Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110180 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAKURUGENZI WASIOTENGA FEDHA ZA MIKOPO KWA WANAWAKE KUFIKIA JUNE KUTUMBULIWA

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto  Mh. Ummy Mwalimu ametoa miezi mitatu kwa wakurugenzi wote nchini kuhakikisha wanatenga asilimia 4 za fedha za halmashauri kwaajili ya kuwapa...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKUTANO WA MPANGO KAZI WA WATAALAM WA MALARIA KUTOKA MAREKANI NA ZANZIBAR WAFANA

Na Faki Mjaka-Maelezo ZanzibarWataalamu wa maswala ya afya wametakiwa kutanua wigo katika Tafiti zao na wajikite zaidi katika tafiti za maradhi yatokanayo na vyanzo vya maji (Water born...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HALMASHAURI YA WILAYA KONDOA KUJENGA HOSPITALI YAKE

Na Benny Mwaipaja, Kondoa.NAIBU Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Ashatu Kijaji, ameuagiza uongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa mkoani Dodoma kutenga fedha kwenye bajeti ya Mwaka ujao wa Fedha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tigo Yawakabidhi simu washindi 84 wa Promosheni ya Nyaka Nyaka Bonus

 Kampuni inayoongoza kwa mageuzi ya kidigitali ya Tigo Tanzania, leo imewazawadia washindi 84 wapya wa promosheni ya Nyaka Nyaka Bonus simu aina ya Tecno R6 zenye uwezo wa 4G. Akikabidhi zawadi hizo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MCHENGERWA AZUNGUMZIA MAFANIKIO YALIYOPATIKANA JIMBONI KWAKE RUFIJI

Na Chalila Kibuda, Globu ya JamiiMBUNGE wa Rufiji mkoani Pwani, Mohamed Mchengerwa amesema tangu amechaguliwa na wananchi kuwa mbunge wa jimbo hilo amefanikiwa kusukuma upatikanaji wa maendeleo na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MASHINDANO NDONDO CUP YAZINDULIWA RASMI

Na Agness Francis Globu ya jamiiMASHINDANO ya Ligi ya Ndondo CUF kwa mwaka 2018 yanatarajiwa kufanyika kwenye mikoa kadhaa nchini na tayari yamezindulwa rasmi leo huku ikielezwa maandalizi na fedha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS MAGUFULI AFUNGUA TAWI LA BENKI YA CRDB CHATO MKOANI GEITA

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akivuta utepe kuashiria ufunguzi wa Tawi jipya la Benki ya CRDB lililopo Chato Mkoani Geita. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZIMAMOTO YAWATEMBELEA WAATHIRIKA WA MOTO WA SOKO MBAGALA

 Kamishna wa Operesheni wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji (CF) Billy Mwakatage, akiwapa pole Waathirika wa moto ulioteketeza vibanda vya Wafanyabiashara wa Soko la Nguo Mbagala Temeke Jijini Dar es...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAMASHA LA PASAKA WASHIRIKI WAZIDI KUMIMINIKA KANDA YA ZIWA, UPENDO NKONE NA...

Mmoja wa Waandaaji wa Tamasha la Pasaka 2018, Ufoo Saro akizungumza na waandishi wa habari juu ya maandalizi ya Tamsha hili ikiwa ni pamoja na kuwatambulisha waimbaji wengine waliweza kuungana kuleta...

View Article


ACT WAPATA PIGO ,VIONGOZI WA NNE NA WAFUASI 45 WATIMKIA CCM

Chama cha ACT Wazalendo wilaya ya Tunduru Mkoani Ruvuma , kimepata pigo baada ya viongozi wake wa nne na wafuasi 14 ambao ni wananchama kuhamia Chama tawala Chama cha Mapinduzi (CCM). Viongozi hao...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MBUNGE HAWA MCHAFU AWAASA WANAJAMII KUJIEPUSHA NA VITENDO VIOVUhab

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.Mbunge wa Viti Maalum Mkoani Pwani  Hawa Mchafu amewataka wanajamii wote kudumisha amani na kujiepusha na vitendo viovu ikiwa ni pamoja na uhalifu, ubakaji, matumizi ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

VIJANA WA BAGAMAYO TEMBEENI KIFUA MBELE KUMSEMEA RAIS MAGUFULI -MWENYEKITI WA...

NA ELISA SHUNDA-BAGAMOYO.WANACHAMA wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) wa Wilaya ya Bagamoyo wametakiwa kutembea kifua mbele huku wakijiamini na kuwaelezea vijana wenzao miradi mbalimbali...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KLNT holds 3rd Tanzania National Prayer Breakfast meeting in Dodoma

KLNT holds 3rd Tanzania National Prayer Breakfast meeting in Dodoma Kingdom Leadership Network Tanzania (KLNT) in partnership with the Committee of Union of Churches Dar es Salaam, hosted its 3rd...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAVUNDE AHAMISHIA OPERESHENI KUWABAINI WAAJIRI WANAOKIUKA SHERIA ZA KAZI...

OPERESHENI ya nchi nzima kuwabaini waajiri ambao hawatekelezi sheria ya ajira na mahusiano kazini na wale ambao bado hawajajisajili na Mfuko wa Fidia Kwa Wafanyakazi, (WCF), inayoongozwa na Naibu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BRIGEDIA JENERELI MSTAAFU AONGOZA MAZISHI YA KABURU KIGOMA

Na Rhoda Ezekiel, Kigoma MKUU wa Mkoa wa Kigoma Brigedia Jenerali mstaafu Emanuel Maganga amewaongoza mamia ya wakazi wa viongozi wa Serikali na vyama vya siasa katika mazishi ya aliyekuwa mwanasiasa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANAOTAKA KUUZA FIGO ILI WAPATE FEDHA SASA WAPIGWA MARUFUKU

*Rais Chama cha Madaktari bingwa wa figo atoa sababu, atoa ushauri kwa WatanzaniaNa Said Mwishehe, Globu ya JamiiCHAMA cha Madaktari Bingwa wa magonjwa ya figo Tanzania kimepiga marufuku biashara  ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA JUMAMOSI LEO MARCH 10,2018

KUSOMA MAGAZETI YA LEO BOFYA HAPA

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WALENGWA TASAF WILAYANI CHATO MKOANI GEITA WACHANGAMKIA HUDUMA ZA MFUKO WA...

Takribani kiasi cha Shilingi Milioni 140 zimepatikana katika kipindi cha miaka miwili iliyopita baada ya Wananchi wanaopata huduma za Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini unaotekelezwa na Serikali kupitia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANANCHI TABORA WAJITOKEZA KWA WINGI USAJILI VITAMBULISHO VYA TAIFA

Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) imeendelea na zoezi la Usajili Vitambulisho vya Taifa kwa wananchi wa mkoa wa Tabora, ambapo Wilaya zote zinaendelea na zoezi hilo. Akizungumzia mwenendo wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MPISHI WA KIMATAIFA MTANZANIA CHEF ISSA ATIA FORA NCHINI SWEDEN KWA MAPOCHOPOCHO

Bango la  kinamama kutoka kila kona ya dunia waliokusanyika mjini Trollhättan Sweden kusherehekea Siku ya Wanawake Machi 8, 2018 na baadaye kwenda kwenye hoteli ya Mtanzania Chef Issa kwa chakula cha...

View Article
Browsing all 110180 articles
Browse latest View live




Latest Images