WAZIRI UMMY AZINDUA TAWI LA CCM KATA YA USAGARA APOKEA WANACHAMA 50 PAPO HAPO
Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto Ummy Mwalimu ambaye pia ni Mbunge wa Viti Malumu (CCM) mkoa wa Tanga akimkabidhi kadi ya CCM moja ya wanachama wapya waliojiungana chama hicho...
View ArticleZUHURA MAGANGA ATWAA KWA KISHINDO NAFASI YA UWENYIKITI TAPSEA
Mwenyekiti wa Chama cha Makatibu Mahsusi Tanzania (TAPSEA), Zuhura Maganga (katikati) akishangilia sambamba na wanachama wenzake wa TAPSEA baada ya kutangazwa mshindi katika uchaguli wao uliofanyika...
View ArticleWATAALAMU WA NISHATI, REA, TANESCO WAKAGUA MIRADI YA REA MOROGORO
Wataalam kutoka Wizara ya Nishati, Wakala wa Nishati Vijijini (REA) na Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) wamefanya ziara katika vijiji vya Mandera, Mtego wa Simba na Kibaoni vilivyopo mkoani...
View ArticleShindano la utunzi wa hadithi la Andika Challenge lazinduliwa
Na Mwandishi wetuTAASISI ya Dr Ntuyabaliwe imezindua shindano la Andika Challenge kwa watoto wa shule za msingi manispaa ya Kinondoni wenye lengo la kuibua vipaji vya watoto katika kubuni na kutunga...
View ArticleWanawake wajipumzisha Kunduchi, wasema wanastahili kupumzika
WANAWAKE wamama wanastahili kupewa nafasi na jamii kupata muda wa kupumzika na kufurahia maisha kutokana na wao kuwa wafanyakazi wa mwaka mzima.Kauli hiyo imetolewa na mwandazi wa siku ya wamama...
View ArticleSIMIYU YAWAHAKIKISHIA WADAU UPATIKANAJI WA MIUNDOMBINU MUHIMU UWANJA WA NANENANE
Na Stella Kalinga, SimiyuMkoa wa Simiyu umewahakikishia wadau wote wa Nanenane mwaka 2018 upatikanaji wa miundombinu muhimu hususani miundombinu ya maji, umeme na barabara katika Uwanja wa Maonesho ya...
View ArticleRAIS DR. SHEIN AZINDUA TAWI LA CCM FUONI MICHENZANI
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein akifungua pazia kuashiria kulifungua Tawi jipya la CCM Fuoni Michenzani hafla...
View ArticleWATAALAM NISHATI, REA, TANESCO WAKAGUA MIRADI YA REA MOROGORO
Wataalam kutoka Wizara ya Nishati, Wakala wa Nishati Vijijini (REA) na Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) wamefanya ziara katika vijiji vya Mandera, Mtego wa Simba na Kibaoni vilivyopo mkoani...
View ArticleWAZIRI JANUARI AZUNGUMZIA SOMO LA MUUNGANO BUNGENI, AAHIDI KUWASILIANA NA...
Na Ripota Wetu, Globu ya jamiiWAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais,Muungano na Mazingra Januari Makamba amesema watawasiliana na Wizara ya Elimu,Sayansi na Teknolojia kuangalia namna ya kupandisha...
View ArticleMAHAKAMA KUU YAMTOA LULU GEREZANI, YAMRUDISHA NJE
Na Ripota Wetu, Globu ya jamiiMAHAKAMA Kuu ya Tanzania imetoa amri ya muigizaji Elizabeth Michael maarufu kwa jina la Lulu ambaye alihukumiwa kifungo cha miaka miwili jela sasa atumikie adhabu hiyo kwa...
View ArticleWANANCHI WA KIJIJI CHA MKASALE WILAYANI TUNDURU WAMSHUKURU RAIS.
Wananchi wa kijiji cha MKASALE katika TARAFA YA NAMASAKATA wilayani TUNDURU mkoani RUVUMA wameishuru serikali ya awamu ya tano kwa kuwajengea kituo cha afya ambacho kitaweza kuhudumia wakazi zaidi...
View Articlemabingwa wa Ligi Kuu Tanzaniana Bara 2018 Simba SC watembelea Bungeni Jijini...
Sehemu ya wachezaji wa timu ya Simba Sports Club wakifuatilia mjadala wa kipindi cha maswali na majibu wakati mabingwa hao wa Ligi Kuu Tanzaniana Bara 2018 walipotembelea Bungeni leo Jijini Dodoma kwa...
View ArticleMIAKA 70 YA NAKBA YA WANANCHI WA PALESTINA
Taifa letu la Palestina linaadhimisha kumbukumbu ya miaka 70 ya Nakba (janga), likiendeleza mapambano kabambe ya kurudisha haki zake thabiti za kizalendo, kuondoa athari na matokeo yake ambayo bado...
View ArticleTANZANIA YATINGA FAINALI MASHINDANO YA KOMBE LA DUNIA LA WATOTO
Mashindano ya Kombe la Dunia la Watoto wa kike yameendelea tena leo mjini Moscow nchini Urusi katika uwanja wa klabu ya Lokomotive, ambapo michezo ya nusu fainali ilichezwa wakati Tanzania ikipambana...
View ArticleYALIYOJIRI LEO BUNGENI MJINI DODOMA LEO
Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Najma Giga akiongoza kikao cha ishirini na nane cha mkutano wa 11 leo Jijini Dodoma. Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na...
View ArticleMradi wa Maji Kimbiji na Mpera Kuwanufaisha Wananchi
Frank Mvungi- MAELEZO, DodomaMradi wa maji wa Kimbiji na Mpera kuanza kuwanufaisha Wananchi baada ya kukamilika kwa awamu ya pili ambayo itahusu ujenzi wa miundombinu ya kusambaza maji ambapo utaanza...
View ArticleTanzania Yaanza Maandalizi Ya Kuridhia Mkataba wa Kupambana na Silaha za...
Na Frank Mvungi- MAELEZOSerikali Kuridhia mkataba wa kupambana na silaha za baolojia na sumu mara baada ya taratibu kukamilika kufikia mwezi Septemba 2018 ambapo waraka wa mapendekezo ya kuridhia...
View ArticleTanzania Health Summit yachangia Milion Moja ya UpasuajI wa mtoto
Baadhi ya wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) na wa Tanzania Health Summit wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kukabidhiwa mfano wa hundi ya shilingi milioni moja fedha...
View ArticleHALMASHAURI ZATAKIWA KUJIBU HOJA ZA UKAGUZI KWA WAKATI
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mheshimiwa Selemani Jafo amewaagiza wakurugenzi wote nchini kujibu hoja za wakaguzi kwa wakati ili kupunguza hati Chafu na Mashaka kwa...
View Article
More Pages to Explore .....