Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110170 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DAWASCO YAWAOMBA WALIOUNGANISHIWA MAJI MRADI WA WACHINA KUJISAJILI BURE

Na Leandra Gabriel, Globu ya jamiiMENEJA wa Shirika la Maji Safi na Maji Taka Dar es Salaam(DAWASCO)Ubungo Mhandisi Paschal Fumbuka amewaomba wakazi waliounganishiwa maji kupitia mradi wa Wachina...

View Article



MICHUZI TV: VIGOGO CHADEMA WAACHIWA KWA DHAMANA...

View Article

MBOWE, VIGOGO WENZAKE CHADEMA WATOKA MAHABUSU KWA DHAMANA

Na Bakari Majeshi, Globu ya jamiiHATIMAYE baada ya kukaa mahabusu kwa siku saba na kusherehekea sikuu ya Pasaka wakiwa gerezani,Mwenyekiti wa Chadema Taifa Freeman Mbowe pamoja na vigogo wengine sita...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DIAMOND AKANG'ATA MENO MBELE YA HAMISA MOBETO

Na Ripota Wetu, Globu ya jamiiMWANANA Hamisa Mobeto ameibua gumzo wakati wa utoaji wa tuzo za Sinema Zetu baada ya kuamua kumtaja msanii maarufu Nassib Abdul a.k.a Diamond Platnumz ndio amemvutia zaidi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WINNIE MANDELA AFARIKI DUNIA

Winnie Mandela, mke wa zamani wa Nelson Mandela, ambaye pia alipigana dhidi ya utawala wa ubaguzi wa rangi Afrika Kusini amefariki dunia akiwa na miaka 81.Habari za kifo chake zimethibitishwa na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DK.SHEIN AZUNGUMZA NA UJUMBE WA CHUO CHA KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na Mwenyekiti wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Prof Mark J.Mwandosya wakati alipofika Ikulu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Magufuli amteua Dkt. Fidelice Mbaruku Simbagungile Mafumiko kuwa Mkemia...

Rais Magufuli amemteua Dkt. Fidelice Mbaruku Simbagungile Mafumiko (pichani) kuwa Mkemia Mkuu wa Serikali

View Article

KIPINDI CHA BBC DIRA YA DUNIA

View Article


ALICHOKISEMA RAIS MAGUFULI UZINDUZI MRADI UZALISHAJI UMEME WA GESI ASILIA...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Watanzania waaswa kuchangamkia makazi nchini Oman

Meneja Mauzo Mwandamizi wa Kampuni ya Ujenzi wa Makazi ya Muriya, Ghizlane El Gouchi (wa pili kushoto) akiwaonyesha wageni waliohudhuria hafla ya kuitambulisha kampuni hiyo kuelekea maonyesho ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU MAJALIWA AKUTANA NA RAIS WA KAMPUNI YA STAR TIMES BUNGENI MJINI...

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Rais wa Makampuni ya Star Times Group, Bw. Pang Xin Xing kabla ya mazungumzo yao, bungeni mjini Dodoma Aprili 3, 2018. Kulia ni Waziri wa Habari,Utamaduni,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KUELEKEA MTIHANI WA TAIFA MEI 2018 WANAFUNZI 1003 KIDATO CHA SITA SIMIYU...

Na Stella Kalinga, Simiyu Takribani wanafunzi 1003 wa Kidato cha sita kutoka shule za Sekondri 11 zenye kidato cha tano na sita Mkoani Simiyu, wamepiga kambi katika Shule ya Sekondari ya Wasichana...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BIL.39 KULIPWA FIDIA WANANCHI KATIKA MRADI MWINGINE MKUBWA WA UMEME-MGALU

Na Mwamvua Mwinyi,PwaniSERIKALI imetenga kiasi cha sh.bilioni 39 kwa ajili ya kulipa fidia kwa wananchi ambao maeneo yao yatapitiwa na mradi wa umeme mkubwa unaotarajiwa kupitishwa kwenye maeneo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DKT SHEIN AKUTANA NA UONGOZI WA JUU WA CHUO CHA KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi , Dk. Ali Mohemed Shein, akizungumza na uongozi wa juu wa Chuo Cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere ulioongozwa na Mwenyekiti wa bodi hiyo, Prof Mark...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAMA SAMIA MGENI RASMI WARSHA YA MWAKA YA REPOA

 Mkurugenzi Mkuu wa REPOA, Dr Donald Mmari akizungumza na Waandishi wa Habari juu ya Warsha ya siku mbili ya mwaka kwa Tasisi hiyo itakayofanyika katika  hoteli ya Bahari Beach jijini Dar es Salaam...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KLABU YA ROTARY DAR NORTH KUTEKELEZA MRADI WA MAJI SAFI KISIJU WILAYANI MKURANGA

Klabu ya Rotary ya Dar es Salaam North imeanza kutekeleza mradi wenye lengo la kupeleka maji safi katika kata ya Kisiju, wilaya ya Mkuranga- Mkoa wa Pwani.Mradi huo unaoitwa Aquaplus unafadhiliwa na...

View Article

Michuzi TV GOSSIP: SOO LA MASOGANGE, ALIKIBA APAISHWA WASAFI TV NA MENGINEYO

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Promosheni ya Tigo yaongeza Matumizi ya Intaneti Nchini

 Kampuni inayoongoza kwa mageuzi ya kidigitali nchini ya Tigo Tanzania imezidi kuongeza idadi ya watumiaji wa huduma za intaneti nchini baada ya kuwazawadia wateja wake 676 simu janja aina ya Tecno R6...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NSSF MABINGWA TAMASHA LA PASAKA 2018

TIMU ya soka ya Shirika la Taifa ya Hifadhi ya Jamii (NSSF), imeichapa bila huruma timu ya soka ya ZSSF 2-0 katika mchezo wa tamasha la Pasaka.Mchezo huo ulifanyika mwishoni mwa wiki kwenye Uwanja wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATEJA VODACOM KUENDELEA KUPATA HUDUMA YA LUKU KUPITIA M-PESA

Kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania Plc inapenda kuwataarifu wateja wake na Watanzania kwa ujumla kwamba, itaendelea kutoa huduma ya ununuzi wa umeme (LUKU) kupitia mfumo wa malipo wa...

View Article
Browsing all 110170 articles
Browse latest View live




Latest Images