Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110173 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BAADA YA TAMASHA LA PASAKA KURINDIMA JIJINI MWANZA,SIMIYU SASA ZAMU YA WAKAZI...

Mkuu wa mkoa wa Simiyu Mh. Anthony Mtaka akizungumza na Wakazi wa Bariadi waliojitokeza kwenye tamasha la Pasaka lililofanyika mwishoni mwa wiki kwenye uwanja wa Halmashauri Mjini Bariadi mkoani...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

KITUO CHA DALADALA JAMATINI KUENDELEA KUTUMIKA, MABASI YA MIKOANI YAONYWA

Na Ramadhani Juma,Ofisi ya MkurugenziMKUU wa Mkoa wa Dodoma Dkt. Binilith Mahenge ameelekeza matumizi ya kilichokuwa kituo Kikuu cha Mabasi madogo maarufu kama Daladala cha Jamatini Mjini Dodoma kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mkataba wa Mabadiliko ya Tabianchi Kupunguza Majanga Yatokanayo na Athari za...

Na: Lilian Lundo - MAELEZO, DodomaMakubaliano ya Paris chini ya mkataba wa Umoja wa Mataifa kuhusu mkataba wa mabadiliko ya Tabianchi utainufaisha nchi kwa kuimarika kwa Mipango ya Taifa ya kuhimili...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ujenzi wa Vivuko Barabara ya Lamelock - Loltepes - Sunya wapigwa "Stop"

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Selemani Jafo (Kushoto) akikagua ujenzi wa Vivuko katika barabara ya Namelock-Loltepes- Sunya yenye urefu wa Km 88 iliyopo katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAKUU WA IDARA NA VITENGO WASHIRIKI UJENZI UWANJA WA MPIRA RUANGWA

 Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa Andrea Chezue, ameitaka Menejimeti ya Halmashauri hiyo kutoa ushirikiano wa kusimamia ujengaji wa ujenzi wa uwanja wa kisasa wa mpira. Chezue...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JIMBO LA MUSOMA VIJIJINI - WASOMI, WAZAWA NA WAPENDA MAENDELEO WAUNGANA...

Na Verdiana Mgoma, Msaidizi wa MbungeWASOMI na wananchi wapenda maendeleo waishio nje na ndani ya Kijiji cha Butata wameungana pamoja ili kufanikisha ujenzi wa zahanati katika kijiji chao ili kuondoa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAJASIRIAMALI VIJANA KUWEZESHWA KUPITIA SHINDANO

Na Leandra Gabriel, Globu ya jamiiShirika la Tujenge Tz Innovation limeanzisha mradi kupitia shindano Ubunifu la Tujenge TZ lenye lengo la kuchochea uwezo wa vijana katika kubuni na kuboresha mfumo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHAMA CHA WANASHERIA WANAWAKE TAWLA CHAKUTANA NA WADAU KUJADILI MABORESHO YA...

Kikosi cha Usalama barabarani kimesema sheria zilizopitwa na wakati zimetajwa kuwa chanzo cha ajari za barabarani nchini hivyo zinatakiwa zifanyiwe marekebisho.Mkuu wa Usalama barabarani Kanda Maalum...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UJIO WA NDEGE ZA SERIKALI KUONGEZA MAPATO,HUDUMA ZA USAFIRI WA ANGA

Na Chalila Kibuda,Globu ya JamiiUjio wa ndege za serikali kutaongeza huduma ya usafiri wa anga,mapato ya serikali pamoja na wananchi kuona huduma ya usafiri wa anga sio anasa kama ilivyokuwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU AWASILISHA BAJETI YA OFISI YA WAZIRI MKUU

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akielekea kwenye eneo la kuwasilisha hotuba  kuhusu mapitio na mwelekeo wa kazi za serikali na makadirio ya mapato na matumizi ya  fedha  za Ofisi ya Waziri Mkuu na Ofisi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mkutano wa Wadau wenye nia ya Kuwekeza Viwanda vya Dawa na Vifaa Tiba...

 Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu akifafanua jambo kwa wadau wa mkutano wa wawekezaji wenye nia ya kuanzisha viwanda vya dawa na vifaa tiba nchini (hawapo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI KUTOSITISHA MKATABA WA KAMPUNI YA CHAI MARUKU

Serikali imesema kuwa haitasitisha mkataba na Mwekezaji wa Kampuni ya Chai Maruku, iliyoko mkoani Kagera, kwa sababu mgogoro wa malipo uliopo baina ya  kampuni hiyo na wakulima pamoja na wafanyakazi...

View Article

VIDEO: UZINDUZI WA SHINDANO LA CLUB RAHA LEO SHOW 2018 ULIVYOFANA JIJINI DAR...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mwarobaini Utoaji Huduma za Afya Wapatikana

 Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa wa Mbeya, Constatine Mushi akizungumza wakati wa uzinduzi wa mafunzo ya siku tano kuhusu Mifumo iliyoborehswa ya Bima ya Afya ya Pamoja (CHF), Ugatuaji wa Fedha na Mipango...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAUGUZI,WAKUNGA WATAKIWA KUZINGATIA MAADILI SEHEMU ZAO ZA KAZI.

 NA WAMJW-DODOMA. Serikali imewataka Wauguzi na Wakunga nchini kufuata na kusimamia misingi ya maadili ya taaluma zao wakati wa kutoa huduma.Hayo yamesemwa leo mjini Dodoma na Naibu Waziri wa Afya,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ecobank mobile app reaches 4 million users milestone

Ecobank Group CEO, Ade AyeyemiThe upgraded version of Ecobank’s revolutionary mobile app has attracted 3 million new customers in just 6 months, taking the total number of users to 4 million.The app...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DK.SHEIN ATEMBELEA MPIGADURI NA MARUHUBI

 Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Usafirishaji , Mustafa Aboud Jumbe (Mwenye kipaza sauti) akitoa maelezo kwa  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk.Ali Mohamed Shein...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KATIBU MKUU WIZARA YA ARDHI AWAPA SOMO WATUMISHI WAPYA

Na. Hassan Mabuye, Wizara ya Ardhi.Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Bibi. Doroth Mwanyika amewaasa maafisa wapya  walioajiriwa katika Wizara yake kuzingatia maadili ya...

View Article

HOTUBA YA WAZIRI MKUU KUHUSU MAPITIO NA MWELEKEO WA KAZI ZA SERIKALI NA...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAJASIRIAMALI WA MKOA WA KASKAZINI PEMBA YAWAPATIA ELIMU YA KUTENGENEZA...

 Mwakilishi wa Jimbo la Gando, Maryam Thani Juma akifungua mafunzo ya siku tatu kwa wajasiriamali wa Mkoa wa Kaskazini Pemba yaliyoandaliwa na Jumuiya Maendeleo ya Elimu Zanzibae (ZEDO) yaliyofanyika...

View Article
Browsing all 110173 articles
Browse latest View live




Latest Images