Salaam na nchini kwa Ujumla lakini zipo barabara zinaweza...
View ArticleJAMII YAASWA KUJENGA MISINGI BORA YA MALEZI YA WATOTO –NKINGA
Na Chalila Kibuda, Globu ya JamiiJAMII imeaswa kujenga misingi imara ya malezi ya watoto ili wasiweze kuishi maisha ya mitaani na ambayo yanasababisha kokosa haki za kupata elimu pamoja na malezi...
View ArticleBalozi Seif akutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya...
Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Kale wa Serikali ya Kifalme ya Oman Bwana Salum Mohamed Al – Mahrooqi alisema uwepo wa Jumla la Ajabu liliopo Forodhani Mji Mkongwe maarufu {Beit Al Ajaib}utaendelea...
View ArticleMdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali(CAG) azungumzia mafaniko na...
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali(CAG), Profesa Mussa Juma Assad amesema ofisi yake imefanikiwa kutoa taarifa kwa wakati, kila inapofika Machi 30 ya kila mwaka licha ya kukabiliwa na...
View ArticleYANGA HAITAKAA KUISAHAU MICHEZO HII 7
Leo hii tumekusogezea Michezo 7 iliyochezwa na Timu ya Yanga katika michezo hiyo Yanga imetoa sale michezo miwili na kufungwa michezo mitano.
View ArticleDC SHINYANGA AFUNGUA WARSHA YA MASUALA YA JINSIA KWA WALIMU ILIYOANDALIWA NA...
Warsha hiyo iliyoandaliwa na Chuo Kikuu Huria cha Tanzania tawi la Shinyanga kwa ufadhili wa benki ya CRDB tawi la Shinyanga imefanyika leo Jumatatu Mei 14,2018 katika chuo hicho mjini Shinyanga kwa...
View Article
More Pages to Explore .....