Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110167 articles
Browse latest View live

INTRODUCING ALI KIBA'S NEW HIT "MVUMO WA RADI"

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAPATO YA UTALII YAONGEZEKA HAPA NCHINI

Na Mahmoud Ahmad DodomaImeelezwa kuwa Ukuaji wa sekta ya utalii hapa nchini, umedhihirika mapato yatokanayo na utalii kuongezaka kutoka Dola bilioni 1.7 mwaka 2012 hadi kufikia Dola bilioni 2.2 mwaka...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JUMIA YATOA SAMSUNG S9 NA S9+ KWA WATEJA WAKE

JUMIA imekabidhi simu mbili za Samsung Galaxy S9 na S9+ kwa wateja wake wawili ambao waliibuka washindi kupitia zoezi la kusaka simu kwenye mtandao wao (Treasure Hunt) kupitia kampeni ya ‘Mobile Week.’...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

COASTAL UNION YAMKABIDHI TUZO YA HESHIMA WAZIRI UMMY WA KUISAIDIA KURUDI LIGI...

Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto Ummy Mwalimu ambaye pia ni Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Tanga (CCM) kushoto akipokea tuzo ya heshima ya kutambua mchango wake kwa kuipandisha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wataalam Wawasilisha Usanifu Wa Awali Wa Kiwanja Cha Ndege Cha Kimataifa Cha...

Wahandisi Kamel Fazhani (kulia) na Marrarchi Walis (kushoto) wa Kampuni ya Studi ya Tunisia wakiwasilisha usanifu wa awali wa Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Msalato Dodoma leo katika ukumbi wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Watanzania Jiungeni Na NHIF Kabla Ya kuugua- Makinda

Na Grace Michael, DodomaWATANZANIA wametakiwa kujenga utamaduni wa kuwa na bima ya afya kabla ya kuugua ili kuepukana na usumbufu wa kutafuta au kutumia gharama kubwa za matibabu wakati wanapopatwa na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

IGP SIRRO AWAPA SOMO WASTAAFU POLISI.

Na. Jeshi la Polisi. Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro amewaasa Makamishna wastaafu wa Polisi kuendelea kukabiliana na uhalifu wawapo uraiani baada ya kustaafu utumishi wa Polisi kwa kuwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Watanzania jiungeni na NHIF kabla ya kuugua - Makinda

Mwenyekiti wa Bodi ya NHIF, Anne Makinda akisalimiana na mmoja wa wananchi waliokuwa katika Hospitali ya Benjamin Mkapa.Na Grace Michael, Dodoma WATANZANIA wametakiwa kujenga utamaduni wa kuwa na bima...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Dkt Kalemani azindua Baraza la Kwanza la Wizara ya Nishati

Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani amezindua Baraza la Kwanza la Wizara ya Nishati na kutoa maagizo mbalimbali kwa Watendaji wa Wizara na Taasisi ili Sekta ya Nishati iendelee kuwa injini katika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAARIFA KWA UMMA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TFF YAWAONDOA WAAMUZI WAWILI ORODHA YA WAAMUZI WA LIGI YA MABINGWA WA MKOA

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania(TFF) limewaondoa Waamuzi wawili kwenye orodha ya Waamuzi wa Ligi ya Mabingwa wa Mikoa(RCL) inayoendelea kwenye vituo vinne vya Geita,Singida,Rukwa na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA KATIBU MKUU SEKRETARIETI YA NCHI ZA...

 Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akisalimiana na mgeni wake Katibu Mkuu wa Sekretarieti ya Nchi za Ukanda wa Maziwa Mkuu Mhe. Onyango kakoba (kulia) alipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATUMISHI WA OFISI WAZIRI MKUU WAPEWA MAFUNZO YA KUZIMA MOTO

Mtumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Ruth Mwasakafyuka akizima moto katika mafunzo ya kuzima moto kwa kutumia kifaa rasmi cha kuzima moto yaliyoendeshwa na Maofisa wa Kikosi cha Zimamoto cha jijini Dodoma...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AKUTANA NA ASKOFU MKUU WA EAGT DKT. MWAKIPESILE

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Askofu Mkuu wa Kanisa la EAGT, Dkt. Brown  Mwakipesile, Ofisini kwa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Mei 12, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

View Article

LIVE: MATOKEO YA UCHAGUZI WA CHAMA CHA MAKATIBU MAHSUSI TANZANIA (TAPSEA)...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BODI YA MIKOPO YAFAFANUA KUHUSU UMILIKI WA LESENI ZA BIASHARA KWA WAZAZI SIO...

Tunapenda kutoa ufafanuzi kuhusu taarifa zisizo za kweli zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuwa waombaji wa mikopo ambao wazazi wao wanamiliki leseni za biashara hawatapata mikopo ya elimu ya juu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Makhtar Diop Takes Up Role as Vice President for Infrastructure

After six years as the World Bank's Vice President for Africa where he oversaw the delivery of a record-breaking $70 billion to Sub-Saharan Africa to help tackle key development challenges, Makhtar...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JAFO AAGIZA UJENZI KITUO CHA AFYA BWANGA UKAMILIKE NDANI YA MWEZI MMOJA

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI)Selemani Jafo ametoa mwezi mmoja kwa Mhandisi wa Ujenzi wa Halmashauri ya Chato mkoani Geita kusimamia ipasavyo na...

View Article

WILAYA YA MADABA YAJA NA MIKAKATI MADHUBUTI YA KUBORESHA KIWANGO CHA ELIMU.

Halimashauri ya wilaya ya MADABA mkoani Ruvuma imeadhimia kuandaa mikakati madhubuti ya kuboresha kiwango cha elimu katika shule za msingi na sekondari ikiwemo kuboresha miundombinu ya elimu pamoja na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wataalam wawasilisha usanifu wa awali wa Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha...

 Wahandisi Kamel Fazhani (kulia) na Marrarchi Walis (kushoto) wa Kampuni ya Studi ya Tunisia wakiwasilisha usanifu wa awali wa Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Msalato Dodoma leo katika ukumbi wa...

View Article
Browsing all 110167 articles
Browse latest View live




Latest Images