Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110181 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CCK WAJADILI HALI YA SIASA NCHINI,WAZUNGUMZIA RUZUKU INAYOTOLEWA KWA VYAMA...

Na Leandra Gabriel, blogu ya jamiiCHAMA Cha Kijamii (CCK) kimekutana na wawakilishi kutoka mikoa 20 nchini kwa mara ya kwanza tangu kilipopata usajili wa kudumu mnamo mwaka 2012.Akizungumza jana jijini...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

BALOZI MASILINGI AMVALISHA CHEO BRIGEDIA JENERALI AP MUTTA MWAMBATA WA JESHI...

Balozi wa Tanzania nchini Marekani na Mexico Mhe. Wilson Masilingi akimpongeza Mwambata wa jeshi wa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani Brigedia Jenerali Adolph Mutta (hayupo pichani) kwenye hafla fupi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UBALOZI WA TANZANIA NCHINI SAUDI ARABIA WAADHIMISHA MIAKA 54 YA MUUNGANO WA...

 Balozi wa Tanzania nchini Saudi Arabia Mhe. Hemedi Mgaza akikata keki ya sherehe ya Muungano na Mgeni Rasmi katika sherehe hiyo Naibu Gavana wa Jiji la Riyadh Dkt. Adel Al Jubail.Ubalozi wa Tanzania...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PROFESA KAMUZORA ATEMBELEA OFISI ZA TNCM DAR ES SALAAM

 Katibu Mtendaji Dr. Rachel Makunde wa Kamati ya Uratibu wa Fedha za Mfuko wa Dunia kwa ajili ya Kudhibiti UKIMWI, Malaria na Kifua Kikuu (TNCM) akimweleza katibu Mkuu Ofisiya waziri Mkuu Prof. Faustin...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAFANYAKAZI OFISI YA WAZIRI MKUU KUENDELEA KUTOA HUDUMA KWA UFANISI KWA...

Katika kusherehekea siku ya Wafanyakazi Duniani, wafanyakazi wa Ofisi ya Waziri Mkuu wameungana na wafanyakazi wote Duniani kwa kujumuika na wafanyakazi wengine wa hapa nchini jijini  Dodoma na kuahidi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS MHE. DKT MAGUFULI AHUTUBIA KATIKA SHEREHE ZA SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI...

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia mamia ya wafanyakazi katika Maadhimisho ya Sherehe ya Mei Mosi Kitaifa zilizofanyika katika uwanja wa Samora...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAFANYAKAZI WA TIB CORPORATE BANK WAUNGANA NA WAFANYAKAZI WENGINE...

 Wafanyakazi wa TIB Corporate Bank katika maadhimisho ya Mei Mosi leo jijini Dar es Salaam wakionesha bango lao lenye ujumbe wa kuhamsisha wananchi juu ya kujiunga na mifuko ya hifadhi ya jamii...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERENGETI BOYS WAREJEA NCHINI KISHUJAA NA KOMBE LA UBINGWA WA CECAFA U 17

 Nahodha wa Timu ya Taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 17 maarufu kama Serengeti Boys Morice Michael akiwa amenyanyua juu kombe la ubingwa wa CECAFA 2018 walilonyakua nchini Burundi baada ya...

View Article


MICHUZI TV: Rais Dkt Magufuli akihutubia Taifa kwenye sherehe za Mei Mosi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAAJIRI ACHENI KUWEKA ZAWADI HEWA KWA WAFANYAKAZI WENU RC DODOMA

MKUU wa mkoa Dodoma,Dk.Binilithi Mahenge amepiga marufuku waajiri wote kutoa ahadi hewa kwa wafanyakazi wanaotangazwa kuwa wafanyakazi bora na badala yake wafanyakazi hao wanatakiwa kupewa zawadi zao...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TASAF YAJIVUNIA MAFANIKIO KATIKA UTEKELEZAJI MIRADI YA KUPAMBANA NA UMASKINI...

NA Estom Sanga - DAR ES SALAAM Mfuko wa Maendeleo ya Jamii-TASAF umefanikiwa kutekeleza miradi 14,051 yenye thamani ya shilingi bilioni 502 Tanzania Bara na Zanzibar tangu kuanzishwa kwake mwaka...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DKT SHEIN AONGOZA KILELE CHA SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI WETE PEMBA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipokea maandamano ya Wafanyakazi wa Serikali na Sekta Binafsi katika sherehe za Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TPA YAPATA TUZO YA OSHA

Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imepata tuzo ya mshindi wa tatu wa masuala ya usalama na afya sehemu ya kazi (OSHA) kwenye maadhimisho ya siku ya usalama na afya mahali pa kazi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TFDA,TAASISI BARANI AFRIKA WAANZISHA MIRADI YA KUFUATILIA UBORA WA DAWA

Na Emmanuel Masaka,Globu ya jamiiMAMLAKA ya Chakula na Dawa Tanzania(T FDA ) kwa kushirikiana na taasisi mbalimbali Afrika wamebuni miradi mikubwa miwiliyenye lengo la boresha,kuhakiki na kufuatilia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

USHAHIDI KESI OFISA TRA ANAYEDAIWA KUMILIKI MAGARI 19 YA THAMANI YA MILIONI...

Na Karama Kenyunko, blogu ya jamiiUSHAHIDI dhidi ya kesi inayomkabili Ofisa Msaidizi wa Forodha wa (TRA), Jennifer Mushi anayedaiwa kumiliki magari 19 yenye thamani ya Sh.milioni 197.6 yasiyolingana na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MBWANA SAMATTA AWAPONGEZA SERENGETI BOYS KWA KUTWAA UBINGWA WA CECAFA, ATOA...

Na Zainab Nyamka, Globu ya jamiiMSHAMBULIAJI wa Kimataifa wa kulipwa wa Tanzania anayekipiga GRC Genk ya nchini Ubelgiji Mbwana Ally Samatta amewapongeza wachezaji wa kikosi cha chini ya miaka 17...

View Article

INTRODUCING Ommy Dimpoz featuring Seyi Shay - Yanje (Official Music Video)

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UBONGO LEARNING YAKABILIANA NA UWEZO WA VIJANA WA KITANZANIA KUPATA AJIRA

Ubongo Learning ambalo ni shirika linaloongoza barani Afrika kwa maudhui ya elimu ya kuburudisha kwa watoto, leo imeandaa mkutano wake wa mwaka ambao ulikuwa na lengo ya kuzungumzia uwezeshwaji...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NI LIVERPOOL AU AS ROMA KUFUZU FAINALI YA LIGI YA MABINGWA BARANI ULAYA...

Na Bakari Madjeshi, Globu ya JamiiMchezo wa Mkondo wa pili wa Ligi ya Mabingwa Barani Ulaya kati ya Liverpool ya Uingereza dhidi ya AS Roma ya Italia unatarajiwa kupigwa leo katika dimba la Uwanja wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Msekwa Apongeza Utendaji wa Rais Magufuli

Jonas Kamaleki-MAELEZO Spika wa Bunge mstaafu, Mhe. Pius Msekwa amesema kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli anafanya kazi vizuri katika kuiletea nchi maendeleo hasa...

View Article
Browsing all 110181 articles
Browse latest View live




Latest Images