YANGA KUWAFUATA WAARABU MEI 03, YAJIPANGA KWA USHINDI
Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.WAWAKILISHI wa Tanzania katika michuano ya kimataifa Yanga wanatarajiwa kuondoka nchini Mei 03 kwa ajili ya mchezo wao wa kwanza wa kombe la Shirikisho Barani Afrika...
View ArticleYALIYOJIRI LEO BUNGENI MJINI DODOMA
Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Prof. Joyce Ndalichako akiwasilisha hotuba ya makadirio ya mapato na matumizi ya Fedha kwa Wizara hiyo kwa mwaka 2018/19 Bungeni mjini Dodoma mapema leo. Naibu...
View ArticleWAZIRI WA MADINI AAGIZA RIPOTI YA TEITI IPELEKWE KWA CAG KWA AJILI YA UCHUNGUZI
*Ni baada ya kubainika kwa tofauti ya zaidi ya Shilingi bilioni 30 ambayo ni pungufu ya fedha ambayo Serikali imekiri kupokea.Na Said Mwishehe,Globu ya jamiiWAZIRI wa Madini Angella Kairuki amezindua...
View ArticleUSHINDI DHIDI YA YANGA, MANARA AWASHUKURU MASHABIKI
Assalaam Aleikum.Salaam zangu za Mei MosiKwanza sote tumshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa rehma anaendelea kutupa uhai na uzima hadi siku ya leo.Hakika pumzi hii ndio inatufanya tufurahi na kuhuzunika...
View ArticleNAIBU WAZIRI NDUGULILE AZINDUA BODI MPYA YA USHAURI WA HOSPITALI ZA WATU BINAFSI
Naibu Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Dkt. Faustine Ndugulile akizindua Mwongozo wa viwango vya Msingi kwa vituo vya kutolea huduma za Afya katika ukumbi wa LAPF leo...
View ArticleIGP SIRRO AFANYA UKAGUZI WILAYANI MUFINDI
Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro, akiwa ameongozana na Mkuu wa Wilaya ya Mufindi, mhe. Jamhuri William (kushoto) wakati alipofanya ziara ya kikazi na kuzungumza na maofisa na askari wa Jeshi...
View ArticleUBALOZI WA TANZANIA NCHINI INDIA ULIVYADHIMISHA SIKU YA MUUNGANO
Mhe. Baraka Luvanda (kulia), Balozi wa Tanzania nchini India akimpokea Mhe. Shri Vijay Goel, Waziri wa Nchi, Masuala ya Bunge na Takwimu wa India katika hafla ya kuadhimisha Siku ya Taifa ya Tanzania...
View ArticleDK. KIGWANGALLA ATOA OFA YA MAPUMZIKO YA FUNGATE YA ALI KIBA KATIKA HIFADHI...
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla ametoa ofa maalum kwa Mwanamuziki, Ally Kiba, mke wake na wasaidizi wake ambao ni mdogo wake Abdu Kiba na mkewe kupumzika katika Hifadhi ya Taifa...
View ArticleTANZANIA KUFAIDIKA NA MRADI MAENDELEO YA KIJAMII KUTOKA KOREA KUSINI
Na Mwandishi Wetu- DodomaSerikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inategemea kunufaika na mradi maalum kutoka Shirika la ‘International Youth Fellowship’ lenye makazi yake nchini Korea ya Kusini...
View ArticleAZAKI TANO ZA KIRAIA WAPONGEZA RIPOTI YA NANE YA TEITI, WASHAURI FEDHA ZA...
Na Said Mwishehe, Blog ya jamiiAZAKI tano kwenye Kamati ya Taasisi ya Uhamasishaji, Uwazi na uwajibikaji katika rasilimali za madini, mafuta na gesi asilia nchini Tanzania(TEITI) zimpongeza Ripoti ya...
View ArticleBenki ya Exim yaendelea kushika nafasi ya tano
Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Exim Bank Tanzania, Selemani Ponda akizungumza na waandishi wa habari jana kuhusu matokeo ya benki ya mwaka 2017. Kushoto kwake ni Kaimu Afisa wa operation David Lusala na...
View ArticleBring a friend to DICOTA convention
DICOTA understands the importance of friendship for attendees participating in it's convention. Because of that, this year DICOTA offers discounted convention rates, so that everyone can bring a friend...
View ArticleSPIKA NDUGAI ATEMBELEA KIWANDA CHA ASASI KILICHOPO MKOANI IRINGA
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Job Ndugai akiendelea na ziara yake kiwandani hapo.Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Job Ndugai akimsikiliza Bw. Fuad Abri...
View ArticleESRF, Ubalozi wa Sweden na UDSM waandaa Mdahalo wa Uchumi Jumuishi
TANZANIA itahitaji kutengeneza mkakati mpya wa maendeleo na kuachana na falsafa za zamani kama itataka kufikia ustawi na kuwa nchi yenye kipato cha Kati.Mkakati huo katika; masoko, rasilimali na...
View ArticlePAMOJA NA MVUA KUBWA KUNYESHA WANANCHI WAENDELEA KUJITOKEZA KUSAJILIWA...
Usajili wa Vitambulisho vya Taifa mkoani Morogoro umeendelea kwa wananchi kujitokeza kwa wingi kusajili pamoja na changamoto kubwa ya mvua ambayo imeharibu miundombinu na kufanya baadhi ya maeneo...
View ArticleFAO NA USAID TANZANIA WAIPIGA TAFU SERIKALI KUKINGA KICHAA CHA MBWA
Naibu Waziri Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega (wa tatu kushoto) akizungumza jambo na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Chakula na Kilimo Duniani (FAO) Fred Kafeero (katikati) na Mwakilishi Shirika la...
View ArticleWANANCHI WAHAMASISHWA KUWAPELEKA WATOTO WAO KUPATIWA CHANJO YA SARATANI YA...
Na Rhoda Ezekiel Kigoma.SERIKALI mkoani Kigoma imewataka viongozi mbalimbali kuwa mfano katika zoezi la kuhamasisha wananchi kuleta watoto wao wenye umri chini ya miaka 14 kwenye chanjo ya saratani ya...
View ArticleMahusiano mazuri kati ya mwajiri na mfanyakazi kunaleta tija –Mwalwis
Na Chalila Kibuda, Globu ya JamiiMahusiano mazuri kati ya wafanyakazi na waajiri ndio kunafanya kazi kufanyika na nchi kuweza kukua kiuchumi kutokana na uzalishaji unaofanyika.Hayo aliyasema Mkurugenzi...
View Article
More Pages to Explore .....