Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110181 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAIMU MGANGA MFAWIDHI HOSPITALI YA KITETE ASIMAMISHWA KUPISHA UCHUNGUZI WA...

NA TIGANYA VINCENT19 MACHI 2018SERIKALI ya Mkoa wa Tabora kwa kushirikiana na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa huo imeamua kumsimamisha Kaimu Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Kitete Dkt....

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKUTANO WA NNE WA BARAZA KUU LA CHAMA CHA ZAPSWU WAFANYIKA ZANZIBAR

 Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Wafayakazi wa Serikali za Mitaa Tanzania TALGWU, Obadia Mwakasitu akizungumza katika Kikao cha Baraza la nne la ZAPSWU huko katika ukumbi wa Chuo cha Utalii Maruhubi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HOTUBA YA RAIS WA TFF ALIPOZUNGUMZA NA WAHARIRI WA HABARI ZA MICHEZO LEO...

UTEKELEZAJI WA TFF KATIKA MAENEO MBALIMBALINdugu Waandishi wa Habari,Sekretarieti ya TFF, Watanzania wote wanaotuangalia na kutusikiliza,mabibi na mabwana habari za asubuhi.Naomba nianze kwa kumshukuru...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAWAZIRI WA AFYA KUTOKA NCHI 10 WAJADILIANA NAMNA YA KUSHIRIKIANA KATIKA...

Na Said Mwishehe,Globu ya JamiiMAWAZIRI wa Afya kutoka nchi za Afrika Mashariki, Kati na Kusini wamekutana nchini Tanzania kwa ajili ya kujadili namna ya kuboresha huduma za afya na hasa katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DC SHINYANGA AFUNGA MAFUNZO VIKUNDI VYA WAJASIRIAMALI WANAWAKE NA VIJANA

Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Josephine Matiro amefunga mafunzo kwa vikundi vya wajasiriamali vya wanawake na vijana manispaa ya Shinyanga yaliyolenga kuwajengea uwezo wa namna ya kutumia vizuri fedha za...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Diwani mwingine wa Chadema Arusha Ajiuzulu na kujiunga na CCM

Diwani wa kata ya Kaloleni Halmashauri ya jiji la Arusha, Ndg.Emmanuel Kessy wa CHADEMA (pichani kati) amejiuzulu uanachama na udiwani mapema jana na kutangaza kujiunga na chama cha CCM, kwa kile...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KESI YA ALIYEKUWA MHASIBU WA TAKUKURU KUANZA KUSIKILIZWA APRILI 10

Na Karama Kenyunko, Globu ya jamiiKesi dhidi ya Mhasibu  Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Godfrey Gugai anayedaiwa kuwa na  utajiri wa kutisha kwa kumiliki mali zenye...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MASHINDANO YA 'CASTLE LAGER 5s' YAANZA KUTIMUA VUMBI JIJINI DAR

Mchezaji wa team Z,ya Ilala akijaribu kuwatoka wachezaji wa team Kiba wakati wa Bonanza la Castle 5s(5-aside) lililofanyika Viwanja vya Sigara Tabata mwishoni mwa wiki.Bingwa katika mashindano hayo...

View Article


HOTUBA YA RAIS DKT.JOHN POMBE MAGUFULI WAKATI WA MKUTANO WA 11 WA BARAZA LA...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ATOA NENO KWA MAWAZIRI WA AFYA WA AFRIKA...

Na Said Mwishehe,Globu ya JamiiSERIKALI ya Tanzania imewahakikishia mawaziri wa afya kutoka nchi za Afrika Mashariki,Kati na Kusini kuwa itaendelea kuisaidia sekretarieti ya ECSA yenye makao makuu yake...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA JUMANNE LEO MARCH 20,2018

KUSOMA MAGAZETI YA LEO BOFYA HAPA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI WA MAJI AZUNGUMZIA UMUHIMU WA KUKABILIANA NA UHARIBIFU WA VYANZO VYA...

Na Leandra Gabriel, Globu ya jamiiWAZIRI wa Maji na Umwagiliaji, Mhandisi Isack Kamwelwe amesema ni muhimu kuwekwa mikakati ya kukabiliana na uharibifu unaoendelea katika vyanzo mbalimbali vya maji na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAKAZI WA KATA TANO DAR WAMUOMBA RAIS MAGUFULI KUINGILIA KATI UBOMOAJI WA...

Na Chalila Kibuda,Globu ya jamiiWAKAZI wa Kata  tano  wa Jiji la Dar es Salaam wamemuomba Rais Dk. John Magufuli kuingilia kati ubomoaji wa  nyumba kata hizo katika kupisha ujenzi wa bomba la Maji la...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS ATEMBELEA HOSPITALI YA ABDALLA MZEE PEMBA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan amemtaka Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Simon Sirro kuwachukulia hatua mara moja askari polisi ambao wamekiuka...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UCSAF YAPEWA SIKU 14 KUWASILISHA RIPOTI YA HALI YA MAWASILIANO PEMBA

Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Atashasta Nditiye ameupa Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) wiki mbili kwenda Pemba kukagua hali ya mawasiliano ya simu za mkononi na kuwasilisha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MFANYABIASHARA AHUKUMIWA KWENDA JELA MIAKA 2827

*Ni baada ya kupatikana na hatia ya makosa 419 likiwemo la utakatishaji fedhaNa Karama Kenyunko, blogu ya jamiiMAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuhukumu mfanyabiashara Stanley Mwaura kutumikia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAFITI MBALIMBALI ZILIZOFANYWA NA WIZARA YA HABARI KUWASILISHWA KWA MAWAZIRI...

Na Genofeva Matemu - WHUSMWaziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe ameahidi kufikisha taarifa ya hatua ambayo Tanzania imefikia katika harakati za kutafiti na kuhifadhi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA MAMBO YA NJE, ULINZI NA USALAMA YAKAGUA UJENZI...

 Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Mambo ya nje, ulinzi na usalama, Mhe. Mussa Zungu (kushoto) akisalimiana na afisa uhamiaji Mkoa wa Mtwara, James Mwanjotile (kulia) wakati kamati hiyo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DC MTWARA AFUNGUA KONGAMANO LA WAJASIRIAMALI MJINI MTWARA

Mkuu wa wilaya ya Mtwara Bw. Evod Mmanda akifungua kongamano la wajasiriamali katika ukumbi wa chuo cha ualimu Mtwara lililofadhiliwa na shirika la VSO. Lengo la kongamano hilo ni kuwajengea...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAZAMA SHEREHE ZA MKOMAULA KABILA LA WAYAO MKOANI RUVUMA

Kulia ni Sultani Mataka ambaye ni sultani wa tano wa kabila la wayao Tanzania akisalimiana na Mwandishi wa Ruvuma TV Nancy Mbogoro .………………….Kupitia kipindi cha Utalii cha Talii na Ruvuma TV...

View Article
Browsing all 110181 articles
Browse latest View live




Latest Images