Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110130 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PICHA MBALIMBALI ZA AROBAINI YA MSIBA WA MZEE KINGUNGE NA MKEWE

 Ndugu wa Marehemu Kingunge Ngombalemwilu wakiwa katika picha ya pamoja mara bada ya kuhitimisha arobaini katika makaburi ya kinondoni Dar es Salaam. Mtoto Maraehemu Mzee Kingunge Gombalemwili ,...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri Mwakyembe atembelea Maeneo yaliyotumika harakati za Ukombozi na ya...

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (watatu kushoto) akiwasili katika makumbusho ya Mtwa Mkwawa yaliyopo Kalenga kwa ajili ya kuona naoma makumbusho hiyo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHULE ZA AL MUNTAZIR, KSIJ KUTOA ELIMU K WA WATOTO WENYE UMRI WA ZAIDI YA...

SHULE za Al Muntazir zinaendeshwa chini ya mwamvuli wa KSIJ- Central Board of Education na hutoa  Elimu kwa watoto wenye umri kati ya mwaka mmoja na nusu hadi wenye umri wa miaka 18. Mifumo mbali mbali...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU ASHUHUDIA MCHEZO WA KIRAFIKI VIJANA WA NGORONGORO HEROES NA MOROCCO

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Balozi wa Morocco nchini, Abdelilah Benryane, walipokutana  kushuhudia mchezo wa kirafiki wa kimataifa, Timu ya Taifa Vijana  walio chini ya Umri wa miaka 20...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

VLADIMIR PUTIN ASHINDA KWA KISHINDO URAIS URUSI

Rais wa Urusi Vladimir Putin wa Chama cha Independent.Na Leandra Gabriel, Globu ya jamiiRAIS wa Urusi Vladimir Putin wa Chama cha Independent kwa mara nyingine ameibuka mshindi wa kiti cha urais kwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UONGOZI Institute to hold first graduation ceremony for Postgraduate Diploma...

Dar es Salaam: The graduation ceremony for the first group of graduates of the UONGOZI Institute Post-Graduate Diploma (PGD) in Leadership is scheduled to take place on 21st March 2018 at the...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MSAJILI AZITAKA NGOs KUWASILISHA TAARIFA

MASHIRIKA yasiyo ya Kiserikali nchini (NGOs) yaaswa kuwasilisha taarifa za Mwaka kwa mujibu wa Kifungu Na. 29 cha Sheria ya Mashirika Yasiyo ya Kiserikali Na. 24 ya mwaka 2002 na Kanuni Na. 10 ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

GESI YALETA KIZAAZAA, WATU WATANO WANUSURIKA KIFO KIDONGO CHEKUNDU - RPC SHANNA

Na Mwamvua Mwinyi,PwaniWATU watano wamenusurika kifo baada ya nyumba kuteketea kwa moto, katika kitongoji cha Kidongo Chekundu kata ya Magomeni wilayani Bagamoyo Mkoani Pwani. Hili ni tukio la pili...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ATAKAYEHUJUMU UJENZI WA MRADI WA MAJI TOKA ZIWA VICTORIA KUKIONA - RC MWANRI

SERIKALI ya Mkoa wa Tabora imesema itamchukulia hatua kali mtu yoyote atakayebainika kuhujumu utekelezaji wa Mradi wa Maji kutoka Ziwa Victoria kwenda Mkoani humo wenye gharama ya bilioni 600 kwa ajili...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DKT MAGUFULI AENDESHA MKUTANO WA 11 WA BARAZA LA TAIFA LA BIASHARA IKULU...

 Mwenyekiti wa Baraza la  Taifa la Biashara ITNBC) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akiwasili kuendesha mkutano wa 11 wa baraza hilo Ikulu jijini Dar es salaam leo...

View Article

UFAFANUZI WA BASATA KUHUSU KUFUNGIA KAZI ZA SANAA ZILIZOKOSA MAADILI

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JWTZ – KUJENGA VIWANDA KATIKA KAMBI ZA JKT

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania Jenerali Venance Salvatory Mabeyo akimuelekeza kitu Mkuu wa mkoa wa Ruvuma Bi Christina Mndeme ambaye ameshika punje za mahindi kiganjani kwake, alipotembelea kiwanda...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS AKISHIRIKI UJENZI WA SEKONDARI MICHEWENI5

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki ujenzi wa skuli ya Sekondari Micheweni mkoa wa Kaskazini Pemba. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)Mwonekano wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TIGO TANZANIA NA UBER WAUNGANA KULETA OFA MPYA KWA WATEJA WA DAR ES SALAAM

 Mkurugenzi Mkuu wa Tigo Tanzania, Simon Karikari(wa pili kushoto) akipeana mikono na Meneja Mkuu wa Uber Afrika Mashariki, Loic Amado(wa pili kulia) mara baada ya kuingia makubaliano ya kipekee...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMATI YA BUNGE YA VIWANDA, BIASHARA NA MAZINGIRA YATEMBELEA CHANZO CHA MAJI...

Kamati ya Kudumu ya Bunge Biashara na Mazingira mwishoni mwa wiki imetembea chanzo cha Maji ‘Mkaa’ kilichopo Tarafa ya Kiponzelo, Kata ya Ifunda, Mkoani Iringa.Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JWTZ – KUJENGA VIWANDA KATIKA KAMBI ZA JKT

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania Jenerali Venance Salvatory Mabeyo akimuelekeza kitu mkuu wa mkoa wa Ruvuma Bi Christina Mndeme ambaye ameshika punje za mahindi kiganjani kwake, alipotembelea kiwanda...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wagonjwa 25 wanatarajiwa kufanyiwa upasuaji wa moyo wa kufungua kifua katika...

Na Mwandishi MaalumJumla ya wagonjwa 25 wanatarajiwa kufanyiwa upasuaji wa moyo wa kufungua kifua katika kambi maalum ya matibabu ya siku sita inayofanyika  katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMATI YA BUNGE YA VIWANDA, BIASHARA NA MAZINGIRA YATEMBELEA CHANZO CHA MAJI,...

Kamati ya Kudumu ya Bunge Biashara na Mazingira mwishoni mwa wiki imetembea chanzo cha Maji ‘Mkaa’ kilichopo Tarafa ya Kiponzelo, Kata ya Ifunda, Mkoani Iringa.Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mhagama: Kilimo cha miwa fursa kwa vijana

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu  Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na wenye  Ulemavu  Mhe.Jenista Mhagama amewataka vijana kuchangamkia fursa zilizopo nchini na kuacha kulalamika kuhusu ukosefu wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMATI YA USTAWI WA JAMII YA BARAZA LA WAWAKILISHI YAFANYA ZIARA KATIKA...

 Waziri wa Afya wa Zanzibar, Hamad Rashid Mohamed akiikaribisha Kamati ya Ustawi wa Jamii ya Baraza la Wawakilishi ilipofika ofisini kwake Mnazi mmoja kwa ajili ya kutoa mrejesho wa ziara yake...

View Article
Browsing all 110130 articles
Browse latest View live




Latest Images