WANAFUNZI VYUO VIKUU WASHAURIWA KUTUMIA VYEMA MAWAZO YAO
Na Leandra Gabriel, Globu ya jamiiBENKI ya dunia kupitia mradi wake wa kuinua uchumi wa nchi mbalimbali Afrika April 4 umewatangaza washindi wake katika shindano la Blog4Dev2017 lililofanyika mwaka...
View ArticleAIRTEL MONEY YAGAWA BILIONI 14 KWA WATEJA WAKE HADI SASA, YATANGAZA GAWIO JIPWA
Meneja Uhusiano wa Airtel Tanzania, Jackson Mmbando, akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana kuhusu gawiwo la bilioni 1.8 la robo ya mwaka kwa wateja wa Airtel Money. katikati ni...
View ArticleSerikali ya Mapinduzi Zanzibar yazindua ugawaji endelevu vyandarua vyenye...
Waziri wa Afya wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mhe Hamad Rashid leo amezindua ugawaji endelevu wa vyandarua vyenye dawa ya muda mrefu kwa jamii hapa Zanzibar. ‘Leo kwa niaba ya Serikali ya Mapinduzi...
View ArticleALIYEKUWA RAIS BRAZIL JELA MIAKA 12
Na Leandra Gabriel, Globu ya jamiiALIYEKUWA Rais wa Brazil Luiz Inancio Lula da Silva maarufu kama Lula ametakiwa kuanza kutumikia kifungo chake cha miaka 12 gerezani kwa tuhuma za rushwa ya Euro...
View ArticleRC SHINYANGA AWATAHADHALISHA WAHARIBIFU WA MISITU
Na Lusungu Helela-ShinyangaMkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Zainab Telak amewatahadhalisha wananchi kuwa yeyote atakayeharibu misitu kwa kukata au kuingiza mifugo kwenye misitu atachukuliwa hatua za...
View ArticleURAFIKI WA TANZANIA,CHINA NI WA DAMU,LAZIMA UDUMISHWE NA KULINDWA-BALOZI MAHIGA
*Balozi wa Wang Ke aongoza Jumuiya ya marafiki wa China ,Tanzania kuwakumbuka waliopoteza maisha wakati wa ujenzi wa reli ya TazaraNa Said Mwishehe,Globu ya jamii SERIKALI ya Tanzania imeungana na...
View ArticleMAKAMU WA RAIS AKUTANA NA MJASILIAMALI ANAEUZA KAZI YA SANAA ZA MIKONO
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimasikiliza mjasiriamali Robinson Mungule anayeuza kazi za sanaa ya mikono katika ufukwe za Nungwi mkoa wa Kaskazini...
View ArticleTimu 28 kushiriki Ligi ya Mabingwa wa Mikoa (RCL) msimu wa 2017/18
Timu 28 zinatarajia kushiriki Ligi ya Mabingwa wa Mikoa (RCL) msimu wa 2017/18 inayotarajia kuanza Mei 1,2018 mpaka Mei 16,2018 kwenye vituo vinne. Vituo vitakavyotumika ni Geita, Singida, Rukwa na...
View ArticleWAANDISHI WA HABARI WAPATIWA ELIMU JUU YA SARATANI YA MLANGO WA KIZAZI
Mkuu wa Chanjo ya Saratani ya mlango wa kizazi, Yussuf Haji Makame akitoa elimu kwa waandishi wa habari ( hawapo pichani) namna saratani hiyo inavyoathiri katika ukumbi wa hospitali ya Kidongo...
View ArticleMAHAKAMA YAINGIA MKATABA POSTA MLANGONI NA SHIRIKA LA POSTA TANZANIA
Kaimu Postamasta Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), Hassan Mwang'ombe, akizungumza wakati wa hafla ya kusaini mkataba kati ya Posta na Mahakama ya Tanzania wa huduma ya Posta Mlangoni inayotolewa...
View ArticleWAZAZI CCM PWANI WATOA DAMU,WACHANGIA UJENZI SHULE YA MSINGI AMANI
Na Elisa Shunda, BagamoyoJUMUIYA ya Wazazi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Pwani imeadhimisha siku ya wazazi kwa mkoa huo kwa kuchangia kutoa damu chupa 120 na kutoa mifuko 50 ya simenti,mabati...
View ArticleMashindano ya mchezo wa kujihami kufanyika Tanzania Mei
TANZANIA imechaguliwa kuwa mwenyeji wa mashindano ya mchezo wa kujihami Tae kwo-ndo kwa nchi za Afrika Mashariki yanayofanyika Mei mwaka huu.Rais wa Tae kwo-ndo kwa nchi za Afrika Mashariki, Kennedy...
View ArticleMATUKIO KATIKA PICHA KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA LEO
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge,Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama (kushoto) na Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah...
View ArticleFEDHA ZA UPANUZI WA VITUO VYA AFYA ZIFANYE ZAIDI YA KAZI ILIYOTARAJIWA - RC...
Mkuu wa Mkoa wa Songwe Chiku Gallawa akizungumza na mafundi wanaojenga katika kituo cha Afya Isansa Wilaya ya Mbozi, kituo hicho cha Afya kimepokea shilingi milioni 500 kwa ajili ya upanuzi wa kituo...
View ArticleMKUTANO WA WADAU KATI YA SERIKALI, WAAJIRI, PAMOJA NA SEKTA BINAFSI KUHUSU...
Ofisi ya Waziri Mkuu, kwa kushirikiana na Chama cha Waajiri Tanzania (ATE) pamoja na Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF), wanautaarifu Umma kuwa wameandaa Mkutano wa Wadau utakaojadili na kupokea...
View ArticleTFDA YAWAPA WADAU MIONGOZO YA USAJILI WA VIWANDA
Na Chalila Kibuda, Globu ya JamiiMamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) imekutana na wadau wenye nia ya kuwekeza katika viwanda vya dawa kwa ajili ya kupata miongozo ya kufanya kiwanda kiweze kujengwa na...
View ArticleMAANDALIZI YA UZINDUZI WA UKUTA MIGODI YA TANZANITE MERERANI YAKAMILIKA
Waziri wa Madini Mhe. Anjellah Kairuki akifurahia jambo na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Jenerali Venance Mabeyo kabla ya kikao cha majumuisho kuhusu maandalizi ya uzinduzi wa ukuta kuzunguka...
View ArticleRAIS DK. SHEIN AZINDUA KONGAMANO LA KUMBUKUMBU YA RAIS WA KWANZA WA ZANZIBAR
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza jambo wakati akizindua kongamano la Maadhimisho ya Kumbukumbu ya Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa...
View Article
More Pages to Explore .....