ABUDHABI YAIPATIA TANZANIA MKOPO WA SHILINGI BILIONI 34 KUJENGA BARABARA YA...
Benny Mwaipaja, Abu DhabiTanzania imeendelea kuaminiwa na Jumuiya ya Kimataifa ambapo Mfuko wa Maendeleo wa Umoja wa Falme za Kiarabu-Abu Dhabi, umeipatia Tanzania mkopo wenye masharti nafuu wa dola za...
View ArticleRAIS DKT. MAGUFULI APOKEA NDEGE MPYA YA TATU AINA YA BOMBARDIER DASH 8 Q400
Ndege mpya ya Shirika la ndege la ATCL aina ya Bombardier Q400 ikiwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam Aprili 2, 2018 Ndege mpya ya Shirika la ndege la...
View ArticlePWANI KUJENGA VIWANDA VITATU VYA MADAWA NA BAADHI YA VIFAA TIBA
Na Mwamvua Mwinyi, KibahaSERIKALI mkoani Pwani, imeitikia wito wa serikali ya awamu ya tano ya kujenga viwanda vya madawa na baadhi ya vifaa tiba ambapo inatarajia kuwa na viwanda hivyo vitatu hali...
View ArticleSUKOS YATOA ELIMU KUKABILI MAJANGA KWA WANAFUNZI SHULE ZA SEKONDARI
Na Chalila Kibuda, Globu ya JamiiIMEELEZWA ipo haja ya kutoa mafunzo ya elimu ya majanga na maafa kwa wanafunzi kwani husaidia kuwa mabalozi wazuri kwenye jamii kuelezea namna ya kuchukua tahadhari...
View ArticleMICHUZI TV: BREAKING NYUZZZZ......: MASOGANGE AHUKUMIWA MIAKA MITATU JELA AU...
Na Bakari Majeshi, Globu ya jamiiMAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam imemuhukumu mrembo na video queen, Agnes Gerald a.k.a Masogange kulipa faini ya Sh.milioni 1.5 au jela miaka tatu...
View ArticleDK. SHEIN AZUNGUMZA NA UJUMBE WA CHUO CHA KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na Mwenyekiti wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Prof Mark J.Mwandosya wakati alipofika Ikulu...
View ArticleUBALOZI WA TANZANIA NCHINI UHOLANZI WAANDAA WARSHA KUHUSU BIASHARA NA...
Katika kutekeleza Sera ya Diplomasia ya Uchumi, Ubalozi wa Tanzania nchini Uholanzi kwa kushirikiana na Taasisi ya Wafanyabiashara ya Uholanzi (Dutch Council for International Business - DCIB) na Kituo...
View ArticleMichezo Taasisi za Afya kuboreshwa
Serikali imesema itaendelea kuboresha michezo sehemu za kazi ili kuifanya iwe endelevu na kuwawezesha watumishi wengi kushiriki.Kauli hiyo imetolewa na Naibu Mkurugenzi Mkuu-Kitengo cha Utafiti...
View ArticleTPB YAKAKABDHI HUNDI YA SH. MILIONI MBILI KWA JUKWAA LA WAHARIRI
Meneja wa mawasiliano wa Benki ya TPB, Chichi Banda (kulia), akimkabidhi Mfano wa hundi ya Sh.milioni 2 Kwa mratibu wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Anita Kosuri, kwa ajili ya kusaidia maandalizi...
View ArticleWABUNGE MTULIA WA KINONDONI NA MOLLEL WA SIHA WAAPISHWA
Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson Mwansasu akimwapisha, Godwin Aloyce Mollel kuwa mbunge wa Siha kwa tiketi ya CCM, bungeni mjini Dodoma Aprili 3, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)...
View ArticleBENCHI LA UFUNDI LAZUNGUMZIA MATIBABU YA JUNIOR, AMOAH NCHINI AFRIKA KUSINI
Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.BENCHI la Utabibu la Azam FC, limetoa ripoti ya maendeleo ya wachezaji wawili wa timu hiyo, mshambuliaji Wazir Junior na beki Daniel Amoah, ambao wamepelekwa Hospitali...
View ArticleRAIS DKT MAGUFULI AZINDUA MRADI WA KUZALISHA UMEME WA KINYEREZI ll JIJINI DAR...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizindua mradi wa kuzalisha umeme MW 240 wa Kinyerezi ll eneo la Kinyerezi jijini Dar es salaam leo Aprili 3, 2018 Rais wa Jamhuri...
View ArticleBUNGE LA RIDHIA AZIMIO LA MAKUBALIANO YA PARIS CHINI YA MKATABA WA UMOJA WA...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. January Makamba hii leo amewasilisha Bungeni azimio la kuridhia Makubaliano ya Paris chini ya Mkataba wa Umoja wa Mataifa kuhusu...
View ArticlePWANI YAJIPANGA KUKUZA ZAO LA MUHOGO
Na Munir Shemweta, PwaniMkoa wa Pwani umeanza uhamasishaji wa uwekezaji katika zao la muhogo ili kuwawezesha wakulima kujiongezea kipato sambamba na kuendanana soko la China ambapo Tanzania imepata...
View ArticleWAZIRI MKUU AKUTANA NA RAIS WA KAMPUNI YA STARTIMES BUNGENI MJINI DODOMA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Rais wa Makampuni ya StarTimes Group, Bw. Pang Xin Xing kabla ya mazungumzo yao, bungeni mjini Dodoma Aprili 3, 2018. Kulia ni Waziri wa Habari,Utamaduni,...
View ArticleMAKAMU WA RAIS AHAMASISHA SHUGHULI ZA KIMAENDELEO MKOA WA MJINI MAGHARIBI
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipata maelezo juu ya shamba la mpunga katika bonde la Kizimbani toka kwa Katibu wa Jumuiya ya Wakulima Kizimbani Bw. Shafii...
View Article
More Pages to Explore .....