Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110171 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MPINA ALIA NA WANAODANGANYA CHAPA

Na. John Mapepele, DodomaWaziri wa Mifugo na Uvuvi Mheshimiwa, Luhaga Mpina ametoa onyo kali kwa viongozi wa Serikali katika Halmashauri zote nchini wanayoihujumu operesheni maalum ya kitaifa ya kupiga...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKURUGENZI MADABA AMTUMBUA AFISA MANUNUZI

Habari na ruvumatv.co.tzUKIUKAJI wa taratibu za manunuzi katika Halmashauri ya Wilaya ya Madaba Mkoani Ruvuma, ambako kumefanywa na Mkuu wa idara ya Manunuzi katika Halmashauri hiyo, Boniface Soko...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RC MAKONDA KUVITAJIRISHA VIKUNDI VYA JOGGING DAR.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda ametangaza mpango kabambe wa kuviwezesha vikundi vya mazoezi ya kukimbia (Jogging club) kwa kuweka utaratibu wa mashindano  ya kila Mwisho wa Mwezi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Makamu wa Rais awasili Pemba kwa ziara ya siku tatu

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Hamad Rashid mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Karume,Pemba....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MATUKIO YA PICHA WAKATI WA UZINDUZI VITUO SITA VYA POLISI VINAVYOHAMISHIKA

Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa, akimuongoza Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Mhandisi Hamad Masauni, kukagua mazingira ya ndani ya moja kati ya Vituo vya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS AWEKA SHADA LA MAUA KWENYE LA Dkt. OMAR ALI JUMA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan leo ameanza ziara ya siku tatu Pemba ikiwa na lengo la kuhamasisha shughuli za maendeleo. Makamu wa Rais ambaye...

View Article

Introduicing new bomb "Fimbo" (Official Music Video) by Jux

Award winning Tanzanian R&B Singer, Songwriter and performer Jux has released his first official track of 2018  ‘Fimbo’ Produced by Bob Manecky from AM Records and Abbah. The crooner is back after...

View Article

Introducing debut bomb "Jibebe" by Frida amani FT GBPY

View Article


MJADALA: Ni Yupi Afisa Mawasiliano wa Karne ya 21

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ULEGA AIPONGEZA HALMASHAURI YA WILAYA YA UVINZA KWA MKAKATI MZURI WA KUINUA...

Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Abdalah Ulega ameipongeza Halmashauri ya wilaya ya Uvinza kwa kuwa na mikakati thabiti ya kupambana na uvuvi haramu na kutatua kwa kiasi kikubwa migogoro ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE UTAWALA NA SERIKALI ZA MITAA YAVUTIWA NA MIRADI YA...

NA ESTOM SANGA- BARIADI Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa wamefanya ziara mkoani Simiyu na kuvutiwa na mafanikio yaliyopatikana katika utekelezaji wa Miradi ya Mfuko...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMATI YA BUNGE YATEMBELEA MAPORI YA AKIBA YA BIHARAMULO, BURIGI, KIMISI...

Kamati ya Ardhi, Maliasili na Utalii ambayo ipo mkoani Kagera imeridhishwa na utendaji kazi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) baada ya kutembelea Mapori ya Akiba ya Biharamulo,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWANAFUNZI UDOM ANAOMBA MSAADA WA MASOMO

MWANAFUNZI wa Shahada ya Sheria mwaka wa Kwanza katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM),Amaniel Furahini(21) ameiomba serikali na watanzania kumsaidia kulipa ada ili aweze kuendelea na masomo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA JUMATATU LEO MARCH 19,2018

KUSOMA MAGAZETI YA LEO BOFYA HAPA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mwandishi wa habari Daily News Digital afariki Dunia

  MWANDISHI wa habari chipukizi wa vyombo vya habari vya Digital vinavyomilikiwa na Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN) maarufu kama Daily News Digital, Katuma Masamba (pichani) amefariki dunia....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ULEGA AIPONGEZA HALMASHAURI YA WILAYA YA UVINZA KWA MKAKATI MZURI WA KUINUA...

Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Abdalah Ulega kushoto akizungumza na mfanyabiashara wa samaki aliyejulikana kwa jina la Bw. Ntakokola Issa katika Mwalo wa Kibirizi Mjini Kigoma kuhusu usafi wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KUMBILAMOTO ATOA SHUKRANI YA MBUZI KWA FATHER KAMILI WA PAROKIA YA YOMBO DOVYA

Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala, Omary Kumbilamoto, akiajadili jambo na Padre wa Kanisa Katoliki Parokia ya Mtakatifu Karoli Lwanga ya Yombo Dovya, Father Kamili mara baada ya kumkabidhi zawadi ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mwakyembe atembelea Maeneo ya kihistoria Mkoani Iringa

 : Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (kushoto) akisalimiana na Chief wa kihehe Evaristo Sambiligunga Mwambeta alipokutana na machief wa kihehe kuzungumza nao...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MPOTO AKOSHWA NA PROGRAMU YA UMILIKISHAJI ARDHI WA WIZARA YA ARDHI CHINI.

Waziri Lukuvi akutana na wananchi waliokabidiwa hati zaoNa Mwandishi wetu, Globu ya jamii.MSANII wa muziki wa asili, Mrisho Mpoto ambaye amekuwa kioo cha jamii kwa muda mrefu kutokana na kutoa nyimbo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Je! Unajua unaweza kuboresha mbinu zako za kilimo kwa kutumia mtandao wa simu?

Je! Unajua unaweza kuboresha mbinu zako za kilimo kwa kutumia mtandao wa simu? Bonyeza video hii kuangalia na kuona jinsi wengine wanavyofanya.

View Article
Browsing all 110171 articles
Browse latest View live




Latest Images