Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110186 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TPDC YAWEZESHA KUWASHWA MITAMBO YA KINYEREZI II JIJINI DAR

Na Mwandishi Wetu.Mwaka 2004 utaendelea kubaki katika kumbukumbu za nchi yetu kama mwaka wa mageuzi katika sekta ya nishati ambapo kwa mara ya kwanza Tanzania ilianza kuzalisha umeme kwa kutumia gesi...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMATI ZA WATU WENYE ULEMAVU ZA MKOA KUTAMBULIKA KISHERIA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali itaendelea kuboresha huduma kwa watu wenye ulemavu kwa kuzingatia sheria zilizopo ikiwa ni pamoja na kusimamia uundwaji wa kamati zinazoshughulikia masuala...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS AENDELEA NA ZIARA MKOA WA MJINI MAGHARIBI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipata maelezo ya namba umeme wa majumbani na viwandani unavyofanya kazi kutoka kwa mkufunzi wa umeme wa Chuo cha Mwenge...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ALICHOKISEMA DKT. ABBASI KWA WAANDISHI WA HABARI CHIPUKIZI WALIONELEWA NA TMF

Na Jacquiline Mrisho – MAELEZO.Waandishi wa Habari nchini wametakiwa kufanya utafiti wa taarifa wanazozitengeneza kabla hawajazitoa kwa jamii kupitia vyombo vya habari.Mkurugenzi wa Idara ya...

View Article

KIPINDI CHA BBC DIRA YA DUNIA

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI KUIMARISHA MASOKO YA MAZAO MAKUU MATANO

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali itaendelea kuimarisha vyama vya msingi vya ushirika vya mazao ya kilimo na masoko vinavyozalisha mazao ya kimkakati ya biashara ya pamba, kahawa, korosho,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PROF KABUDI ATAJA HATUA INAZOCHUKUA SERIKALI KUFIKIA UCHUMI WA VIWANDA

Na Said Mwishehe,Globu ya jamiiWAZIRI wa Katiba na Sheria, Profesa Palamagamba Kabudi amesisitiza  Serikali ya Awamu ya Tano inaendelea na hatua  za kuhakikisha kunakuwepo mazingira wezeshaji...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIWANDA CHA KUSINDIKA TUMBAKU SONAMCU KUFUFULIWA MKOANI RUVUMA

Kiwanda cha kusindika Tumbaku cha Songea Namtumbo ( SONAMCU) kilichopo Songea Mjini mkoani Ruvuma kinatarajia kuanza kufanyakazi ya ya kusindika tumbaku katika msimu wa 2018- 2019 mara tu baada...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NEWZ ALERT.....: Watu zaidi ya 20 wadaiwa kupoteza maisha ajali ya basi Igunga

Zaidi ya watu 20 wanadaiwa kufariki dunia na wengine kadhaa kujeruhiwa kufuatia ajari ya basi la kampuni ya City bus lililogana uso kwa uso na fuso katika kijiji cha makomelo wilayani Nzega mkoani...

View Article


TAZAMA UJENZI ULIPOFIKIA WA JENGO LA ABIRIA TERMINAL 3 - JULIUS NYERERE...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Gawio la Airtel Money kwa wateja lafikia bilioni 14.8,

Airtel Tanzania imetoa gawio linalofikia shilingi bilioni 14.8 hadi sasa kwa wateja wake na mawakala nchi nzima ikiwa ni sehemu ya faida waliyoipata tangu mwaka 2015. Hili limebainishwa na Mkurugenzi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mwalimu Rufiji ashinda pasaka mzuka jackpot ya milioni 260.

Tatu Mzuka, mchezo wa namba unaoongoza nchini leo umetangaza na kumtambulisha kwa wana habari mtanzania aliyebahatika kushinda milioni 260 kwenye Pasaka Mzuka Jackpot ambayo ilionyeshwa mubashara...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MSHTAKIWA MWINGINE KUONGEZWA KESI YA AVEVA NA KABURU, KUSOMEWA MAELEZO YA...

Baada ya kulazwa kwa muda mrefu hatimae leo Rais wa Klabu ya Simba, Evans Aveva amefika mahakamani kuhudhuria kesi yake ya utakatishaji wa fedha inayomkabili yeye pamoja na makamu wake Godfrey Nyange '...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HUDUMA YA UOKOAJI KUTUMIA HELIKOPTA YAANZISHWA MLIMA KILIMANJARO.

Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini .KAMPUNI ya Kilimanjaro SAR ya mkoani Kilimanjaro imeanza rasmi shughuli za utafutaji na uokoaji kwa wapandaji wa Milima miwili ya Kilimanjaro na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Magufuli atuma salamu za rambirambi kufuatia vifo vya watu 12 katika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DC RUANGWA AWATAKA WAKURUGENZI KUSIMAMIA MATUMIZI YA FEDHA ZA MISITU

Mkuu wa Wilaya ya Ruangwa,Joseph Mkirikiti, amewataka Wakurugenzi Watendaji wa Halmashauri za Mkoa wa Lindi kusimamia na kuhakikisha Maafisa Misitu wanaandaa mpango kazi na kuwasilisha taarifa ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TUTASALIA LIGI KUU MSIMU UJAO - KOCHA NJOMBE MJI

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.Kocha Msaidizi wa kikosi cha Njombe Mji Mrange Kabange amesema kuwa bado wana nafasi ya kuendelea kusalia ligi kuu hata baada ya kupoteza mchezo wao dhidi ya Simba hapo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MBUNGE CHADEMA AFIKISHWA MAHAKAMA YA KISUTU LEO

Mbunge wa Tarime Vijijini, kupitia tiketi ya Chama cha Maendeleo Chadema, amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu mkazi kisutu kujibu mashtaka ya kufanyaka mkusanyiko/maandamano yasiyo halali yenye...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Magufuli kuzindua Nyumba za Polisi Arusha ,April 7

Na.Vero Ignatus ,Arusha. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pohn Magufuli anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa nyumba za polisi na vituo vya polisi Jijini Arusha. Akizungumza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DICKSON JOB ASAINI MKATABA MPYA MTIBWA SUGER

Na Zaynab Nyamka, Globu ya Jamii.Beki wa timu ya taifa ya vijana  chini ya miaka 20 na timu ya Mtibwa Sugar, Dickson Job amesaini mkataba mpya wa miaka mitatu wa kuendelea kuitumikia timu hiyo ya Ligi...

View Article
Browsing all 110186 articles
Browse latest View live




Latest Images