Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110186 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kamati ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa yakagua ujenzi wa shule za...

Angela Msimbila, Kagera.Kamati ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa imeipongeza Serikali ya awamu ya tano chini ya Rais Dk. John Pombe Magufuli kwa kazi kubwa na nzuri inayoifanya ya kuzijenga upya...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI KIGWANGALLA AKABIDHI MAGARI KWA HALMASHAURI 6 KUKABILIANA NA UJANGILI

WAZIRI wa Maliasili na Utalii,Dk.Hamisi Kigwangalla amekabidhi magari kwa Halmashauri 6 kwa ajili ya kupambana na vita dhidi ya ujangili.Magari hayo amewakabidhiwa Wabunge leo katika ofisi za Makao...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI KIGWANGALLA AKABIDHI MAGARI KWA HALMASHAURI 6 KUKABILIANA NA UJANGILI

WAZIRI wa Maliasili na Utalii,Dk.Hamisi Kigwangalla amekabidhi magari kwa Halmashauri 6 kwa ajili ya kupambana na vita dhidi ya ujangili. Magari hayo amewakabidhiwa Wabunge leo katika ofisi za Makao...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ujenzi wa jengo la maabara kwa Shule ya Sekondari Bulekela wilayani kishapu...

Na Robert Hokororo, Ofisi ya MkurugenziWanafunzi wa kike wameaswa kutokuwa bidhaa rahisi kwa kuepuka kurubunika na kujiingiza katika mapenzi hali inayoweza kuwasababisha kupata maradhi na mimba kabla...

View Article

BMG MEDIA: Alichobaini RC Mongella baada ya kukagua maghala ya sukari na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RC DKT. KEBWE AZINDUA BODI YA PAROLE YA MKOA WA MOROGORO

Na John Nditi, MorogoroMKUU wa Mkoa Morogoro  Dk  Kebwe Stephen  Kebwe amezindua bodi ya parole na kuvitaka vyombo vinavyoshughulikia HAKIJINAI kuendelea kutoa ushirikiano wa karibu kwa Jeshi la...

View Article

AZAM TV: Alichokisema Haji Manara baada ya Ushindi wa Simba Vs Singida.

View Article

MICHUZI TV LIVE: Tukio la Mtu aliyenasa kwenye Kontena kwa zaidi ya siku nne...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SAFARI YA MWISHO YA ALIYEKUWA MWANDISHI WA HABARI WA GAZETI LA MAJIRA...

 Baadhi ya vijana wa Umoja wa vijana wa Chama cha Mapinduzi(UVCCM)wilaya ya Mbinga wakishusha jeneza lenye mwili wa marehemu Kassian Nyandindi aliyekuwa mwandishi wa Habari  wa Gazeti la Majira na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DED MBINGA ATUMBUA WATUMISHI 10 WA IDARA YA AFYA

Na Mwandishi Wetu MbingaMKURUGENZI Mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma Gombo Samandito,amewasimamisha kazi watumishi kumi wa idara ya Afya akiwemo mganga mkuu wa halmashauri hiyo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

IFM imeaswa kushirikiana na wadau mbalimbali katika kutoa elimu ya bima- Dk....

Na Chalila Kibuda, Globu ya JamiiSERIKALI imekitaka Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) kushirikiana na wadau mbalimbali katika kutoa elimu ya bima ili kuweza kuongeza pato la taifa pamoja na ukuaji wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMPUNI YA HUSEA YAUNGA MKONO KAULI YA RAIS MAGUFULI YA KUHAMISHA SHUGHULI ZA...

KAMPUNI ya Mipango Miji na Vijiji inayotoa ushauri elekezi kuhusu ardhi (HUSEA), imeunga mkono kauli ya Rais Dk. John Magufuli ya kuhamishia shughuli za mipango miji na kuzipeleka wizarani badala ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

LUKUVI ATATUA MGOGORO MKONGWE WA ARDHI SOMJI- BOKO JIJINI DAR

Na Leandra Gabriel, Blogu ya jamiiWAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Willium Lukuvi  ametatua mgogoro mkongwe wa ardhi huko Boko kata ya Dovya maarufu kama kwa Somji  jijini Dar es...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Hakutakuwa na Upungufu wa Sukari- Dkt Tizeba

Serikali imeagiza sukari kiasi cha tani 70,354.35 kutoka nchi za nje lengo likiwa ni kujipanga ili kuhakikisha kuwa hapatokei upungufu wa bidhaa hiyo hapa nchini.Akizungumza na vyombo vya habari hivi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AGAPE YAENDESHA KONGAMANO KWA WANAFUNZI SHULE 8 ZA KATA YA USANDA SHINYANGA

Shirika la Agape AIDS Control Programme (AACP) limeendesha kongamano kwa wanafunzi 120 kutoka shule nane zilizopo katika kata Usanda halmashauri ya wilaya ya Shinyanga (Vijijini) kwa lengo la...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JAFO AFURAHISHWA NA MRADI WA MACHINJIO JIJI LA MWANZA

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI) Selemani Jafo amewapongeza viongozi wa mkoa na jiji la Mwanza kwa kuboresha machinjio ya Kisasa ndani ya jiji hilo. Jafo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MGODI WA MGONGO GOLD MINE WAWAOKOA WANAFUNZI 99 WANAOSOMEA CHINI YA MITI IRAMBA

Na Jumbe Ismailly IRAMBAWANAFUNZI 99 wa darasa la awali katika shule ya msingi Kibululu,kata ya Mgongo,tarafa ya Shelui,wilayani Iramba,Mkoani Singida wanasoma wakiwa wamekaa chini ya miti huku...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KUWAIT NA TAASISI YA WAMA ZATIA SAINI MKATABA WA KUWASAIDIA WALEMAVU

Balozi wa Kuwait nchini Tanzania, Jasem Al-Najem na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA), Mama Salma Kikwete, Jumamosi Mei 12 2018, walitiliana saini mkataba wa ushirikiano kwa ajili...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DC GAIRO AAGIZA WACHIMBAJI MADINI WASIO NA LESENI KUSIMAMISHA UCHIMBAJI MARA...

Mkuu wa Wilaya ya Gairo, Mhe. Siriel Mchembe akiwa na kamati ya Ulinzi na Usalama mara baada ya kutembelea sehemu ya migodi inayochibwa kinyemela na wachimbaji wasiokuwa na leseni. Moja ya mashine...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI KIGWANGALLA AMTEUA MISS JOURNALISM TANZANIA 2018 KUWA BALOZI WA UTALII...

Na Hamza Temba-WMU-DodomaWaziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla amemteua mshindi wa taji la Miss Journalism Tanzania, 2018, Witness Teddy Kavumo (21) kuwa balozi wa utalii wa Pori la...

View Article
Browsing all 110186 articles
Browse latest View live




Latest Images