Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 109573 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAFANYAKAZI TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI) WASHIRIKI SHEREHE ZA...

Wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakiwa katika maandamano ya maadhimisho ya sherehe ya siku ya wafanyakazi Duniani yaliyofanyika kimkoa jana katika uwanja wa Uhuru mkoani Dar es...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

UBUNGO YAPONGEZWA KWA UTOAJI MIKOPO KWA ASILIMIA 100, YAJIANDAA KUANZISHA...

Emmanuel Masaka,Globu ya jamiiSERIKALI kupitia  Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(Tamisemi) Joseph Kakunda ameipongeza Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo jijini Dar es...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HAFTRADE YAUNGA MKONO ELIMU BURE KWA KUJENGA MADARASA MAWILI HANDENI MJINI

TAASISI isiyo ya kiserikali ya Haftrade Iliyopo Handeni Mjini mkoani Tanga imeamua kujenga madarasa mawili katika wilaya hiyo ili kuungana na Serikali katika mpango wa elimu bure. Akizungumza katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAKULIMA ZAO LA KARAFUU WILAYA YA MKINGA WAISHAURI SERIKALI KUWATAFUTIA...

Na David John, TangaWAKULIMA wa zao la Karafuu wilayani Mkinga mkoani Tanga wameishauri Serikali kusimamia zao hilo kama wanavyofanya katika mazao ikiwa pamoja na kupata soko la uhakika huku pia...

View Article

SERIKALI YAANDAA KITINI CHA MASUALA YA JINSIA KUENDELEZA KASI YA UTEKELEZAJI...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DKT. MAGUFULI AFANYA ZIARA KATIKA WILAYA YA KILOLO MKOANI IRINGA

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wanafunzi wa shule ya Sekondari ya Luhota pamoja na wanafunzi wa Shule ya Msingi  Kalambo zilizopo Iringa vijijini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Timu ya Ngobanya yaibuka mshindi wa May Day Tornament

Na Chalila Kibuda, Globu JamiiTIMU ya Ngobanya imeibuka mshindi kati fainali ya May Day Tornament baada ya kuibamiza timu ya Lake Cement kwa bao 2 kwa moja katika mchezo uliochezwa katika uwanja wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAJI YANAYOTIRIRIKA MITAANI KUTOKA VIWANDANI YAPIMWE KEMIKALI.

NA WAMJW-DAR ES SALAAM. SERIKALI kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imeitaka  Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali kuchukua hatua ya kupima maji yanayotiririka...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAJASIRIAMALI WANAWAKE 200 MKOANI KIGOMA WAPATIWA MAFUNZO KUWAIMARISHA KIUCHUMI

Na Rhoda Ezekiel, Kigoma WANAWAKE 200 ambao ni wajasiriamali mkoani Kigoma wanataraja kupata mafunzo yatakayosaidia kuwaimarisha kiuchumi na lengo ni kuhakikisha wanapata maendeleo katika mkoa huo na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wito kwa jamii kuondokana na mila potofu,Jamii yaaswa kupeana elimu

Kuwepo kwa mila potofu katika jamii ya watanzania ni moja na ya jambo ambalo limekuwa ni kikwazo katika juhudi mbalimbali zinazofanywa na serikali pamoja na taasisi mbalimbali za kijamii katika...

View Article

Serikali Kupeleka Umeme Vijiji Vyote Ifikapo Juni 2021

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

STANBIC FC YAISULUBU TRAVEL PARTNER FC WAKISHEREKEA SHEREHE ZA MEI MOSI

Na Leandra Gabriel, Blogu ya jamiiKATIKA Maadhimisho ya siku ya wafanyakazi duniani (Mei Mosi) benki ya Stanbic sambamba na wadau wao wakubwa Travel Partner wamesherekea kwa kucheza kandanda katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NGORONGORO HEROES KUVAANA NA MALI MEI 12 MWAKA HUU

Na Zainab Nyamka, Globu ya JamiiTIMU ya Taifa ya chini ya miaka 20 Ngorongoro Heroes inashuka dimbani  Mei 12 mwaka huu kuvaana na kikosi cha Timu ya Mali utakaofanyika Uwanja wa Taifa jijini Dar es...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DKT.MAGUFULI KUWA MGENI RASMI TUZO ZA CTI MEI 4

Na Leandra Gabriel, Mafoto Blog, DarRAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani Dkt John Pombe Magufuli anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika tuzo za Rais za Mzalishaji bora wa Viwandani (PMAYA) za mwaka 2017...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

STARTIMES KUONESHA,KUTANGAZA KOMBE LA DUNIA KWA KISWAHILI

*Kutumia lugha ya Kiswahili katika kuutangazaNa Ripota Wetu, Globu ya jamiiKAMPUNI ya Star Media (T) Ltd yenye chapa ya StarTimes imetangaza rasmi kurusha matangazo ya Kombe la Dunia Urusi mwaka 2018...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DKT. MWIGULU, WATENDAJI WAKUU WA WIZARA YAKE, WAFANYA KIKAO CHA MAANDALIZI YA...

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk. Mwigulu Nchemba akitoa Maelekezo kwa Watendaji Wakuu wa Wizara yake wakati wa Kikao cha Mapitio ya Bajeti ya Wizara hiyo, ikiwa ni sehemu ya maandalizi kabla ya...

View Article

AUNT EZEKIEL KUZINDUA FILAMU YA MAMA MEI 13 MLIMANI CITY

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DR SHEIN AONGOZA MKUTANO WA MABALOZI WILAYA MKOANI PEMBA

  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein alipokuwa akitia sani kitabu cha wageni alipofika katika ukumbi wa Skuli ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DAWASCO KUANZA KUTUMIA MFUMO WA KIELETRONIKI WA MALIPO SERIKALINI

Na Emanuel Masaka, Glogu ya JamiiSHIRIKA la Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (DAWASCO), limesema linatarajia kuokoa takriban Sh.milioni 200 kila mwezi, kutokana na kuanza kutumia mfumo mpya wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO , DK PHILIP MPANGO AFUNGUA MKUTANO WA KIUCHUMI...

 Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango, akizungumza wakati wa kufungua Mkutano wa Uchumi ulioandaliwa na Taasisi ya Utafiti wa Sera za Kiuchumi na Kijamii(ESRF) wakishirikiana na Ubalozi wa...

View Article
Browsing all 109573 articles
Browse latest View live




Latest Images